mabingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intelligent businessman

    HIVI KWANINI SISI MASIKINI NI MABINGWA WA MANIPULATION??

    Manipulation is to control or play upon by hurtful, unfair, or insidious means especially to one's own advantage. Sikatai hii ni sehemu ya driving force ya ulimwengu huu ili mambo yaende. Ila mbona sisi masikini ndo Kama tume iona ndo mbinu pekee ya ku survive?? Niko njiani kutokea mkoa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kati ya Wanaume na Wanawake nani mabingwa wa kuharibia wenzao maisha?

    Kwema wakuu! Kama swali linavyoeleza. Kwa upande wangu naona sisi wanaume ndio mabingwa wa kuharibia wanawake maisha. Kwenye wanawake kumi basi tisa wameharibiwa maisha na wanaume. 1. Kutia mimba na kutelekeza. 2. Kuwafanya tegemezi na kuzima ndoto zao. Hii inawafanya wanawake kuwa watumwa na...
  3. Majok majok

    Tumemaliza mechi za pwagu na pwaguzi tunawakaribisha kwenye mechi za mabingwa wa nchi zao hapo kesho

    Leo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi! Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania...
  4. Greatest Of All Time

    Ligi ya Mabingwa Ulaya: Droo ya 16 Bora kufanyika leo Jumatatu Mchana

    Kutoka Nyon, Uswizi kutakuwa na Droo ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya. Droo hiyo itafanyika saa nane mchana kwa saa za Afrika ya Mashariki. Je nani atapangwa na nani
  5. Kipenzi Changu

    Simba Queens mabingwa wa Ngao ya Jamii

    SIMBA QUEENS YABEBA UBINGWA WA NGAO YA JAMII 2023 Timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens imefanikitwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake 2023 kwa kuifunga JKT Queens kwa njia ya penati 5-4 baada ya matokeo ya goli 1-1 katika muda wa kawaida. Baada ya mchezo huo wa...
  6. SankaraBoukaka

    Kila timu inaruhusu goli ila janga kubwa SIMBA ni ufungaji..

    Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa. Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na...
  7. ESCORT 1

    Yanga yazindua jezi zake kuelekea Ligi ya Mabingwa Africa, ni kali sana

    Dakika chache zilizopita Yanga wamezindua jezi zake kwa ajili ya klabu bingwa africa. Ni jezi nzuri mwananchi usipange kuzikosa. Nashindwa kupandisha picha hapa ila jezi ni kali, Sheria Ngowi apewe maua yake
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    Sandaland amezindua jezi mbovu za Simba kuelekea Ligi ya Mabingwa Afrika

    Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.
  9. B

    Rafiki yangu akifanya tiba za kienyeji hafanikiwi huku wengine wakifanikiwa kwa haohao wataalam

    Habr za muda, wataalam mlioko hap naomb ufafanuzi. Kuna rafki yangu kila akienda kushughulikiwa swala la nyota, kutoa vifungo nuksi mikosi, kutoa jini mahaba ila hafanikishi, au akifunguka nkidogo tu baasi. Lakin akielekeza marafiki zake sehemu yeyote amekwenda wao wanafanikisha na wanapata...
  10. Scars

    CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D

    Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi. Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi. Kaa hapa kupata updates zaidi. Updates Makundi ya Shirikisho CAF CL USMA FUTURE SUPERSPORT Al HILAL Group B...
  11. Vincenzo Jr

    Droo ya Ligi ya mabingwa afrika leo tarehe 6/10/2023

    Upangaji wa makundi ligi ya mabingwa afrika
  12. J

    Yanga tufanye maandamano nchi nzima kusherekea kufuzu Makundi ya mabingwa

    Wanayanga inabidi tufanye maandamano makubwa ya kitaifa kusherehekea hatua kubwa ya timu yetu kufuzu hatua ya makundi kwenye mashindano makubwa zaidi kwa vilabu barani Afrika, CAF Champions League Hii ni michuano adhimu ambayo club chache tu barani Afrika ndio zinapata nafasi ya kushiriki...
  13. Mhaya

