Sisi wazee wa zamani tulioshuhudia kalamu Bora za waandishi wa habari tukiwaona Hawa wa kisasa tunachanganyikiwa!! Taaluma ya habari imenajisiwa vibaya mno ,waandishi karibia wote ni wanasiasa na wapambe na nimakuwadi wa chama Fulani ? Watawezaje kubalance habari? Leo hard news zinazohusu nchi...
Hii nchi inaendelea kushangaza dunia baada ya kuwapa kazi wakandarasi wa ndani na kuwatelekeza bila kuwalipa huku machawa na watu wanaosifia viongozi wakimwagiwa pesa za kutosha ili waendelee na kwmpeni za kusifia viongozi.
Siku zote tumekuwa tukisema wale machawa wa mama mama mama, ni watu waliokosa akili maana hakuna mwenye akili anayeweza kukubali kuwa chawa, kumbe machawa wamekuwepo tangu kale, na Bwana, Mfalme wa Mbingu na nchi alikwishawalaani. Leo nimelifikia neno la Mungu linaloweka wazi kuwa uchawa ni...
Wana jf anani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Nipo na swali nyie machawa hasa mjiangushao juu ya majukwaa kwa mamziki ya kijinga, tz imekua na wanamziki wengi sana ,mpaka sasa hakuna mwanamziki hapa tz amevunja record yao kwa tunzi labda maokoto tu.
Sasa sikilia Samia na...
Leo account maarufu ya Kiongozi wa machawa waliopo X ( Twitter) imeanza kutoa milio baada ya Watanzania wapenda haki wa X (Twitter) kuanza kuzi tagg account za wafadhili wa Tanzania na mashirika ya Kimataifa (Washirika wa Maendeleo) kuhusu udhalimu unaofanywa na Serikali ya Samia dhidi ya...
Huu ndiyo ukweli,hakuna kiongozi au watoto wa Viongozi ambao ni machawa
Na ukitegemea wameshawekewa nafasi nyeti za uongozi kuanzia Urais,Uwaziri,Ubunge,na nafasi zingine zenye mishahara mizuri
Lakini wewe Chawa huna chochote kile cha kuja kukipata katika inchi hii
na unapozidi kushabikia na...
Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye...
Napenda kuwashauri wale machawa, wanaolipwa kuwatetea watawala wanaokandamiza na kutesa wananchi. Machawa Wanaoishi kwa kujipendekeza kwa watawala na matajiri ili waishi huku kundi kubwa la Watanzania likiteswa na maisha magumu, ukosefu wa ajira, uchumi mbovu na huduma mbovu zinazotokana na...
Nimeanza kumcheki jamaa mida ya saa 6 usiku, ubao wa followers IG ulikua unasoma hivi (note muda juu kulia)
Saa moja baadae saa 7 usiku, ubao unasoma hivi:
Imagine hii ni usiku wa manane amwpoteza zaidi ya watu 200, je mchana itakuaje?
Ngoja nifuatilie hii.
kilal msanii akipost anaandikiwa no reform nk election 😀🤣 kila chawa akipost hoja ni hyo mpaka wengine wamejamm kufungia X kumeleta changamoto instagram
huu mwaka wa moto sana
endeleeni kupiga spana watanzania tuungane tupeleke moto🔥🔥
1. Mzaramo
2. Mandala
3. Kisugu
4. G64
5. Friji Bovu
Hawasemi ukweli na hawajui mambo ya Kiufundi, ila wanachojua ni Kudanganya, Propaganda na kujikomba kwa Tajiri na Uongozi ili wawe katika Payroll yake na wawe na uhakika wa kusafiri na Timu kwa kulipiwa Tiketi kila inapoenda.
Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.
"Lakini...
Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe; "Silaha ya wajinga ni kujipendekeza, mtu asiyejua kitu silaha yake kubwa ni kujipendekeza na kuwasemea wengine mambo mabaya. Vijinga vinajua kuji-position. Mwenye uwezo analindwa na uwezo wake haitaji kujipendekeza kwasababu uwezo wake unambeba"
Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi.
Raisi ataendelea kuwa na mamlaka kwenye vyombo vya usalama lakini sio kwa maslahi yake binafsi.
Professionalism bongo imekuwa a joke nowdays!
Hatujali unashoboka au kujianika kwa namna na kiasi gani, ila pale panapohitajika professionalism itumike professionalism na sio mwenendo wa kutumia kushobokalism na usleikwinism
Aman kwenu watumishi wa MUNGU
Leo nimesikia kuwa mama hadaiwi kama wasemavyo machawa
Bas tunaomba reform ili uchaguz uwe huru na khaki
Kisha mama njoo ulingon bila kairima
Uvurugane na LISSU
Umshinde kwa kishindo 90%kwa 10%
Ete mama
LONDON BOY
Yaani hakuna wa kumsumbua mwenzake. Mtu akipata mwanya anazichota tu.
Aiseee hatari.
Ndio maana sasa hivi mtu anaanzisha campaign yake yoyote anaibatiza tu kwa jina la mama anakwenda kuchukua pesa
Mimi nataka nianzishe campaign ya "mama kaupiga, 2025 njia nyeupe"
Ukiwapigania Watanzania...
Pamoja na Raisi Samia mwenyewe. Hawa ni watu walio kula kiapo kwa nchi lakini wamekuwa machawa. Historia yetu itawahukumu kwa udhaifu wa nchi na mifumo yetu.
Mahakama
Bunge
Jeshi la polisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.