curie JF-Expert Member Joined Oct 25, 2020 Posts 1,112 Reaction score 2,649 Aug 28, 2025 #1 Zamani biniti akija geto anakuja na hotpot la ubwabwa ..Wa leo anakuja na njaa ya laki
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 34,975 Reaction score 102,158 Aug 28, 2025 #2 …na chaja
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,073 Reaction score 21,563 Aug 28, 2025 #3 Lakini analiwa,,,,, Zamani anaishia kwenye kiti, kitandani haji ng'oo
curie JF-Expert Member Joined Oct 25, 2020 Posts 1,112 Reaction score 2,649 Aug 28, 2025 Thread starter #4 kitalembwa said: Lakini analiwa,,,,, Zamani anaishia kwenye kiti, kitandani haji ng'oo Click to expand... Mpka unakuja kupata pupuchi borders kibao
kitalembwa said: Lakini analiwa,,,,, Zamani anaishia kwenye kiti, kitandani haji ng'oo Click to expand... Mpka unakuja kupata pupuchi borders kibao
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 60,250 Reaction score 174,288 Aug 28, 2025 #5 Tafuta pesa bwashee , ina onekana cycle yako unapata mademu mwenye njaa master🤔
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,842 Reaction score 58,615 Aug 28, 2025 #6 Daaah mi mpaka leo huyu anayekuja anakuja na poti wakuu just imagine
Kubwjing JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 3,127 Reaction score 5,643 Aug 28, 2025 #7 Ni huyo wa kwako, kaeni na matatizo yenu na Demu wako brooh🤣
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,567 Reaction score 16,176 Aug 28, 2025 #8 Wasasa ni maslahi mbele
Yohimbe bark JF-Expert Member Joined Sep 1, 2019 Posts 2,869 Reaction score 7,347 Aug 28, 2025 #9 Acha kudate maslay queen mkuu date beki 3 utaletewa chakula anachokula Faza house mkuu.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,488 Reaction score 139,676 Aug 28, 2025 #10 Daaah unanikumbusha kitambo sana. Enzi hizo mke wa mtu akaniletea pilau na minyama hotelini. Ogopa sana mwanamke mwenye gari
Daaah unanikumbusha kitambo sana. Enzi hizo mke wa mtu akaniletea pilau na minyama hotelini. Ogopa sana mwanamke mwenye gari
shibela JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 3,814 Reaction score 13,560 Aug 28, 2025 #11 U marioo unaanzaga hivihivi!
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,073 Reaction score 21,563 Aug 28, 2025 #12 curie said: Mpka unakuja kupata pupuchi borders kibao Click to expand... Siku hizi vitoto bwerere, vya alifu mbili vimejaa mtaani mileage ndogo ushindwe tu wewe ! Maisha yapo kasi sana
curie said: Mpka unakuja kupata pupuchi borders kibao Click to expand... Siku hizi vitoto bwerere, vya alifu mbili vimejaa mtaani mileage ndogo ushindwe tu wewe ! Maisha yapo kasi sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,054 Reaction score 195,828 Aug 29, 2025 #13 Hatari sana... Cc: Mahondaw
Mkenye Mkuu JF-Expert Member Joined Aug 20, 2023 Posts 218 Reaction score 410 Aug 29, 2025 #14 "eras come to an end"
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 15,003 Reaction score 35,491 Aug 30, 2025 #15 Kwamba huna chakula hadi uletewe?
Udochi JF-Expert Member Joined Jul 25, 2015 Posts 1,077 Reaction score 1,581 Aug 30, 2025 #16 Wahusika wanakuja hivi punde