    Pyramids FC yawa Timu ya kwanza kuingia hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Africa 2023

    Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR FC lilikuwa la Penalti na magoli ya Pyramids yalikuwa ya kusakuana. Ikumbukwe miamba hiyo ya Farao...
  14. Majok majok

    Power Dynamo rekebisheni kiungo chenu na safu yenu ya ushambuliaji vinginevyo amjapata timu ya kucheza ligi ya mabingwa

    Ni mechi ambayo imekuwa rahisi sana kwa mabeki wa simba Kutokana na mambo kadha wa kadha ya kiufundi, kwanza ni wazuri kwenye umiliki wa mpira kwa mchezaji mmoja mmoja but kitimu bado wana kazi kubwa ya kufanya, pili awachezi mpira wa malengo na inaonekana wachezaji wao wengi awana uzoefu na...
  15. GENTAMYCINE

    Simba SC acheni Kutuzuga kuhusu Kuumia kwa Kipa Mbrazili Jefferson Luis Mabingwa wa Uchunguzi tumegundua yafuatayo....

    #1. Mmesikia kuwa Klabu ya Yanga SC muda wowote jnaenda Kuishtaki TFF huko FIFA kwa Kumruhusu Mchezaji anayecheza Ligi Daraja la Nne kuja Kucheza Ligi Kuu ya NBC kinyume na Kanuni. #2. Mchezaji Peter Banda kawashika pabaya Kimkataba na kakataa Kuondoka Simba SC na kwamba akiondoka Simba SC...
  16. S

    Simba Kuanzia Round ya pili Ligi ya Mabingwa Africa

    Timu kumi [10] zitakazoanzia 2nd Round yani hatua ya mwisho kwenda Makundi CAFCL 2023/24. 1. Al Ahly SC 🇪🇬 2. Wydad AC 🇲🇦 3. Esperance 🇹🇳 4. Mamelodi Sundowns 🇿🇦 5. Simba SC🇹🇿 6. Petro 🇦🇴 7. Tp Mazembe🇨🇩 8. Enyimba 🇳🇬 9. CR Belouizdad 🇩🇿 10. Pyramid FC 🇪🇬
  17. Kipenzi Changu

    Simba Sc kuanzia Round ya Kwanza Ligi ya Mabingwa

    Tumepokea taarifa kwamba Simba Sc na vigogo wengine wa Super League, wataanzia round ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa. Draw ya round ya awali inategemewa kufanyika tarehe 25 Julai.
  18. DELETED ACCOUNT

    Mabingwa wa CAF Al Ahly ya Misri yapigwa faini nzito ya milioni 276

    Kamati ya Nidhamu ya CAF imeipiga faini ya USD 120,000 (takribani shilingi milioni 276) timu ya Al Ahly ya Misri kutokana na matukio yaliyojitokeza katika mechi yake dhidi ya Al Hilal ya Sudan iliyofanyika 01 April 2023. Tukumbuke hii ilikuwa mechi muhimu kwa Al Ahly ambayo walikuwa wanaponea...
  19. sky soldier

    Kombe la kwanza kuja hapa kwetu Tanzania ni CAF Shirikisho, CAF Mabingwa bado hatuwezi, Yanga na Simba wajiengue mapema kwenye mabingwa

    Nelly alishawai kuimba Nini kinahitajika kuwa namba moja Wa pili sio mshindi Wa tatu hakuna anaemkumbuka Ukiwa namba moja Watakaa na kuiandika hata wakichukia Basi ndivyo ilivyo na kwenye haya mashindano ya caf interclubs (mabingwa na shirikisho). Kwa level ya timu zetu hizi ni ndoto kuja...
  20. Scars

    Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

    Anaandika Zakazakazi, YANGA SIYO MABINGWA MARA 29 NA SIMBA SIYO MABINGWA MARA 22 Hii ni changamoto kwa wadau wote wa soka nchini Tanzania; wachambuzi, waandishi wa habari, mamlaka za soka na serikali kwa maana ya wizara ya michezo na baraza la michezo. Fanyeni utafiti na mje na majibu sahihi...
Back
Top Bottom