Simba SC acheni Kutuzuga kuhusu Kuumia kwa Kipa Mbrazili Jefferson Luis Mabingwa wa Uchunguzi tumegundua yafuatayo....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
#1. Mmesikia kuwa Klabu ya Yanga SC muda wowote jnaenda Kuishtaki TFF huko FIFA kwa Kumruhusu Mchezaji anayecheza Ligi Daraja la Nne kuja Kucheza Ligi Kuu ya NBC kinyume na Kanuni.

#2. Mchezaji Peter Banda kawashika pabaya Kimkataba na kakataa Kuondoka Simba SC na kwamba akiondoka Simba SC itamlipa Mamilioni hivyo mnataka Kumbakisha.

#3. Kocha Mkuu wa Simba SC Robertinho Olivieira hakumtaka Kipa huyu Fernandez bali alimtaka Yule Do Santos ambaye anacheza Daraja la Tatu au la Pili huko nchini Brazil ila Wazee wa 10% walilazimisha huyu Asajiliwe ili wapige Pesa ila baadhi ya Makocha wa Simba SC wamenuona hatoshei.

#4. Uongozi wa TFF baada ya Kunusa nia ya Yanga SC kuwashtaki FIFA kwa kwenda Kinyume na Kanuni za Ligi Kuu na Hadhi za Wachezaji haraka sana wakawawahi Simba SC na kuwaambia wafanye lolote ila Kipa huyu Mbrazili Jefferson Luis asicheze kwani akicheza Wao TFF watatiwa Hatiani na kuwa mbaya Kwao.

Naipenda mno na sana Simba SC yangu ila kuna nyakati huwa mnanikera na ndiyo huamua Kuwageukeni na kuwatoleeni Uvivu.

GENTAMYCINE nawauliza Viongozi wa Simba SC hivi kwanini mliruhusu Kipa ambaye naamini anamzidi hata Manula Kiuwezo Beno Kakolanya aondoke wakati Kipindi hiki ndiyo alikuwa anaenda kuwa mbadala mzuri wa Manula akisaidiana na Dogo Ali Salim?

Ninachojua GENTAMYCINE nj kwamba haumwi wala nini huyu Kipa wetu wa Michongo na Ujanja Ujanja ila mmemwambia ajipigishe Shoti / ajivunje kwa Kujifanya Kaumia na atakaa Nje kwa Miezi Minne kisha Idadi ya Wachezaji wa Kigeni ibakie ile ile 12 na sasa mtafute Kipa mwingine ama kutoka ndani ( Tanzania ) au Nje na akiwa wa Nje nimeambiwa mnataka Kuwaomba TFF na Serikali ( kupitia BMT ) waruhusu Vilabu vya Tanzania visajili Wachezaji wa Kigeni hata 15 ili kusudi hawa waliozidi waweze kuwa sehemu Salama.

Uongozi wa Simba SC mnakurupuka mno. Na hapa bila ya Unafiki au Unazi wangu Niwasifu sana Watani zangu Yanga SC kwani chini ya Rais wao Injinia Hersi Said wameshatoka Siku nyingi tu katika huu Uswahili, Ujinga, Uhuni na Utapeli ambao Simba SC tunao ( upo ) tena Ukiongozwa na Mwekezaji Wetu Mohammed Dewji ( Samjo Samjo yaani Muongo Muongo ) na 75% ya Watendaji wake wa Bodi ya Simba SC.

Hovyo kabisa...!!
 
Uongozi wa Simba SC mnakurupuka mno.
Kuna watu wanatumika kama madodoki ya kusafisha madudu ya viongozi. Hivi unawezaje kuamini upuuzi wa machezaji kuachwa sababu ya kuumia wakati hajacheza Hata Mechi ya kirafiki? Kakolanya kaondoka Kwa figisu za Jaribu tena na 10% zake.
 
Aliyehusika kumleta Sawadogo anapewa kitengo cha kusaka vipaji unategemea nini?
Kwa Sawadogo alijitetea hakujua kama hakuwa timamu kimwili kwa kukosa mechi nyingi.
Kwa huyu Goalkeeper atajitetea alikuwa hajui alichezea daraja gani Brasil, pia alikuwa hajui kanuni za ligi kuu Tanzania.
Unaweza kuwa unasema ukweli kuhusu janja janja ya Somjo na viongozi wa Simba.
 
#1. Mmesikia kuwa Klabu ya Yanga SC muda wowote jnaenda Kuishtaki TFF huko FIFA kwa Kumruhusu Mchezaji anayecheza Ligi Daraja la Nne kuja Kucheza Ligi Kuu ya NBC kinyume na Kanuni.

#2. Mchezaji Peter Banda kawashika pabaya Kimkataba na kakataa Kuondoka Simba SC na kwamba akiondoka Simba SC itamlipa Mamilioni hivyo mnataka Kumbakisha.

#3. Kocha Mkuu wa Simba SC Robertinho Olivieira hakumtaka Kipa huyu Fernandez bali alimtaka Yule Do Santos ambaye anacheza Daraja la Tatu au la Pili huko nchini Brazil ila Wazee wa 10% walilazimisha huyu Asajiliwe ili wapige Pesa ila baadhi ya Makocha wa Simba SC wamenuona hatoshei.

#4. Uongozi wa TFF baada ya Kunusa nia ya Yanga SC kuwashtaki FIFA kwa kwenda Kinyume na Kanuni za Ligi Kuu na Hadhi za Wachezaji haraka sana wakawawahi Simba SC na kuwaambia wafanye lolote ila Kipa huyu Mbrazili Jefferson Luis asicheze kwani akicheza Wao TFF watatiwa Hatiani na kuwa mbaya Kwao.

Naipenda mno na sana Simba SC yangu ila kuna nyakati huwa mnanikera na ndiyo huamua Kuwageukeni na kuwatoleeni Uvivu.

GENTAMYCINE nawauliza Viongozi wa Simba SC hivi kwanini mliruhusu Kipa ambaye naamini anamzidi hata Manula Kiuwezo Beno Kakolanya aondoke wakati Kipindi hiki ndiyo alikuwa anaenda kuwa mbadala mzuri wa Manula akisaidiana na Dogo Ali Salim?

Ninachojua GENTAMYCINE nj kwamba haumwi wala nini huyu Kipa wetu wa Michongo na Ujanja Ujanja ila mmemwambia ajipigishe Shoti / ajivunje kwa Kujifanya Kaumia na atakaa Nje kwa Miezi Minne kisha Idadi ya Wachezaji wa Kigeni ibakie ile ile 12 na sasa mtafute Kipa mwingine ama kutoka ndani ( Tanzania ) au Nje na akiwa wa Nje nimeambiwa mnataka Kuwaomba TFF na Serikali ( kupitia BMT ) waruhusu Vilabu vya Tanzania visajili Wachezaji wa Kigeni hata 15 ili kusudi hawa waliozidi waweze kuwa sehemu Salama.

Uongozi wa Simba SC mnakurupuka mno. Na hapa bila ya Unafiki au Unazi wangu Niwasifu sana Watani zangu Yanga SC kwani chini ya Rais wao Injinia Hersi Said wameshatoka Siku nyingi tu katika huu Uswahili, Ujinga, Uhuni na Utapeli ambao Simba SC tunao ( upo ) tena Ukiongozwa na Mwekezaji Wetu Mohammed Dewji ( Samjo Samjo yaani Muongo Muongo ) na 75% ya Watendaji wake wa Bodi ya Simba SC.

Hovyo kabisa...!!
Haya madini kabisa .... Ngoja tusubiri wanaojua
 
Back
Top Bottom