mabenki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BoT mulikeni huu wizi kwenye benki unaitwa "Processing fee"

    Kama tujuavyo kwa sasa mfanyakazi anaweza kukopa online moja kwa moja kupitia ESS bila kwenda bank. Lakini cha ajabu bado Riba ni kubwa na kuna Bima ya mkopo kubwa. Tukiachana na hayo ya bima na riba bado benki wanakata "Processing Fee" (gharama za mkopo, au ada ya mkopo). Najiuliza mfanyakazi...
  2. Festo Sanga awalilia Watumishi Nchini, riba za Mabenki zinawaumiza

    Mbunge wa Makete Mh:Festo Sanga amepaza leo tar 14:02:2024 akichangia hoja ya Kamati ya Bajeti amepaza kilio chake kwa serikali namna mabenki nchini yanavyoumiza watumishi kwenye riba za mikopo. Sanga amesema " Uhai wa benki zetu nchini zinabebwa na Watumishi,lakini kiwango cha riba...
  3. Ubabaishaji wa Benki ya NBC kwenye kutoa mikopo

    Bank ya NBC ni wababaishaji sana kuhusu utoaji wa mikopo. Sijui tatizo ni nini? Mtu anaomba mkopo taratibu zote zimesha kamilika mpaka makato tayari lakini hawaingizi mkopo. Kuna jamaa ameomba mkopo NBC yapata mwezi sasa umekwisha mkopo hawaingizi na anakatwa. Amefatilia kwa Afisa Mikopo...
  4. S

    Hongera BoT kwa utaratibu wa watumishi kukopa benki kwa njia ya mtandao, japokuwa mikopo umiza mitaani bado imewashinda

    Serikali kupitia BoT, wamekuja na utaratibu mpya unaoelekeza mikopo ya Watumishi kutolewa online ambapo Mtumishi ataomba mkopo mtandaoni kuputia Watumishi Portal. Hongereni sana kwa utaratibu huu unaondoa kero ya wafanyakazi kukaa foleni benki kusubiri kuonana na Afisa Mikopo wa Benki na...
  5. Mbunge Condester Sichalwe: Wakulima undeni Vikundi vya Ushirika Ili muweze kukopesheka kwenye Mabenki kwaajili ya msimu Ujao wa Kilimo

    Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 22 Julai, 2023 ameendelea na ziara katika Kijiji cha Yala na kuzungumza na wakulima wa Kijiji hicho. Mbunge Condester Sichalwe amewashauri wananchi kuunda vikundi vya ushirika ili wavitumie kama dhamana ya kuchukua...
  6. Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada. Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari. Kwa...
  7. Haijawahi tokea, ni kufuru! Yanga yachangiwa zaidi ya tiketi elfu 30 kutoka kwa Rais, Wizara, viongozi, Mabenki, na bado zoezi linaendelea

    MUHIMU: Hawa wahusika wameguswa na mafanikio ya yanga na ni wao kwa hiari yao wameamua kushow love wameongeza hamasa kwa kuwanuulia mashabiki tiketi, wala hawakuombwa wala kulazimishwa. Rais wa nchi - Tiketi 5,000 Wizara ya Michezo>BMT -Tiketi 10,000 Benki ya NBC - Tiketi 5,000 Benki ya...
  8. K

    Miaka Miwili ya Samia ukwasi mabenki waongezeka

    Wadau wa huduma jumuishi za kifedha nchini wamesema diplomasia ya uchumi imeongeza uwekezaji na ukwasi katika benki mbalimbali kutokana na kuongezeka kwa mzunguko wa fedha. wamesema wawekezaji wapya na wafanyabiashara wa ndani wameongezeka imani yao ya kuhifadhi fedha katika benki hivyo kuongeza...
  9. Wateja wa Mabenki chukueni tahadhari kubwa, kuna wizi kwenye tozo na commission zao

    Ndugu wana-JF, kumbe tulipoambiwa kuwa eti Serikali imesikia kilio cha wananchi kuhusu tozo, na hivyo kuamua kupunguza, inaelekea ilikuwa ni hadaa kubwa. Sikuwa na kawaida ya kuomba bank statement kama hakuna sababu ya msingi. Safari hii, kuna account yangu moja iliyopo CRDB Bank ambayo huwa...
  10. K

    Mishara ya Mameneja kwenya mabenki makubwa ni sh ngapi?

