mabilionea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stakehigh

    Wako wapi mabilionea wa PI?

    Vijana wa PI wamekua wapole sana sjawaskia mda mrefu
  2. SSH2025_2030

    Mabilionea Chipukizi (2021-2035)

    1. Angela Kiziga 2. Elvis Kilango 3. Babalevo. 4. ZitoKabwe 5. Mbowe, Aikael, Slaveman 6. Hashim Rungwe. 7. Salum Mwalimu. 8. Moh'd Mchenjerwa, 9. Duly boy.
  3. Sales man

    wanasiasa wengi ni mabilionea wana ukwasi ambao hata Bakhressa na Mo wafanye biashara miaka miamoja hawawezi kuwafikia

    Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki . Ila wamechagua njia ya Ku-play low key . Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao. Hakikisha October Una-tiki√
  4. W

    Elimu ya darasa la saba inatosha kwenye biashara za uchuuzi, sioni haja ya kusomea hadi chuo wakati kuna mabilionea wengi std 7

    Uchuuzi ni biashara inayohitaji basi knowledge ya kujua gharama ya kununua, kuuza na faida, sio complicated kama kununua hisa, kufungua kampuni ya bima, kufungua shule, n.k. Nunua chupi 200 uza 300 faida 100 Nunua kreti lasoda 13,000 uza 15,000 nunua simu elfu 70 uza laki 2 Biashara...
  5. R

    Ndugu vijana wawili mabilionea wanaofahamika kwa kutoa motisha ya maendeleo mitandaoni (Motivational speaking) wanaswa Dubai kwa ulanguzi wa Cocaine

    Ndugu wawili vijana waliojipatia umaarufu mtandaoni Tiktok kwa kuishi maisha ya kibilionea na wakitoa motisha kwa vijana wengine kupambana wakamatwa Dubai na Cocaine.
  6. Fortilo

    Wajumbe MMK Chadema kuwa Mabilionea kuelekea January 21

    Napenda niwaoenyezee tu... Mbughi ya Uenyekiti CDM sio siasa ya kawaida, ni kama kudai uhuru mwaka 1961. Ni vita kubwa ya siasa niliyowahi kuiona toka siasa za vyama vingi nchini Mwaka 1995. Mikakati ya kumchomoa Mbowe sio ya kitoto huko Clubhouse na whatsap groups, Bahati nzuri sana ni...
  7. John Gregory

    Dancing ingelipa kiasi hiki basi Moze Iyobo na Angel Nyigu wangekuwa mabilionea

    Tuache masikhara na maisha, watu wamecheza sana kiasi kwamba huyu anayejiita Chino kid hafiki hata nusu, hata akisema anaimba, watu wameimba sana, kina Jay melody, Ray vanny mwenyewe mpaka kufikia hapo ameshasota sana na hajapata mafanikio ya ghafla na haraka, amefanya mziki tukiwa tunamuona...
  8. mdukuzi

    Kizazi cha 2000 kitazalisha mabilionea wengi zaidi nchini kuliko waliowatangulia

    Wakati mwingine mafanikio ya mtu ni bahati ya ulizaliwa kipindi gani. Mnawaita watoto wa 2000 ila nikwambie ndio kizazi bora kabisa kuwahi kutokea nchini. Kizazi kinajiamini sana, kukuta mtoto anamhoji mzazi wake kwa mambo ya msingi ni kawaida. Tuendelee... Zahir Ali Zoro ana kipaji kuliko...
  9. K

    Dotto Magari: Mabilionea na Wawekezaji waliokimbia Nchi, wote wamerudi na wanawekeza Tanzania

    Huyu hapa Dotto Keto 'Dotto Magari' anasema Mama Samia apewe maua yake kwa kupambana kuwatoa maeneo ya Makaburini na kuwapeka Mikocheni, kwamba kwa takribani miaka 30 hawakuwa na ofisi. Msikilize kwenye ‘clip’ hapa, namnukuu “Mabilionea na Wawekezaji wote waliokimbia, wote wamerudishwa...
  10. Yoda

    Kwanini watu weusi ni vigumu sana kuwa Top 10 ya matajiri na kujenga utajiri wa vizazi (generational wealth)?

    Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila...
  11. W

    Selena Gomez Aingia Orodha ya Mabilionea

    Mwigizaji na Mwanamuziki, Selena Gomez (32) ameingia katika orodha ya ‘Self made’ Bilionea Septemba 6, 2024 Kulingana na taarifa ya mtandao wa Bloomberg imesema kuwa Selena ana utajiri wa Tsh trilioni 3.5 kupitia kampuni yake ya Rare Beauty aliyoanziaha miaka mitano iliyopita Aidha Selena...
  12. I

    Orodha ya mabilionea wa Israel yaongezeka na kufikia 42

    Kupanda kwa idadi ya Waisraeli walioangaziwa kwenye orodha ya Forbes kumechangiwa zaidi na kuendelea kukua kwa tasnia ya teknolojia ya hali ya juu ya Israeli. Waisraeli 42 waliovunja rekodi walijumuishwa katika orodha ya Forbes Mabilionea Duniani kwa mwaka 2024, iliyochapishwa mapema wiki hii...
  13. BARD AI

    Elon Musk arejea tena Top 2 ya Mabilionea wa Forbes duniani

    What a year it’s been for the planet’s billionaires, whose fortunes continue to swell as global stock markets shrug off war, political unrest and lingering inflation. There are now more billionaires than ever: 2,781 in all, 141 more than last year and 26 more than the record set in 2021...
  14. D

    Kama tungefundiswa somo la madini, tungelikuwa mabilionea

    Nchi ya Tanzania ina madini ya kila aina katika sehemu mbalimbali. Kuna madini mengi sana mkoani Geita, na sehemu nyingine za nchi yetu. Kama watunga sera wa Wizara ya Elimu na mawaziri wote wa elimu wangekuwa na ubunifu mkubwa, wangeweza kuanzisha somo la madini katika shule za msingi za...
  15. Mjanja M1

    Orodha mpya Mabilionea Afrika 2024

    Forbes imetangaza orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika kwa mwaka 2024, ambapo mabilionea 20 kwenye orodha hiyo wanakadiriwa kuwa na utajiri wa jumla ya dola bilioni 82.4. Hii ni ongezeko la dola milioni 900 ikilinganishwa na mwaka uliopita. Hii ndio orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika; 1. Aliko...
  16. John abruzzi

    Mabilionea wa Dunia na Dini

    Elon Musk - Wakati akikubali kuwa mafundisho ya Kikristo ni mazuri, anasema kwamba yeye si mtu wa dini. Mark Zuckerberg - Amekuzwa katika familia ya Kiyahudi, aligeuka kuwa Atheist. Mwaka 2016 alinukuliwa akisema dini ni muhimu bila kutaja dini yake. George Soros - Anatajwa kuwa billionea...
  17. The Eric

    Arusha is over rated kuita watu mabilionea

    Salaam!!! Ukiwa Arusha ni kawaida kusikia mfanyabiashara wa kawaida kuitwa bilionea au utakuta machalii wa chuga wanasema aseee Olutu au Chuwa ni Zimba la kufa mtu yaani ni bilionea wa kuotea mbali baba angu 😅😅😅 Yaani arusha ukimiliki investment yoyote wewe tayari ni bilionea au Zimba...
  18. MK254

    Mabilionea wa Urusi, wandani wa Putin waendelea kufa vifo tatanishi

    Haieleweki nani anawamaliza na kwa nia gani... Hawa oligarch ndio huwa wamemuweka Putin mjini kwa hela yao.... Russian Billionaire Igor Kudryakov — US Times Post/File At the age of 64, billionaire Igor Kudryakov, one of Russia's oligarchs, was discovered dead in his Moscow flat following a...
  19. The Assassin

    Natabiri Elon Musk wa Tesla/Twitter kumpiga KO Mark Zuckerberg wa Facebook kwenye Pambalo lao la Masumbwi

    Matajiri wawili Duniani, Bwana Elon Musk na Mark Zuckerberg wamekubali kuzichapa kavu kavu kwenye ulingo uliofungwa, caged match siku zijazo mjini Nevada. Binafsi natabiri Elon Musk kumfumua Mark kwa KO. --- Mr Musk posted a message on his social media platform Twitter that he was "up for a...
Back
Top Bottom