macho

  1. L

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia Yanibubujisha Machozi Ya Furaha Mpaka Kuvimba Macho Utafikiri nimeng'atwa na Nyuki waliochokozwa katika Mzinga wao

    Ndugu zangu Watanzania, Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na mwenye silaha ya kivita na akashinda vita bila silaha, maneno yanaleta amani ya moyo ,maneno yanaleta...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto mdogo kukoroma na kuzungusha macho

    Habari za wakati huu wana jamvi. Naomba kujua je mtoto huyu ana changamoto gani na ni nini tiba yake? Kuna mtoto wa mjomba wangu kwa sasa ana umri wa miaka miwili na nusu. Mtoto huyu tangu azaliwe amekuwa na changamoto ya kukoroma muda wote na kutoa milio kama vile pua zake zimeziba, kwa kifupi...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu, twaomba uyafungue macho ya rais wetu

    Kwa wasomaji wa historia ya uprotestant watakuwa wanakumbuka dua maarufu; "Lord, open the King of England's eyes" ya William Tyndale, aliyoiomba akiwa anachomwa moto October 1536 kwa kosa la kutafsiri Biblia kwa lugha ya kingereza. Kwa faida ya wasiofahamu, mpaka karne ya 16, dini pekee katika...
  4. JamiiForums Tanzania Tunajenga taifa au tupo kwaajili ya rais hata kama watu wanakufa, wanatekwa, wanafanyiwa uharifu sisi ni kufumbia macho na kujifanya hatuoni

    Hii tabia ya siasa za Tanzania hivi leo mtu akishika tu uraisi basi watu wengi wanajitoa akili na kujifanya vipofu hata watu wakitekwa au kuuwawa wao ni sawa tu. Hii hali ilianza kwa magufuri sasa hivi tunaiona imeota kwa samia, inamaana mtu kushika uraisi sijui wenzetu wanamuonaje mtu huyo ...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu anaye tumia miwani inayoficha macho yake sio wa kumsikiliza

    Wafanyabiashara ambao wana macho yao au wenye miwani ya macho unaweza kupata ukweli. Ila hawa wa kuvaa miwani utazani wana turekodi sisi wakati tuna warekodi basi muwe mnapunguza kuwasikiliza.
  6. JamiiForums Tanzania Watakaopitishwa na CCM ndio watakua Wabunge, Kura ya Mwananchi kiini macho!

    1. Ndugu Mgombea, pambana (kwa fedha na kijadi-UCHAWI) upitishwe kwenye Chama. 2. Mengine ni kukamilisha ratiba tu. 3. Kura za Wazalendo aka Wanyonge ni kiini macho tu. Asanteni.
  7. JamiiForums Tanzania Hii jadi sasa hivi haina tena sekta. Zamani macho yalitazama kuanzia juu kuja chini, sasa yanaanzia chini kuja juu.

    Kuna vitu vingi vime conquer mind za wanaume miaka na miaka, moja wapo katika historia hio imekuwa issue ya makalio makubwa ya mwanamke. "THE BOOTY TAKE OVER"
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

    Za siku nyingi humu ndani.. hope mko poa Najua humu kuna wakongwe wa mahusiano naweza kupata kujua mawili matatu juu ya haya mahusiano Nipo na mwanaume sasa ni miezi 6 ya mahusiano… nampenda kwa upande wangu na yeye anaonesha kunipenda japo yeye anajua moyoni mwake.. Ni mwanaume mzuri...
  9. JamiiForums Tanzania Ni nini kipo katika mamlaka? Ni kama kuna zimwi linakuvaa ukishapata kiti kikuu. Linafanya upofu wa macho yako ili uone kwa macho yake litakayo

    Utu huondoka. Unyenyekevu hukimbia. Yani sijui ni exposure na experiences ngumu katika ngazi ya mikakati ya kufikia juu ndio huwa inabadirisha watu au basi mwanadamu ana bweteka kwa kuonesha rangi zake za kweli pale anapopata ukuu wa juu na ili kubaki hapo ana fanya lolote ili aweze ku-survive...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Chadema nawasaidia - lazima muwe na macho ndani ya serikali na vyombo vyake.

