mabinti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Siku mpenzi wangu aliponiambia nyumba ile kuna binti anakupenda sana,lakini ilikuwa na mabinti wengi sikumjua ni yupi

    Hii ni stori ya kweli kabisa ilikuwa miaka ya 2010 kipindi hicho ningali bado kijana nilikuwa na mpenzi wangu mmoja nilikuwa nampenda sana lakini alikuwa msumbufu hajatulia Basi kuna nyumba moja ilikuwa na mabinti warembo wengi tulikuwa tunatizamana yaani ilikuwa n'gambo ya pili si unajua...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mabinti wa Taasisi ya Mama Asemewe wapinga vikali maandamano ya Dec 9, wasema ni siku ya uhuru si ya vurugu

    Wakuu Nchi ina heka heka sana hii vijana kama hawa sidhani hata wanachokiongea kama wanakijua au ni ilmradi tu, yani ni kama wale wale wazee wa lile jiji === Katibu Msaidizi wa idara ya Mabinti na Uwezeshaji wa Taasisi ya Mama Asemewe Bi. Beatrice Mwahegili amewataka Vijana hususani Mabinti wa...
  3. Gmm Mwakage

    JamiiForums Tanzania Wazoesheni mabinti zenu kuwaambia mnawapenda, wanatapeliwa sana miili yao huku nje wakiambiwa hayo maneno

    Watoto wengi wa kike siku hizi wanatapeliwa kirahisi sana miili yao kwasababu kuna maneno wanayoambiwa na boys ambayo nyumbani hawaambiwi. Sasahivi imezoeleka kuwa maneno kama "NAKUPENDA" yanasikika kwa watu wenye mahusiano ya kimapenzi tu na wala si manyumbani mwetu. Lakini kupendana si tu kwa...
  4. feyzal

    JamiiForums Tanzania Mabinti vyuoni wanachapika sio masihara

    Wakuu habari. Leo nimekaa nikafikiria hili suala sana kuhusu kuoa hasa msomi na mambo ninayoshuhudia vyuoni ni noma na nusu tangu nipo diploma mpaka leo napiga bachelor kwakweli mambo yanasikitisha sana wazee. Mabinti kuanzia mwaka wa kwanza mpaka anamaliza wanahama tu magheto ya wana. Binti...
  5. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Ni formula gani inatumika mpaka mtu kuitwa na mabinti mubaba hapa mjini?

    Habari zenu watu wa mapenzi? Hivi ni criteria gani hapa mjini inayofanya mtu uitwe mubaba na hutu tubinti twa 2000? Iko hivi kuna siku nilikua bar ya komida kimara temboni na jamaa zangu,tumekula vyombo sana,wenzangu wote wakakata moto wakawa hawajielewi so nikawa na kazi ya kuwasomba kwenye...
  6. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Dorothy Gwajima Kwa mabinti wa kitanzania

    Kupitia mtandao wa kijamii wa facebook dorothy Gwajima amechapisha akileza kuwa wewe binti ambaye, fikra zako zinakutuma uwe mvivu mvivu kusoma au kujishughulisha na masuala ya maendeleo na kuwekeza kwenye harakati za yuko ambaye, Mungu alishamwandaa kwa ajili ya maisha yangu mimi, atanipa kila...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi).

    Aliishi mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi). Baada ya kifo cha mkewe, Khalid alipata maradhi sugu yaliyomzuia kufanya kazi. Hapo ndipo Asmaa akabeba jukumu la kulea nyumba na kumtunza baba yake kwa moyo wa upendo...
  8. curie

    JamiiForums Tanzania Nini kimewakumba mabinti wa sasa

    Zamani biniti akija geto anakuja na hotpot la ubwabwa ..Wa leo anakuja na njaa ya laki
  9. Seran

    JamiiForums Tanzania Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

    Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi. Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli gani mabinti wengi wazuri wa bar, hotel na benki hupata kazi hizo baada ya hongo ya ngono?

