Mwabukusi: Msiwakandamize Gen Z, mnachokiona kama uchochezi kiuhalisia ni maswali yanayohitaji majibu

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,958
Reaction score
8,130
Wakuu,

Ameandika Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X tafsiri kwa msaada ya Gpt....

Msiwakandamize au kuwanyamazisha Gen Z. Hebu tujibu maswali yao. Kile mnachokiona kama machafuko kwenu, kiukweli ni maswali yanayohitaji majibu.

Gen Z hawapaswi kuchukiwa, wao ni kizazi chenye kuhoji. Wanastahili majibu ya kweli kuhusu masuala ya msingi ya taifa lao: uchumi wao, rasilimali zao, na ardhi yao; na siyo majibu yaliyochoka, yenye kukariri (dogmatic), na maneno matupu ambayo tumezoea.

Mtume Paulo anamuelewa vyema Gen Z. Mwalimu Nyerere angewakumbatia akitaka wawe wazalendo, wajasiri, na wasioogopa kuhoji masuala ya msingi. Katika 1 Timotheo 4:12 Mtume Paulo anasema:

“Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwa waaminifu, katika usemi, na mwenendo, na katika upendo, na imani, na usafi.”

Ukweli, haki, na uwajibikaji; hiki ndicho Watanzania wanachodai.

BAK Mwabukusi

1778063597442.png
Pia Soma:
Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu watovu wa adabu, wakija kwako chapa mikwaju, wakija kwangu nachapa mikwaju

Wakuu,

Ameandika Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X tafsiri kwa msaada ya Gpt....

Msiwakandamize au kuwanyamazisha Gen Z. Hebu tujibu maswali yao. Kile mnachokiona kama machafuko kwenu, kiukweli ni maswali yanayohitaji majibu.

Gen Z hawapaswi kuchukiwa, wao ni kizazi chenye kuhoji. Wanastahili majibu ya kweli kuhusu masuala ya msingi ya taifa lao: uchumi wao, rasilimali zao, na ardhi yao; na siyo majibu yaliyochoka, yenye kukariri (dogmatic), na maneno matupu ambayo tumezoea.

Mtume Paulo anamuelewa vyema Gen Z. Mwalimu Nyerere angewakumbatia akitaka wawe wazalendo, wajasiri, na wasioogopa kuhoji masuala ya msingi. Katika 1 Timotheo 4:12 Mtume Paulo anasema:

“Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwa waaminifu, katika usemi, na mwenendo, na katika upendo, na imani, na usafi.”

Ukweli, haki, na uwajibikaji; hiki ndicho Watanzania wanachodai.

BAK Mwabukusi

Tena majibu yasiyo ya kisiasa,ila majawabu ya maswali yaliyogeuzwa siasa kwa muda mrefu ama kwakutokujua ama kwa mazoea ama kwakupuuzwa ama kwa kuamini dola itasimama na kuwatisha wenye maswali wasiyoweza kuyajibu.
 
Wakuu,

Ameandika Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X tafsiri kwa msaada ya Gpt....

Msiwakandamize au kuwanyamazisha Gen Z. Hebu tujibu maswali yao. Kile mnachokiona kama machafuko kwenu, kiukweli ni maswali yanayohitaji majibu.

Gen Z hawapaswi kuchukiwa, wao ni kizazi chenye kuhoji. Wanastahili majibu ya kweli kuhusu masuala ya msingi ya taifa lao: uchumi wao, rasilimali zao, na ardhi yao; na siyo majibu yaliyochoka, yenye kukariri (dogmatic), na maneno matupu ambayo tumezoea.

Mtume Paulo anamuelewa vyema Gen Z. Mwalimu Nyerere angewakumbatia akitaka wawe wazalendo, wajasiri, na wasioogopa kuhoji masuala ya msingi. Katika 1 Timotheo 4:12 Mtume Paulo anasema:

“Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwa waaminifu, katika usemi, na mwenendo, na katika upendo, na imani, na usafi.”

