machawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Mwaka wetu wa mwisho machawa kuwekwa kwenye mgao, tusiache hela kizembe. Tutawaomba msamaha tu waTanzania

    Kila hela itayopatikana tufanyie mambo ya msingi. Tuache matumizi ya hovyo.Mi nilishachukua shamba kwetu Iringa na mwaka juzi muheshimiwa alinisaidia kupata diploma ya pharmacy. Ni ushauri wa bure tu Uzi tayari
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Unaamka asubuhi hakuna maji,sekunde kadhaa unaambiwa ukamkamate mtu kwakuwa ameandika mtandaoni kuwa mtaa wake hauna maji. Ni kazi yako unibidi utii

    Najua wenyewe hawapendi. Ni kazi tu za order. Uzi tayari
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ingetokea mbowe angeshinda hivi ndivyo machawa wa mbowe walijipanga kutusimanga, Tungesimangwa tuchakae

    Ujue unafiki tuweke pembeni! Adui akikosa na wewe kama una mmudu malizana nae Laiti mbowe angeshinda wale watoto walikuwa wameandaa masimango makubwa hatari! Haya ni machache tu! 1. Wafuasi wa lissu tuliwaambia kura ni ujasusi wa namba mbowe ni alpha na omega 2. Lisu tulimuonya hakusikia...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbowe akiwa na watu wake wa karibu ambao wanajulikana kama "machawa" wake

    Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati. Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili...
  5. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwashtukia hawa Machawa na mafisadi. Alijua mwishowe wangekuja mgeuka tu

    Walikuwa wanamwambia "Mzee hii nchi umetoka nayo mbali, bila wewe itakufa. Bila wewe haitakuwepo tena. Using'atuke wewe ndo alpha na omega umepambana sana" Akajua haya manyang'au yanajisemea yenyewe.yanataka yaendelee kujineemesha na wizi. Alijua hayana lolote la ukweli. Akaangalia mabadiliko...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Mbowe wala Lissu ni yapi wakati hiyo ndiyo siasa aka mchezo mchafu ambao machawa wanataka kuutimia kuumiza wapinzani wao wakubwa na tishio?

    Humu jf kuna bifu kati ya mashabiki wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu na machawa wa pande zote. Wengi ima hawajui mchezo wa siasa au hawana hata chembe juu ya demokrasia. Chadema, tofauti na CCM ni chama cha kila mmoja. Hivyo, wawili hawa wanapopambana kugombea uenyekiti si tatizo. Siyo sawa na...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi kama ni ya kumng'oa Mbowe na Machawa wake basi nayaunga mkono, naomba yawe

    Kuna hoja za kijinga ambazo Machawa wa Mbowe wamezianza kuwa kuna mpango wa mapinduzi Chadema. Ni hoja ambazo waliziibua tena mwaka 2013 na bila kujua tuliziunga mkono. Kipindi hiki zimekuja tena baada ya Mbowe kupata mpinzani kwenye kiti chake alichokifanya "Ni chake cha enzi" Yani Uenyekiti...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona Mbowe anapigiwa kampeni na machawa wa CCM, naona Lissu ni mgombea sahihi kwa sasa

    Sisemi Mbowe hafai la hasha bali wasiwasi wangu umekuja baada ya kuona wana CCM wengi na members humu JF wakiongozwa na chawa wao mkuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable,Tlaatlaah, chiembe na wengine wakitaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti, nikajiuliza kuna nini. Nimegundua CCM inahofu kubwa...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu wakati akitangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa amesema CHADEMA haina budi kurudisha utaratibu wa ukomo wa Madaraka kwani utaondoa uwezekano wa Viongozi kung'angania madaraka na kuandaa Viongozi wapya, kupatikana kwa mawazo mapya na...
  10. G

    JamiiForums Tanzania VOA wanyimeni UFM hali ya kurusha matangazo yenu, ni machawa

    Muda mfupi uliopita Ufm wamekatisha taarifa ya habari kutoka VOA walipoanza kutangaza habari za Tanzania kutoheshimu haki za binadamu. Huu ni ujinga uliopitiliza. CCM na serikali yake wanajitahidi kuficha maovu yao yasijulikane kwa wananchi hasa wale wajinga ambao ndio wengi na mtaji wao. Huwezi...
  11. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwamba wananchi wameichoka Serikali au wamewachoka viongozi wa Serikali?

