Habari Nina maswali kwa tume ambayo ningependa kuyafahamu vizuri ili niweze kuelewa.
1.Tume imesema kulikua na mafunzo je nani alikua akiendesha mafunzo hayo ? Je mafunzo yalikua na silaha na ni Silaha aina gani na ngapi zilikamatwa?siku ya tukio.
2.Watu 518 walipoteza Maisha ,hawa watu...
Mwandishi wa habari za uchunguzi wa Nigeria anayeishi Accra nchini Ghana, David Hundeyin amekanusha madai kuwa amelipwa na Serikali ili kufanya uchunguzi wa habari za vurugu za Oktoba 29, 2025.
Hundeyin ameyasema hayo Juni 3, 2026 baada ya kuwasilisha Makala yake yenye kichwa cha habari...
Uchunguzi wa Kina · JICHO La Afrika
2026 | Makala ya Uchunguzi
Uchunguzi Maalum
NA ITS MALEKOGJ.
malekoj27@gmail.com
0798888486
Ford Foundation:
Siri Zilizofichwa kwa Miaka 70 — Jinsi Philanthropy Inavyoweza Kuwa Silaha ya Kisiasa
Kipindi TUTAKACHOANGALIA 1936 – 2025
Nchi Zilizohusika...
Wakuu,
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba...
Wakuu,
Ameandika Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X tafsiri kwa msaada ya Gpt....
Msiwakandamize au kuwanyamazisha Gen Z. Hebu tujibu maswali yao. Kile mnachokiona kama machafuko kwenu, kiukweli ni maswali yanayohitaji majibu.
Gen Z hawapaswi kuchukiwa, wao ni kizazi chenye kuhoji...
Hicho ndicho kilichozuia machafuko zaidi! Bunduki haijawahi, haitawahi na haiwezi kumzuia mwanadamu anayetaka kujinasua kwenye uovu wa mtesi. Jeshi la wananchi lilitumia mbinu ya ulaghai kuwashawishi wananchi warudi majumbani kisha wakawafanyia ambushi kitu ambacho hata wao wanalijua.
Sheria za kimataifa za kitaifa na kikanda, haziruhusu maandamano na waandamanaji kubeba silaha.. waandamanaji walibeba silaha mbali mbali za kijadi hivyo kuwa ni machafuko si maandamano
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.
Ushauri wa bure kwa serikali,
Ndege nyingi za mashirika ya Uarabuni zimepaki na zinakula hasara kutokana na vita vinavyoendelea, kwa nini msiondoe kodi zenu zenye utitiri mwingi na transit visa fees kisha kualika makampuni haya yaweke hub ya muda hapa Julius Nyerere International Airport?
Tuna...
Naamu
Hakuna Msiba unaokosa Matanga na ukiona Moshi ujue kuna Moto Utawaka au Umewaka.
Bado Watanzania tupo katika Majonzi ya Ndugu zetu waliopata Maafa ya D29 ambapo ni masikitiko makubwa yanatokana na dhamira ya watu wachache kujitafutia umaarufu na Kujilimbikizia Mali kupitia Majukwaa...
Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama,
Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule,
Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano.
Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana utajengeka kwa watanzania; kwa makundi mbalimbali kwenye jamii (wafanyakazi, wanafunzi, wazee, vijana...
Idara zetu zipo makini kweli ?
nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ?
Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ?
https://tanzaniamassacre.org/Massacre
Hii sio sawa...
Katika Historia inaonyesha Kanisa Katoliki ni jadi yao kuchokonoa akiwepo Rais wasiyemtaka au akishinda wasoyemtaka.
Hii sio Tanzania au DRC tu. Hata Rwanda mauaji ya 1994 vivyo hivyo.
Kanisa Katoliki lilikua na lengo la kuleta machafuko nchini DRC kwa kutaka kumtangaza muumini wao.
Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka
Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
amani
bahati
bahati mbaya
chupa
faida
haja
kuendelea
kulinda
kulinda amani
kutumia
machafuko
matatizo
mbaya
mkono
mwl nyerere
njia
nyerere
taifa
tanzania
vita
Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka.
Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga damu za raia wasiomtaka kuwa kiongozi wao.
Waangalizi toka jumuia ya SADC waliweka wazi kuwa...
Msemaji Mkuu wa Serikali amedai kuwa Vyombo vya habari vya nje vimeandika habari ya upande mmoja kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi
"Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya...
Kama Taifa tumefikia hatua mbaya ni Kama vile hatuna kiongozi kwa huyo kila mtu anajikuta kambale wanaongea chochote wanachojisikia.
Hawa wanajiita waadhiri wa kiislamu kwa kweli kauli walizotoa si za kiungwana zinahamasisha machafuko ya kidini na mgawanyo wa kijamii lakini hakuna hatua...
Kila muoneaji na mkandamizaji hapa duniani ni rafiki mkubwa wa china na urusi na analindwa kimaslahi na wao.
Kila machafuko yanayotokea dunia kwa asilimia kubwa yanafadhiria na syndicates za kutoka mashariki ya kati.
Liberals sasa Wameona vitabu vya kishoga vimepigwa marafuku, sasa wameanza...