mabomu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Niwakumbushe mabomu ya machozi hayafanyi kazi kwenye mvua

    Ndugu wa Tanzania jiandaeni na Maandamano, ikitokea mvua mjue ni baraka.
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchinjita: Tulipigwa mabomu ya machozi wakati tunajiandaa kwenda kwenye mkutano

    Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, amefunguka kuhusu tukio la kukamatwa kwake na Jeshi la Polisi, akidai kuwa walitumia mabomu wakati wa kumkamata—kauli ambayo imezua mjadala mpana kuhusu haki za kisiasa na uhuru wa viongozi wa upinzani.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Panya kugundua mabomu Cambodia

    Wengine panya huwapa hofu, lakini huko Cambodia, viumbe hawa wamekuwa msaada mkubwa usioepukika Panya wa Kiafrika aina ya giant pouched rats hupita kwa ustadi kwenye mashamba wakitafuta harufu ya TNT kemikali inayotumika kwenye mabomu mengi na mabaki ya vilipuzi. Mara wanaponusa, huashiria kwa...
  4. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?

    Wakuu habari zenu, Kiukweli nimekuwa nikifuatilia kwa utulivu kinachoendelea kuhusu baadhi ya viongozi wa dini nchini, hususan tukio linalomhusu Askofu mmoja ambaye kwa sasa jina lake limekuwa gumzo lakini kwa kweli kinachonigusa si jina lake, bali kile kinachowakumba waumini wake. Leo nimeona...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mgogoro kati ya serikali na kanisa la GCTC chini ya Askofu Gwajima: Polisi wazuia waumini kuabudu, wawapiga mabomu na kuwajeruhi wengi leo

    https://www.youtube.com/live/o_B5LqZdbCY?si=omR1VXMDoSHBZPLq Honestly, nimeshindwa kuelewa hii maana yake ni nini hasa... Polisi wamezuia majengo na mali zote za kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima Tanzania nzima zisitumiwe na wenye Mali kwa kuwa eti "jina la kanisa" lililosajiliwa serikalini...
  6. Liutenant

    JamiiForums Tanzania Kumbe kilogram zote 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa na Iran kwa asilimia 60 ziliyeyushwa na mabomu ya Marekani na Israel

    Imeweza kuthibitishwa sasa kwamba yale mabomu ya Marekani na Israel yaliweza kuyeyusha kabisa kilogram 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa kwa asilimia 60 na Iran. Vyanzo vya kuaminika ndani ya nchi hiyo vimetoa taarifa ya siri kwa jarida la New York kuwa baada ya uchunguzi wa kutumia...
  7. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Tunasitisha Vita ila Kuna Mabomu Tuliyatuma Yako njiani ngoja yafike Kwanza

    watajuta kutuchokoza. Angeendelea kupiga mpaka waondoke GAZA hao Wayahudi.
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina asema watake, Wasitake Watasimamiwa tuu! Mabaomu ya Mpina, watu Leo wanalala na Viatu!

    MPINA Kahapa mbele ya Mbingu, Haiwezekani Fedha ya Mtanzania iliwe na wahuni wachache . Ahapa Kwa Damu kua Atawasimamia tu Watake Wasitake https://www.youtube.com/live/ckgp9uI6Hlo?si=BQRpVLwOv-w813FD No Reforms ,No Election!!!
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Jemedari wa Iran akionesha namna ya kukwepa Mabomu ya Israel na Marekani

    Huyu ana demonstrate kitaalamu jinsi ya kukwepa wasiuliwe na mabomu ya makafir ya Mayahudi na Mamarekani kwa kupiga msamba aka kusambika. Hii mbinu imeonekana ni nzuri na inafaa. Na ukimwangalia jemedari. Si haba. Mashallah.
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Israel huwa inapiga mabomu spitali za Gaza. Jana spitali yao nao imekula kombora la Iran!

    Now, make it make sense. Israel huwa ikilipua spitali za Gaza inadai kwamba jengo lilikuwa linatumika kama command center ya Hamas, etc. Jana/ mapema leo Iran nayo imerusha kombora kwenye moja ya spitali huko Israel na viongozi wa Kiyahudi wanalialia kuwa Iran imecheza rafu 🤣. Well, mi nahisi...
  11. Setfree

    JamiiForums Tanzania Duh, Waisraeli ni watu wenye akili sana – Tazama mahali wanapojificha wakati wa vita. Ni raha tupu!