    Jamani nafanya salary survey, nataka kujua posts za mameneja wa vitengo mablimbali kwye mabenki yetu ni sh ngapi kwa sasa?
  11. Huku KDF ikisafisha DRC, mabenki ya Kenya yaendelea kuingia DRC

    Amani muhimu sana DRC.... ======== NCBA Group is set to launch its mobile phone banking services M-Shwari in Ghana, Ethiopia and the Democratic Republic of Congo (DRC) through partnerships in efforts to grow further into a regional bank. The Kenyan lender, which also operates in Tanzania...
  12. Kwanini Mabenki bado yanakata Tozo za Miamala zilizofutwa na Serikali?

    Hivi wakuu mmegundua wizi unaofanywa na Mabenki kwenye makato ya miamala? Licha ya Serikali kufuta Tozo za Miamala ya uhamishaji fedha ndani ya Benki, kwenda kwenye Simu pande zote, kutoka Benki moja kwenda nyingine tangu Okt. 1, 2022 lakini bado kuna Benki zimeendelea kukata tozo hizo bila...
  13. M

    Ukistaajabu ya tozo za mabenki utaona tozo ya kuongeza salio kwenye laini za simu

    Mwigulu Nchemba na tozo nyingine tena. Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT. Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge...
  14. Kumbe tozo zililetwa ili kushindana mapato wanayopata mitandao ya simu na mabenki?

    Hebu tuzitafakari hizi kauli mfu za Naibu Spika: Ukizifikiria hizi kauli za Naibu Spika, utagundua ni kama serikali inaona gere kwa mapato wanayopata makampuni ya simu na mabenki kwenye miamala tunayoifanya wananchi. Na ndiyo maana mara ya kwanza kabisa tozo zilipoletwa mwaka jana zilikuwa...
  15. Naibu Spika ashauri Serikali kudhibiti makato ya Mabenki na Kampuni za Simu kwa wateja

    Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu kwasababu yanazidi Tozo zinazochukuliwa na Serikali. Zungu amesema wananchi wengi hawatazami mapato...
  16. N

    Nigeria wazuia tozo za simu, Vodacom Tanzania wapata hasara ya bilioni 103 sababu ya tozo, bado mabenki kilio chao very soon

    Naam waziri wa mawasiliano na uchumi wa kidigital Isa pantami ilibidi aunde kamati ku review proposal ya kuongeza asilimia 5 ya Tozo hiyo ni mbali na VAT 7.5 wanayopigwa makampuni hayo ya simu ikaonekana ni OVER over taxation, waziri kaamua kuachana nayo. Hapo ni baada ya kuona kilio kikubwa...
  17. R

    Hivi mabenki yanawachukulia wastaafu mazuzu/wajinga?

    Kila benki inawaita wastaafu wapitishie pensheni zao kwao kwa ahadi ya mikopo ya riba ndogo na mambo kama hayo. Uongo mtupu! Mfano, Azania wanawadanganya watu kwa kushirikiana na PSSSF kuwarubuni kwenda kwao kwa mikopo mizuri ya riba nafuu. Ni uongo, sana sana difference ni ndogo sana, si ya...
  18. Mabenki ya kitanzania, madirisha 5 ya kutoa huduma, Wahudumu Wawili tu, mmoja yupo muda wote mwengine anaingia na kutoka muda wote

    kuna benki zina madirisha hadi 8 ila hali ipo hivi hivi Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga...
  19. Inahitajika mtaji kiasi gani ili kuweza kufanya shughuli za uwakala wa mabenki?

    Habari wadau, Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya uwakala wa kibenki, yaani unakuwa na kibanda chako lakini unafanya shughuli za uwakala wa mabenki mbalimbali, kama vile NMB na CRDB inahitaji mtaji wa Tsh ngapi Ili kuifanya biashara hii bila kutetereka? Na pia ni vitu gani muhimu vya...
  20. Kama biashara zilikufa na kufungwa miaka 5 iliyopita, hizi faida za mabenki zilitoka wapi?

    Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti. Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita, faida imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300. 2018 Bilioni 64 2019 Bilioni 120 2020 Bilioni 165 2021...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…