    Ni kweli mameneja/wakurugenzi wengi wa bar, hotel na benki hutaka kupewa ngono kwanza na mabinti kabla ya kuwapa kazi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa nilikuwa kwenye kijiji kimoja mabinti wa kisukuma wanakodi vyumba vya gesti na wanachobakiza ni kujiuza

    Zamani za kale walikuwa wanawasingizia wanawake wa eneo wanaokula ndizi kwa saana. Nimeshangaa nilikuwa kwenye kijiji kimoja mabinti wa kisukuma wanakodi vyumba vya gesti na wanachobakiza ni kujiuza na kufanya umalaya. Kuuliza nikaambiwa eti ni kawaida yao karibu senta zote eneo la wilaya hiyo...
  12. Bueno

    JamiiForums Tanzania Mabinti Mnaotuuzia Condoms Pharmacy muwe mnatupa maelekezo zaidi kuhusu Matumizi ya Condoms sio Mnatuonea Aibu Wateja Wenu

    Wakuu, ngoja leo niseme jambo moja ambalo nimepatwa nalo hapa katikati nilipokua kwenye mihangaiko yangu ya kutaka kukipata kilinda afya yangu ili nisipatwe na STI bila kutarajia sababu sikujikinga. Nilitoka zangu nikaelekea Pharmacy moja kubwa tu na kwenye hii Pharmacy hua kuna shift ya...
  13. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio role model ya mabinti wa leo kazi ipo

    Zingatia picha na chanzo cha kipato
  14. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Hivi wazee wa Kihaya wana mtazamo gani kuhusu hawa mabinti

    Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu mara kadhaa napita chimbo kupata huduma sasa nakutana na hawa mabinti kutoka mkoani Kagera sio mmoja wala wawili ni wengi they don't give shit wanapenda kuongea lugha ya kwao very confident na wanachofanya. Pointi yangu wazee wao kama Profesa Mukandala...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya kuoa mabinti wa 2000

  16. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Ndugu zanguni wenye mabinti mashuleni tuwafatilie kwa karibu

    Kuna hili jambo limenikuta. Mwaka jana binti yangu alimaliza kidato cha nne shule ya serikali ambayo ni mchanganyiko wasichana na wavulana, baadae akapangiwa kidato cha tano shule pia mchanganyiko. Baada ya kupangiwa shule niliamua asome masomo ya ziada kabla. Pamoja na hayo nikampa simu janja...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Kitanzania, Wanawake na Mabinti wa Kitanzania hebu kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Tafadhali mwenye namba ya Simu ya huyu Dada aje PM anipe ili nimpigie na nimtumie Zawadi kwa kusema huu Ukweli.
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Miaka 22 iliopita JD alitoa wimbo wa wanaume kama mabinti, wimbo ulikuwa controversial kidogo, lakini kumbe alicheza na muda na leo umekuwa relevant.

    ⚠️Vijana wa kiume wanatengeneza group chats kuwasema na kusengenya wanaume wenzao ⚠️Vijana wa kiume wana ng'anga'nia kujumuika na wanawake katika party zilizo undwa kwa ajili ya wanawake pekee. ⚠️Zamani ilikuwa unasikia sikia tu fununu kwamba flani ni shoga ila leo unawahesabu kwa maana...
  19. babukijana

    JamiiForums Tanzania Mabinti, wakwe. Wanawake.

    Hivi huwa mna matatizo gani? Hili haliusiani na siasa tafadhali sana. Hapa ilipoandikwa tuende hapo. Wewe binti leo umekua vimaziwa hivyo Mabazazi wananyonya. Wewe binti umezaliwa baba yuko wapi "mamaa oooh: Aliimba dr remmy Wema ku**nyoooko.. Haya kwenye majukumu tupeane tu jinsi ya kupiga...
Back
Top Bottom