machawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Machawa Papa ambao hawafuati viapo vyao

    Pamoja na Raisi Samia mwenyewe. Hawa ni watu walio kula kiapo kwa nchi lakini wamekuwa machawa. Historia yetu itawahukumu kwa udhaifu wa nchi na mifumo yetu. Mahakama Bunge Jeshi la polisi
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wenye Hekima Wanaongea Kuhusu Haki, Machawa Wanaongea Kuhusu Amani Bila Haki.

    Siku zote, wenye akili, wenye hekima na wenye dhamira njema ya kutatua tatizo lolote, wanapogundua kuna tatizo, hutafuta chanzo cha tatizo, kwani ukikidhibiti chanzo cha tatizo, tayari unakuwa umetatua matokeo yake. Wasio na akili wala maarifa, wao hutazama matokeo. Watabakia kuhangaika na...
  3. Now and then

    JamiiForums Tanzania Akili za hawa machawa kuanzia Manara, Baba Levo , Mwijaku wana IQ ndogo sana.

    Akili za hawa machawa kuanzia Manara, Baba Levo , Mwijaku wana IQ ndogo sana.
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: CCM dhaifu na upinzani dhaifu ni chanzo cha taifa lililojaa machawa

    Na Askofu Dkt. Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) CHADEMA/UPINZANI, ACHENI KUIONEA CCM. 1. Taifa hili bila CCM imara, litayumba sana. Sina hakika kama bado. 2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na kubaki salama. 3. CCM dhaifu...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tuna tatizo kama jamii na taifa maana sielewi mantiki ya watu wazima na akili zao kukubali kuita au kuitwa au kujigeuza chawa

    Kwa sasa, chawa amegeuka superstar katika siasa za majitaka za nchi yetu. Kila aliyekaribu na watawala ima ni chawa au anatafuta kuwa chawa. Je kwa uchawa na uzwazwa huu tutegemee nini? Afugaye chawa na chawa wanaofugwa naye, wote wanahitaji ukombozi. Hii inanikumbusha kauli ya marehemu Mtikila...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Salamu za asubuhi ni hizi hapa. Mwenye akili na some, machawa piteni tu isiwe shida

    It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi. ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA. Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1 BY: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila. .Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Bora stars wamefungwa. Maana machawa wa CCM Wamevuka Mipaka kwa propaganda

    Ingetokea wameshinda. Yaani ingekiwa samia Samia samia. Makelele kibao. Kwa kweli tusingepumua. Kwa sasa.CCM hawana agenda maalumu tofauti na propaganda kuhadaa watu. Mara wajishike kwa wasanii. Mara.chadema wanaleta ebora kifupi ni siasa za maji taka. Ila.mambo haya yana mwisho wake hasa...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tanzania Taifa linalothamini Machawa na Wasanii huku likipuuza Mchango wa wasomi hatuwezi kusonga mbele

    Great Thinkers Hakuna jambo linakera kama 1. Kutosikiliza na kuenzi wataalamu wetu. 2 Kutowatumia wataalamu wetu kuelimisha jamii. 3. Kuwathamini wasomi na kuwafanya watembee kifua mbele. 4. Kuliacha Taifa liongozwe na mbumbmbu ni kero kubwa sana. Amini nawaambia taifa lolote ambalo.halina...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simba na Yanga wameshakuwa Machawa Pro Max, wanafanya nini kwenye mkutano wa uzinduzi wa Sera ya Maji?