Ukweli, haki, na uwajibikaji; hiki ndicho Watanzania wanachodai.

BAK Mwabukusi

acha bangi na pombe kali wakili mwabukusi, plz plz
 
Nyie jamaa mna kera sana. Kwa sababu dola (vyombo vya ulinzi na usalama) mmeviweka mfukoni basi mnajifanyia mambo mnavyojisikia.

Mnapindisha ukweli kuwa uongo in your favour. Ila ipo siku, tukiwa hai au tumekufa mtapata haki yenu.

Kwa sasa endeleeni na kejeli zenu na kuona watu wanaodai haki ya kweli katika taifa hili ni wavuta bangi na wanywa pombe kali.
 
mwabukusi ni vizuri akafahamu nchi hii inaongozwa kwa misingi ya kisheria na katiba nchi,

huyo kibaraka na muhani anaesota korokoroni hivi sasa, alikua mjuaji na mwenye kiburi zaidi ya huyo Mwabukusi, mpaka akasahau kwamba kuna sheria zinaongoza mambo ya siasa, ya kijamii nauchumi wa nchi yetu.

kama mwanasheria,
ni vizuri akawa na adabu kidogo vinginevyo, sheria zipo na zitachukua mkondo wake.

hayo mengine ni mawazo mgando potofu na mihemko nonsense tu gentleman, sina haja kupoteza muda nayo
 
Umesema vyema, nchi hii kuna sheria zinazoongoza mambo ya siasa, ya kijamii na uchumi. Je, huyo kibaka na muhaini mnaemsotesha korokoroni amevunja sheria ipi?? Mbona mnashindwa kuthibitisha mbele ya chombo kinacho simamia tafsiri ya sheria za nchi?? Kama amevunja hizo sheria ingependeza mseme ni sheria zipi amevunja na apewe haki yake ya hukumu.

Hamuoni kuendelea kumshikilia kimabavu kwa kuwa tu mna miliki dola ni uvunjifu mkubwa wa sheria za nchi yetu??.
 
Gentleman,
kwanza kabisa hakuna mahali nimeandika kibaka kwenye coment yangu ya msingi, na kwahivyo usinilishe maneno na ni vizuri ukaacha upotoshaji rahisi namna hiyo juu ya coment yangu.

Lakini pili,
ikiwa hajavunja sheria, kulikoni asitumie ujuaji wake katika hizo sheria ambazo unadhani hajavunja kujinasua kutoka korokoroni aliponaswa?

huyo ni mkiuka sheria sawasawa na wakiuka sheria wengine wanaosota korokoroni kulingana na wanachotuhumiwa nacho.
hakuna kitu special sana kwake zaidi ya mtuhumiwa mwingine.

na mahakama huru za Tanzania hazifanyi kazi kwa shinikizo la mtuhumiwa au mwendawazimu yeyote yule hata kama ana kichwa mbovu na kiburi zaidi mwabukusi.
Lazima kua na adabu lakini pia kutii sheria bila shuruti
 
Samahani gentleman kwa kukulisha maneno. Nafuta neno kibaka na kuweka kama ulivyoandika kwenye comment yako kibaraka

Haya twende sasa, kwahiyo kwa kuwa yupo korokoroni basi ni kweli amevunja sheria yoyote ya nchi hii?? Hivi una nafsi kweli?? Maana inawezekana nyie wenzetu mko na mwili tu.

