Unguja. Timu ya Kwahani FC imetwaa ubingwa wa Masauni Cup baada ya kuichapa Mwembeladu FC kwa changamoto ya mikwaju ya penati 1-0 baada ya sare ya bao 1-1 katika muda wa kawaida na kujinyakulia kombe pamoja na kitita cha shilingi milioni tano.
Kwahani FC ndio walitangulia kupata bao katika muda...
Hello
Kupitia analysis fupi niliyofanya nimekuja na majibu kwamba Tanzania tuna asilimia kubwa 99% kubeba kombe hili
Timu nyingi za Taifa ambazo ni magiant round hii zinacheza mpira wa ovyo na hazina ubora ule tuliouzoea siku zote
Viwango vya wachezaji havipishani sana baina ya yale mataifa...
Waziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa kampuni ya UDART (mwendokasi) ilianza ikiwa na mabasi 140 lakini hadi kufikia hiyo juzi yalibakia mabasi 30!!! Yaani wameshindwa kutengeneza mabasi zaidi ya 110!!
CAG alitakiwa kufanya uchunguzi maalum na TAKUKURU wangekuwa na cha kufanya...yaani wameharibu...
Mimi ni mshabiki wa Brentford na Liverpool damu msimu huu tunaenda kuchukua epl Kwa wote msioamini haya maneno tukutane may ndio mtaamini the bees au the reds ni mabingwa 2025/ 26 tutawatoa manundu sana msimu huu.
Majira ya Saa Saba mchana wa leo, itafanyika droo ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/2026 kwa hatua ya awali.
Droo hiyo itafanyika nchini Tanzania katika studio za AzamTv.
Wawakilishi wa Tanzania kwa Ligi ya Mabingwa ni Simba na Yanga huku upande...
Wakati Tupac anauliwa nilikuwa kidato cha pili,kwa umri huo nilikuwa navaa mlegezo na kitambaa kichwani,wenzangu walienda mbali kwa kutoboa masikio na kujichora tatoo
Nilimkubali sana japo alisababisha nisifanye vizuri darasani kwa kukariri nyimbo zake badala ya masomo
Miaka kadhaa nilibaini P...
Timu ya vijana wa Kitanzania kutoka jamii ya Watanzania wa Diaspora waliozaliwa nchini Somalia kwa wazazi wa asili ya Kitanzania na Kisomali, imeibuka mabingwa wa Ligi ya Vijana mjini Mogadishu.
Ushindi huo umeonesha uwezo mkubwa wa vijana hao ambao licha ya wengi wao kutowahi kufika Tanzania...
Kuna watu humu wanawatusi sana waislamu na uislamu wao. Wanawashutumu mambo mazito mazito. Sasa mimi naomba tufanye hivi... Madrasa tunazijua vizuri mitaani na wengine tunazifikia mpaka kuweza kujua hata mafundisho yatolewayo humo. Misikiti kadhalika ni hivyo hivyo
Naomba hao watu, kwa moyo...
Hatimaye kwa mara ya kwanza hii leo klabu ya Crystal Palace imefanikiwa kushinda taji lake kubwa la kwanza baada ya miaka 119 ya msoto kupita tangu klabu hiyo ianzishwe.
Crystal Palace imetwaa taji hilo la FA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya klabu ya Manchester City.
Ushindi huu...
Uefa champions league
PSG vs intermillan
Bingwa PSG
Europa uefa league
Totenham hotsper vs manchester united
Bingwa tottenham hotspers
Ecl
Real bets vs chelsea
Bingwa: real bets
Bingwa wa laliga :real madrid
Bingwa wa seriA :intermillan
Ikumbukwe kwa epl tayari liverpool...
Katika ligi nyingi za michezo za Kimarekani, kama MLB Major League Baseball, NBA National Basketball Association, na NFL National Football League, timu zinazoshindana na wachezaji wake huitwa "Mabingwa wa Dunia"? Ukizingatia kuwa mashindano hayo yanajumuisha timu na wachezaji kutoka Marekani tu...
Mwaka huu msipobeba ubingwa hambebi tena, soka mliloonesha leo kwa Copo sio la kawaida, mbarikiwe sana wanaume nyie.
Ndio maana sikushangaa Kamwe kwenda Morocco kwenye droo, tuombe mungu mpangiwe vibonde wenu Simba muingie nusu fainal.
Kwa ushindi wa Leo Yanga wameipita Simba kwenye ranks za...
Yanga inapaswa tubadilike
Haya maisha ya kutegemea kuvuka robo kwa point chache tunapaswa tuyaache.
Hata msimu uliopita yanga tulivuna point 8 tu kwenye group stage.
Makundi yote hakuna timu hata moja iliyovuka na point 8.
Hata mwaka jana ni yanga peke yake ilienda robo na point 8. Katika...
FULL TIME: Zanzibar Heroes ndiyo mabingwa wa MapinduziCup2025
Wametwa Ubingwa Huo Mara Baada Ya Kuibuka Na Ushindi Wa Magoli 2-1 Mara Baada Ya Dakika 90.
Ushindi Huo Unaendelea Kuanikiza Mapinduzi Matukufu Ya Zanzibar
Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho, Clement Mzize na Boka wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 25 kitakacho safiri leo Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 7 2024.
Wachezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.