    Wakuu Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, mshehereshaji wa tukio hilo Shaban Kisu, alionyesha jinsi Simba na Yanga zinavyotumika kisiasa kwa kupaza sauti "Oyee!" kwa vilabu hivyo kupitia...
  10. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mswiga asifikiri kwamba CAF ni machawa wa mama wale ni professional na sio machawa

    Msigwa asifikiri kwamba CAF ni machawa wa mama wale ni professional Kwanza atoe maelezo billion 30 zimetumikaje kwa sababu kwa macho ya kibinadamu hakuna chochote kilichofanyika ni kama uwanja umepigwa tu rangi Nahukika katika vitu ambavyo CAF wanajuta ni kuwapa Tanzania Afcon hakuna...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdau: Vijana wajitambue wasitumike kama machawa

    "Vijana waliobahatika kuwa na nafasi katika siasa hawapo tayari kuwasaidia vijana wenzao, maaduni wa vijana kushindwa kutoboa ni vijana wenzao, vijana wajitambue wasitumike kama machawa"
  12. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Machawa kuna ujumbe wenu huku

    Hawa watu wamekua kero sana.
  13. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Naona sasa uchawa umezidi hapa nchini. Nashauri serikali ya CCM ianze kugawa tuzo za machawa

    Kulikua na haja gani mheshimiwa chawa kuvaa nguo ya aina hii? Hakika Anko Magu alituingiza choo cha kike.
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Watu wanawaza kuwalamba miguu Viongozi na kuwa machawa wao ili waendelee kula. Hawawazi maslahi mapana na Tanzania na kesho njema ya Taifa letu. Viongozi badala ya kuelekeza fedha zikawahudumie Wananchi ikiwemo kununua madawa, kuweka miondombinu bora ya elimu kwa watoto wetu inayohudumiwa na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Rais Samia: Kupenda machawa

    Raisi Samia ni mwanasiasa lakini anapenda umashuhuri kama Trump. Mapungufu yanakuja pale ambapo Uchawa unazidi Uzalendo. Angetakiwa kupenda vilevile haki, kupenda kupigana na rushwa kama anavyopenda umashuhuri. Atapata shida akimaliza uongozi maana watambadilikia hao machawa fake
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sijajua kwa nini Kizazi cha 70's na 80'S ndio cha Machawa wengi. Wengine wanafuata Mkumbo tuu

    Sabato Njema! Ukifuatilia kwa umakini utagundua machawa wengi na Waasisi wa uchawa ni kizazi cha Miaka 70's na 80's. Sijajua nini kilitokea Miaka hiyo kuanzia ulaji wa chakula, mitindo ya Maisha, siasa za wakati huo, mambo ya kiteknolojia. Wanahistoria, watafiti na wanasayansi mjaribu...
  17. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Zamani rais wa Somalia akitaka kusafiri mkoan walitumwa usalama, saivi rais akitaka kusafiri wanatumwa machawa kama wote kuhamasisha

    Amani kwenu wakuu Sisi ambao ni wenyeji wa Somalia tunakumbuka kwamba zamani rais alikuwa akitaka kusafiri, walitumwa wana usalama eneo husika Lakini cha ajabu kwa sasa huku Somalia rais akitaka kusafiri wanatumwa machawa kama wote kuhamasisha watu wajitokeze barabaran kumlaki Dah...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM msitumie Machawa kumjibu LISSU, ni Heri kua kimya, Ubaya wa Lissu anazungumza Ukweli na Haki, ni ngumu mno kujibizana naye

    Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho. Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado umchukulie poaa, watu Huwa wanaondoshwa na Risasi Moja au Mbili !!. LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Kagera - Mwassa: Wazazi pambaneni Watoto wenu wasiwe machawa

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amewasihi wazazi na walezi mkoani Humo kuhakikisha wanawasimamia Watoto wao wanapata elimu iliyo bora itakayowawezesha kujitengenezea maisha badala ya kutumia muda mwingi kujipendekeza na kuwa machawa. Mwassa ametoa kauli hiyo Februari 11, 2025 kwenye...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi kweli CCM imefikia hatua ya kupigiwa debe na kutwaliwa na Machawa kama Gari ya Chai Maharage enzi hizo Seriously?

    Is it real? Yaani CCM inabebwa na sura za wasanii akina mwijaku, Dotto toyo, kiredio na mburura wengine, are we serious with our CCM? Shameful strategy, have we become so cheap to this level? Kweli chama kimetekwa? Je, ni uoga au ni ushamba? Je, CCM kila nyakati CCM itakuwa chini mtu ambae yuko...
Back
Top Bottom