Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, imelitolea wito Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuwajengea uwezo vijana wa Kitanzania wanaounda na kukarabati vichwa vya treni za MGR, kwa kuwapa mafunzo thabiti ndani na nje ya nchi ili kuongeza maarifa, stadi na ubunifu katika utendaji wao...
Kwa wale wakulima mliokua mnaogopa kusafirisha mazao yenu kuja Dar kwa kuhofia kuharibika bidha zenu za mazao sasa TRC wanawaletea mabehewa haya kwa ajili ya kuhifaadhi mazao yenu kama mboga, matunda na kufika mjini yakiwa fresh, kwa wanaotaka kusafirisha mazao yao ndan ya majokofu haya unaweza...
Serikali isikie kilio cha abiria wanaotumia Reli ya TAZARA, wanapitia changamoto zisizoelezeka kutokana na ubovu wa mabehewa, tuliahidiwa mabehewa mapya lakini hadi sasa kimya na muda unazidi kusonga mbele.
Pia, tuliambiwa Wachina wanakuja lakini tangu Mwaka 2025 hadi leo kimya, treni ya abiria...
Rais Samia akiwa katika ziara Mkoa wa Pwani ameshiriki uzinduzi rasmi wa safari za mizigo za reli ya SGR, Uzinduzi wa kituo cha kimataifa Logistic cha Kwala na uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala amewataka Viongozi kuendelea kuhamasisha wadau wa sekta binafsi wa ndani na nje ya nchi kuchangamkia...
Kuna ajali ya Treni inayofanya safari Pugu / Dar es Salaam City imeanguka baadhi ya mabehewa maeneo ya Karume, hivyo njia ya Kawawa Road karibu na Veta haipitiki
Behewa limeacha njia na kuanguka, Watu kadhaa wamejeruhiwa, abiria wanaotoka Magomeni kwenda Mbagala na Tandika watalazimika kutafuta...
Kwa wapenzi wa kupanga train ya mwendo kasi, kuna mabehewa fulani tulitunua kwa kodi za wananchi, tukatumia garama kubwa kusafirisha toka korea hadi hapa, ila sijaona yakitumika. Zipo fununu kwamba hayakuwa compatible, tunataka kujua why not compatible? yapo wapi? mazima au walituletea...
Tangu treni za DGR zianze kufanya kazi baadhi yetu tuliowahi kuingia ndani ya mabehewa hayo tumekuwa na mashaka ya upya wake, muonekano wa ndani si wa mabehewa mapya ni wa mabehewa ya miaka iliyopita yakizidiwa usasa na mabasi ya safari za mikoani kwa ubora wa viti na sehemu za kuchaji simu!
Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa - SGR yamewasili Bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini China Disemba 24, 2024.
Zoezi la ushushaji kutoka kwenye Meli litakapokamilika litafuatia zoezi la majaribio...
Wakati rais Samia akifungua reli ya SGR alisema utaratibu unaandaliwa kwa wawekazaji binafsi kuwekeza katika reli hii.
Wakati wakina Bakhresa wakijiandaa kuchangamkia fursa hii. Ni wakati sahihi na sisi wanaJF kuchangamkia fursa hii muhimu. Tuanzishe kikundi maalumu, tukusanye hela halafu...
TAARIFA KWA UMMA
KUWASILI KWA SETI YA KWANZA YA TRENI YA KISASA EMU
Dar es Salaam, Tarehe 03 Aprili 2024
Shirika la Reli Tanzania TRC linautaarifu umma kuwa Seti ya kwanza ya treni ya kisasa ya EMU, vichwa vitano vya umeme na mabehewa matatu ya abiria yamewasili katika bandari ya Dar es Salaam...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa Serikali itanatarajia kuweka milango wazi kwa wawekezaji binafsi kuwekeza kwenye mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwa kuingiza vichwa vya treini na mabehewa yao.
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini...
Upunguzwaji wa Mabebewa kiholela kwenye Treni ya Mwakyembe (Tazara - Mwakanga) ni kero kubwa kwa abiria, inajaza kupita kiasi na kuhatarisha Usalama wa abiria.
Imekuwa hatari pia kwa magonjwa ya mlipuko ya kuambukiza.
Tunaombeni mtufikishie ujumbe huu.
Hizi picha zinaonesha namna...
Serikali imeingiza nchini Mabehewa 27 na vichwa vitatu vya treni kwa ajili ya kuanza majaribio ya SGR.
Ni yapi maoni yako kuhusu kasi ya utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na JPM? Je, waliolalamika kuwa mabehewa ya awali siyo ya SGR wanakauli gani leo? Hongera Mhe. SSH kwa...
Baada ya ufafanuzi wa Waziri wa Fedha kuhusu namna mitumba hiyo itavyokuwa inaingizwa nchini, haya ndio baadhi ya maswali ninalojiuliza na mpaka sasa sina majibu.
Je, wewe hapo uliopo, unaamini tunao wataalamu wa kukagua vifaa kama hivyo?
Je, si kweli kuna wakati itahitajika teknolojia katika...
Kwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania.
Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda.
Gafla wakatoa mkeka wa...
Nadhani wasemaji wa serikali katika sekta mbalimbali waanze kuwa wachunguzi kabla ya kutoka kusema. Issue ya mabehewa Gerson alikuwa na uwezo wakuwaachia TRC wapambane nayo kupitia Afisa habari wao lakini yeye alibeba Bango nakuwa mstari wa mbele.
Leo hii Yale yaliyosemwa na jamii ndiyo...
Mzabuni wa bei nafuu alitenda Dola 263 Wakamchukua wa Dola 478.
Kwa Hali hii Masanja anapendwa kuwa Ofisini Kwa Ajili ya nini?
Hawa wezi wasiishie kufutwa kazi tuu Bali wafikishwe Mahakama, TAKUKURU mnafanya nini?
---
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) linakabiliwa na changamoto katika...
Dar es Salaam. Ujio wa mabehewa mapya 22 yanayotumika reli ya kati na kaskazini umeleta matumaini ya uhakika wa usafiri kwa abiria wanaosafiri kupitia njia hizo.
Akizungumza na Mwananchi leo Alhamisi Desemba 15, 2022 asubuhi Balilusa Kitunda akiwa stesheni ya Kamata tayari kuanza safari...
Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.