Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza.
Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo.
No reforms no ELECTION
Mpaka sasa balozi polepole anakabia juu mno. Machawa wanaweweseka hawawezi kumjibu wana rukarua.
Nyie machawa wa lumumba.
Polepole ana data/ takwimu mjibuni kwa takwimu siyo viroja vya hoja !
Balozi amesema MAGUFULI alimalizwa na Wanamtandao wewe unatutajia mambo ya MELI sijui afya yaakili...
Kati ya Machifu wapo wanaokumbukwa kwa mema na mabaya...
Wapo waliowauza wenzetu kwa vipande vya nguo na zawadi ndogo ndogo
Lakini wapi mashujaa kama kina Mkwawa walipambana kwa ajili ya jamii zao
Ninyi vijana mliopaswa kutumia akili zenu kuleta changamoto mpya na ubunifu leo mmeamua...
Kila mmoja anashangilia kufungwa, WHY?
Watu wana chuki na utawala huu. Umejiingiza na rushwa kibao kwa wachezaji, hata wapenda mpira wakajitoa.
Lakini kwa vile viburi ni sera yao, hawatajifunza!
Siku zote machaw wote hawanaga akili, chama cha CCM kwasasa kimeelemewa, sekta ya usafiri hasa mwendo kasi inaelekea kuzimu kabisa nimekuwekea video hapo chini👇👇👇👇
🤣🤣🤣 hii nchi asee
Polen sana weathirikaaa
Najua kuna ndoa nyingi zimeumia na Hawa watuuuu
Niwajuze tu kwelii mali pesa zinaenda kwa wachungaji na manabiii
Lakini wakupiga marufuku n machawa wa Hawa viongoxi
Hawa wakishakujua wanataka kukutembelea nyumban wakifika wanarudi na aviola part two
Washampanga...
Ili kuondoa utata wa nani anayegharamia miradi nchini, TRA hivi sasa imeweka tangazo kwenye runinga likionesha kuwa miradi yote inagharamiwa na kodi zetu. Lucas Mwashambwa na magarasa wenzako heshimuni hilo tangazo la serikali.
Katika juhudi za kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia kilimo cha kibiashara, mkoa umeanzisha shamba la pamoja la kahawa lenye ukubwa wa ekari 300 katika kijiji cha Makongora, wilayani Muleba, likihusisha vijana 300 waliopatiwa mafunzo na nyenzo.
Aidha, kongani 4 za vijana zimeanzishwa katika...
Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
Joseph Gwajima
Luhanga Mpina
Hersi Said
Arafat Haji
Byabato
Mpango
Majaliwa
Polepole
Lissu
Heche
Butiku
Warioba
Na wengine kibao ambao wanampa challenge hataki kufanya nao kazi why?
Huyu mama anawataka wakina Babu Tale na Msukuma!
Sasa namwambia atadondoka nao mwaka huu Kama hakuna reform...
Baada ya wajumbe huku chini kideal vizuri na wale waliokuwa machawa, wazembe na waliongia kwenye nafasi za uongozi kwa kubebwa, CCM imeona haiweziishi bila machawa wameona waje na mpango mwingine wa kuhakikisha wanawapitisha huko juu Ili kudharaulisha na kupuuza maamuzi ya wajumbe kwaiyo...
Mimi kwa fikra zangu machawa hawaijui CCM vizuri wanatafuta afueni wapewe tuzo maisha yaende!!
Msiwatumie machawa kuwajibu watu wanaojifanya kujilipua kwa kukosa maslahi ya liutawala!!
Mngekaa kimya mkaacha busara itumike na waasi kujiona wajinga!!
Huwezi kutoka hadharani kudhihaki sehemu...
Mnapiga kelele hovyo na kupaza sauti kutetea uovu kisa tu mnapata posho.
Kila kukicha mnashadadia mambo ya ajabu yasiyo na kichwa wala miguu. Mnaona kifo cha watu kama mzee kibao ni kama panzi aliyeuliwa na watoto wakicheza.
Mjihoji sana. Kama mti mbichi unatendewa hivi je kwa mti mkavu?
Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika.
Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa.
Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika
Natamani Ujumbe Huu, AUONE RAIS SAMIA, na Mungu amsaidie asikie saauti yake !!.
Machawa wamempoteza Rais SAMIA !!.
https://www.facebook.com/share/r/16rjwu6mHy/
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.