Acheni kutumia ubabe maadam tu mna miliki dola. Tendeni haki, ipo siku haya maneno na vilio vya haki watu wanavyolilia kila siku, vitaleta maana kwako au kwa watu wako wa karibu.
 
mwabukusi ni vizuri akafahamu nchi hii inaongozwa kwa misingi ya kisheria na katiba nchi,

huyo kibaraka na muhani anaesota korokoroni hivi sasa, alikua mjuaji na mwenye kiburi zaidi ya huyo Mwabukusi, mpaka akasahau kwamba kuna sheria zinaongoza mambo ya siasa, ya kijamii nauchumi wa nchi yetu.

kama mwanasheria,
ni vizuri akawa na adabu kidogo vinginevyo, sheria zipo na zitachukua mkondo wake.

hayo mengine ni mawazo mgando potofu na mihemko nonsense tu gentleman, sina haja kupoteza muda nayo
Kwahiyo kwa mujibu wa sheria mtu akileta usumbufu kidogo, yapaswa aangamizwe mbali na kuwekwa kizuizini.!?
 
sheria ni utaratibu wa kistaarabu uliowekwa duniani kwetu ili pawepo na usawa na heshima kwa raia wote,

ikiwa wewe kwa kiburi na ujeuri ukadhani ukikika sheria utaachwa tu, tafuata taifa la aina hiyo ukaishi.
Tanzania ukikiuka sheria za nchi unanyoonyshwa na kushikishikishwa adabu kwa mujibu wa sheria hizo hizo unazokiuka,

hizo nyingine ni porojo nonsense kwa mtu alie ishiwa hoja
 
Samahani gentleman kwa kukulisha maneno. Nafuta neno kibaka na kuweka kama ulivyoandika kwenye comment yako kibaraka

Haya twende sasa, kwahiyo kwa kuwa yupo korokoroni basi ni kweli amevunja sheria yoyote ya nchi hii?? Hivi una nafsi kweli?? Maana inawezekana nyie wenzetu mko na mwili tu.

Acheni kutumia ubabe maadam tu mna miliki dola. Tendeni haki, ipo siku haya maneno na vilio vya haki watu wanavyolilia kila siku, vitaleta maana kwako au kwa watu wako wa karibu.
gentleman,
nafsi yako na mwili wako ni vitu vyako binafsi,

sheria ni utaratibu wa jamii fulani kuishi kistaarabu katika usawa ambao mataifa yote ulimwengu huutumia,
ukikiuka sheria hizo, maana yake wewe sio wa jamii husika na hivyo lazima uwajibishwe kwa sheria hizo hizo ulizokika na kuathiri mtindo wa maisha ya wengine,

mwenyezi Mungu hajawahi kua upande wa wenye kiburi na waliokosa utii kwa mamlaka
 
sheria ni utaratibu wa kistaarabu uliowekwa duniani kwetu ili pawepo na usawa na heshima kwa raia wote,

ikiwa wewe kwa kiburi na ujeuri ukadhani ukikika sheria utaachwa tu, tafuata taifa la aina hiyo ukaishi.
Tanzania ukikiuka sheria za nchi unanyoonyshwa na kushikishikishwa adabu kwa mujibu wa sheria hizo hizo unazokiuka,

hizo nyingine ni porojo nonsense kwa mtu alie ishiwa hoja
Kuweka mtu kizuizini kunakupa mda wa udadisi kama mtu alinuia kwa kupanga au ni ushawishi tu

Hujamweka kizuizini unamuangamiza wewe ni muuaji hufai kuongoza

Watu sio malaika

Ukiwa kiongozi na hutambui hili hufai fiidunia walakhera ni muuaji dhaifu asiyetambua ulezi maana yake ni nini na hufai kweli kweli
 
hakuna aliewekwa kizuizini nchini Tanzania au popote duniani,

watuhumiwa uhalifu wote nchini Tanzania huhifadhiwa kwenye mahabusu na magereza mbalilmbali ambako husubiria mashauri yao kutajwa mahakamani.

Gentleman,
hakuna haja ya kupotosha wala kujaribu kutafuta kiki useless kwenye uzushi nonsense
 
Kuzungumzwa hili ni kutafuta Kiki ndani ya Id fake

Mwehu kweli
 
Back
Top Bottom