    Hamuwezi kuwa na haitoshi mnajilabu ni lichama likubwa na kinawanachama wengi sana kuliko hata CCM,tuchukulie ipo hivyo , na kama haitoshi wengi walioko huko mnafahamiana nao kwa mbali na hata kwa ukaribu mkubwa sana. Ninachojaribu kukisema mnakosaje kuwa na majasusi ndani ya chama cha CCM na...
  11. JamiiForums Tanzania Manyara: Mwanafunzi auawa kwa kubakwa, atobolewa macho, mwili wake watupwa shambani

    Wakazi wa Kata ya Galapo, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wamegubikwa na huzuni, kufuatia taarifa za kubakwa na kuuawa kikatili kwa Suzana Samweli (13), mwanafunzi wa darasa la sita ambapo wananchi wamelaani vikali na kuitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka dhidi ya wahusika wa tukio...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe macho sana na Lissu na "Watu wake"

    Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS). Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Macho yote mawili kucheza ni ishara ya jambo gani?

    Habari zenu? Toka juzi macho yangu yote mawili yananicheza. Yani likitulia la kushoto linaanza la kulia, kwa kifupi yanacheza kwa kupokezana. hayaumi wala hayatoi machozi. Je hii ni ishara ya nini wakuu?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwa tahadhari tu: Wanasheria wa Lissu kuweni macho zaidi ya hivi sasa

    Tukio la Padre Kitima si la kufanyia mzaha. Iwe wake up call kwa mawakili wa Lisu kuchukua tahadhali zaidi. Maisha yenu yanaweza kuwa hatarini Kwa asiye na unafiki, ana akili za kawaida ndogo tu, by 99.9999999% wahusika unaweza ukawatambua/ ukawahisi. Bwana Mungu awawekee mkono wa ulinzi wake.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wanasimba popote mlipo kuweni macho

    Wanasimba wenzangu popote mlipo hapa nchini na kwinginepo kuweni macho,adui yetu namba moja "Nyuma mwiko" ameshaingia kazini kushirikiana na RS Berkane. Sio tu naandika,Bali Nina ushahidi wa huku mtaani wapinzani wananihakikishia kua watatia mkono, lakini pia ukiingia kwenye social media...
  16. JamiiForums Tanzania Uchawi wa macho. Upo na unaishi

    Niliwai kwenda kula mgahawani sasa nikaja na samaki wakubwa nikagiza milinda nyeuc ugali nikachukua wa bei ya juu mwingi najaziwa pale ndani kulikua na waha wana kopesha vitu kama watatu wana ongea kiluga tu, iyo siku nilicho kula hakitoki, yani spati haja ndogo wala kubwa nina six-pack ila...
  17. JamiiForums Tanzania Irizar ya Simba itafika lini? Au ndio changa la macho kama la uwanja?

    Ukiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji. Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu. Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
  18. N

    JamiiForums Tanzania YAS yazindua huduma ya Matibabu ya Macho bure kwa Wakazi wa Mbeya

    Mbeya, 18–21 Aprili 2025 – Kampuni inayoongoza nchini Tanzania katika huduma za mawasiliano na maisha ya kidijitali, YAS, kwa kushirikiana na KSI Charitable Eye Centre, imezindua rasmi kampeni ya siku tatu ya matibabu ya macho bure kwa wakazi wa Jiji la Mbeya na maeneo ya jirani. Mpango huu...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la macho kutoa machozi

    Macho kutoa machozi mara kwa mara (Epiphora). Kazi ya macho ni kulainisha, kusafisha na kulinda jicho, ikiwa yatazalishwa mengi au ikiwa kitu kitayazuia kutoka vizuri - kunaweza kuwa na tatizo la macho kutokwa machozi mara kwa mara. Tatizo linaweza kuwa la muda, lakini pia inaweza kuwa ishara ya...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zaidi ya wagonjwa 450 wapatiwa huduma upasuaji wa macho bure Arusha

    Zaidi ya wananchi 450 kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Arusha wamepata huduma ya upasuaji wa Mtoto wa Jicho (cataract) bure, kupitia kampeni ya afya iliyoendeshwa na Madaktari Bingwa na Wabobezi kutoka nchini Hispania. Huduma hiyo, iliyolenga kuwasaidia wananchi wa kipato cha chini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…