    Katika dunia hii yenye vita visivyokoma, taifa la Israeli linaonekana liko juu sana kwa hekima, umakini, na maandalizi ya hali ya juu ya kujikinga na mashambulizi ya mabomu. Hili ni taifa dogo kijiografia, lakini lina hazina kubwa ya maarifa, ujasiri, na ubunifu wa hali ya juu. Unapoyaangalia...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekuwa akiuza barakoa wakati wa maandamano katika jiji kuu la Nairobi auawa kwa kupigwa risasi na polisi

    Polisi wa kutuliza ghasia wasababisha kifo cha kijana mmoja aliyekuwa kwenye maandamano ya kudai haki kifo cha Ojwang na hivyo kuongeza hasira ya wananchi dhidi ya ukatili wa polisi Video inayosambaa mtandaoni inawaonesha askari 2 wa kutuliza ghasia wakimfuata kijana muuza barakoa wakionekana...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi yatumia mabomu kuwatawanya waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya waumini wa wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church). Waumini hao walikuwa wanaandamana kwenye njia ya Morogoro Road wakiwa na mabango yenye jumbe mbalimbali. Baadhi ya...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yapigwa mabomu na Israel kwa siku ya pili, Tehran inawaka moto

    Myahudi amechafukwa, mpaka sasa ngoma inazidi kuwa moto, Iran wamefaulu kuua mtu mmoja Israel ila wao wanaendelea kupoteza, wamepigwa makambi ya kijeshi, viwanja vya ndege, na miundo mbinu mingine ya muhimu na Israel wamesema hadi watimize malengo kipigo kiko pale, watapiga hadi mifumo ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyoshusha mvua ya mabomu Tel Aviv na miji jirani kujibu mashambulizi ya Israel ndani ya Iran!!

    Iran hajachukua muda mrefu, amejibu mapigo, tusubirie vita kamili kati ya Iran na Israthuku USA akiichagiza Saudia na vibaraka wake wamtulize Iran, safari hii USA atafeli kutumia vibaraka na itambidi aingie front mwenyewe, Houthi na wao nawaona punde wakiungana na Iran kushusha makombora kwa...
  16. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya ndege 30 za Israel zimeanza kunyesha mabomu ndani ya Yemen

    zaidi ya ndege 30 za kivita za Israel zimezingira muda huu ndani ya Yemen huku zikipiga bandari , uwanja wa ndege na vituo vyote vya mawasiliano. Hali ya tahadhari imetolewa muda huu Kwa raia nchini Yemeni kuhama kwenye maeneo yote yaliyo chini ya wapiganaji wa houthi.
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wananchi Tunduma hawacheki na wowote, waandamana na kufunga barabara kushinikiza serikali kuondoa foleni, polisi yawatawanya kwa mabomu ya machozi

    Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya madereva bajaji Tunduma, ambao wamefunga barabara za kuingia na kutoka katika mji huo wakishinikiza serikali kuondoa msongamano wa malori kwenye eneo hilo unaokwamisha shughuli zao.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ya Trump kwa Israel afanyiwe DNA test yawezekana ni myahudi, Maelfu ya mabomu ya MK-84 yaliyozuiliwa na Biden yamewasili Israel

    Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo yamewasili rasmi Israel siku ya Jumamosi, tarehe 15 Februari 2025 kwenye bandari ya Israel. Uamuzi...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Ripota wa Israel anauliza kuhusu hii video ya Hamas, Israel ilishambulia kwa mabomu siku 450 huko Gaza walikuwa wanapigana na nani?

    Wanaukumbi. Ripota wa Israel anatoa maoni yake kuhusu video hii: "Nataka tu kuuliza kwa upole: Je, Israel imekuwa ikishambulia kwa mabomu kwa siku 450 huko Gaza? Hamas inaonekana kuwa katika nafasi nzuri kana kwamba haikupigana vita dhidi ya jeshi la Israel." Hii video ya Hamas leo Jumapili...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel wenye thamani ya Dola billion 8, yapo makombora hatari na droni za kisasa na mabomu mazito

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Biden administration prepping $8 billion arms package...
Back
Top Bottom