Huku KDF ikisafisha DRC, mabenki ya Kenya yaendelea kuingia DRC

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,738
48,615
Amani muhimu sana DRC....

========

NCBA Group is set to launch its mobile phone banking services M-Shwari in Ghana, Ethiopia and the Democratic Republic of Congo (DRC) through partnerships in efforts to grow further into a regional bank.

The Kenyan lender, which also operates in Tanzania, Uganda and Rwanda, is in talks for partnerships with banks and telecoms operators in the three countries for mobile phone banking services.

This signals that the Kenyan bank will seek to earn commissions from the deals over setting up brick-and-mortar operations in Ghana, Ethiopia and DRC.

Kenyan commercial banks are looking beyond their borders for acquisitions and partnerships, seeking to tap opportunities outside East Africa, which are driven by rapid economic growth and trade integration.

NCBA has reaped huge rewards from pioneering mobile phone-based lending in Kenya after teaming up with telecoms operator Safaricom in 2012 to launch the dominant service, M-Shwari.
 
Kuna vitu vingine vinaandikwa kujimwambafay tu.. Hao kdf so far ni kitu gan wamefanya mpaka sasa hivi?
Na kwa taarifa zilizopo waasi wanaukaribia mji mkuu wa Goma kilometer sio zaid ya 30 yet mtu anaandika ujinga ili kujionyesha kwenye userious..
Kama ulikua unataka kuandika kuhusu iyo benk ungeiandikaa tu ila sio kuleta majivuno ya kipumbavu wakat watu wanataabika
 
Back
Top Bottom