    Wakuu, Najiuliza hivi nu kwamba wananchi wamewachoka viongozi wa serikali au wameichoka serikali maana yanayotokea kwa sasa ningekuwa kaka Luka ningebubujikwa na machozi. Yani imefikia kipindi viongozi wanapata majanga badala wananchi wasikitike wanafurahi na kutaka kujua wangapi wametangulia...
  12. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Utafiti mdogo club za tanzania zina machawa sio maafsa habari waliochangamka!

    Ukimsikiliza afsa habari wa yanga anavyozungumza upuuzi wa mambo ya supu na kuhusu watu wote wapakeze chokaa kichwani unashangaa unageuka simba msemaji wake anapuyanga tiketi sold out upuuzi mtupu unakwenda tabora united unamsikiliza yule bi dada anaharisha eti afadhali moalim alijua akajiudhulu...
  13. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

    Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao. 1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police. 2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja. 3. Police haraka wametoa tamko...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Machawa wameanza tena

    Machawa taratibu wanaanza kupatiwa nguvu na baadhi ya viongozi wakubwa waovu. Baada ya muda, tutashuhudia machawa ikiropokwa hovyo bila kujali ilani, katiba ya nchi, katiba ya CCM, kanuni, miongozo, na taratibu. Tujiulize kama taifa, je, viongozi kutokujali malalamiko ya wanyonge na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya mambo ya nje limejaa machawa na wapinzani wa kisiasa!

    Raisi Samia amekuwa akiwatoa wasomi diplomasia ambao wanajua na kupendwa na kuweka machawa ambao hawasaidii nchi. Mama Mulamula alitolewa baada ya kupata umashuhuri . Makamba baada ya woga wa Mama kisiasa. Sasa mama kabaki na makada machawa na watu anaowahopa . Mkuu wa zamani wa usalama ni...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila na Machawa, jibuni maswali haya mepesi kuhusu DP World

    Tanzania ni nchi ya ajabu unakuta Pro wa chuo naye ni chawa badala ya kujibu hoja!. Kama huna jibu sema hujui sio kuuliza swali badala ya kujibu! 1. Mkataba wa DP World ni wa miaka mingapi? wa muda gani? 2. DP world inapataje mapato yake kwenye mkataba? Yaani ni tozo zipi na asilimia ngapi...
  17. econonist

    JamiiForums Tanzania Machawa wa Samia mjifunze kwa Machawa wa Rais Hasina wa Bangladesh

    Machawa wa Hasina wa Bangladesh kwa Sasa wanaojua shubiri. Wanaishi maisha ya kujificha na wanawindwa kweli popote walipo. Ila muda wa miezi michache wao ndio walikuwa wababe wa Bangladesh na kuumiza watu waliokuwa wapinzani wa Hasina. Walihusika kuteka na kupoteza wafuasi wa upinzani nchini...
  18. D

    JamiiForums Tanzania sports medias sasa ni machawa wa tff and board ya ligi, huko nako incompetence imefika

    I will be short we are fans of sports since we avoid politics. media ni machawa wa tff na bodi ya ligi. ni shameful mtu anaona kabisa ukweli Ila njaa na uchawa una haribu mpira wetu. imagine amna media hata moja inasema jambo kama lilivyo it's time watu twende off grid. wasafi media...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Vyuo Vikuu vinazalisha wahitimu wanaokuwa "Machawa" wa wanasiasa

    Akichangia mjadala katika Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Askofu wa Kanisa la Moravian Revival Church, Emmaus Mwamakula amesema kuwa kuna vyuo vikuu nchini vinashindwa kuandaa viongozi wa baadae badala yake kuzalisha wahitimu wanaojipendekeza kwa wanasiasa na kuona Siasa ni ajira Amesema hayo...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Machawa wanapata wapi pesa? Aristote amjengea ghorofa la kwenda mlinzi wake

    Kwenye kipindi ambacho Watanzania wengi wanaishi kwenye vibanda umiza, mfanyabiashara na chawa maarufu nchini Aristote ameshusha bonge la ghorofa maalum kama sehemu ambayo mlinzi wake atakuwa anaishi yaani Servants Quarters Aristote alitumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha ghorofa hilo...
Back
Top Bottom