mabehewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi: Mabehewa yaliyokuja siyo ya SGR ni ya MGR

    Behewa ni 22 zilizokuja kwa reli ya Kati MGR na si miongoni mwa behewa za @SGR_tz. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.
  2. Sozo_

    Baada ya sakata la mabehewa kushika kasi, kipi kinakuja kufuta hili fukuto?

    Tumezoea kuona jambo gumu linapowakabili viongozi wetu, huwa kunatokea jambo lingine la kufuta sintofahamu iliyopo na watu kuhamia kwingine. Unafikiri ni jambo gani au kituko gani kitaletwa kufuta fukuto hili la mabehewa?
  3. Tareq20

    Tumuelewe nani sasa Kati ya hawa wawili kuhusu mabehewa ya treni

    Hanganya anasema ni used huyu anasema ni mapya
  4. Kitchener

    Hili jambo la mabehewa liundiwe tume

    Kiukweli, kwa wale walioishi Ulaya au hata kutembelea tu, watakubaliana na mimi kwamba hoja alizozitoa Kigwangalla na watanzania walio wengi juu ya harufu ya ubadhilifu kwenye ununuzi wa mabehewa ya SGR, inahitaji uchunguzi wa ukweli ufanyike. Yalinunuliwa shilingi ngapi, zabuni, value for...
  5. Sildenafil Citrate

    Kigwangalla: Kwanini Serikali imenunua mabehewa ya SGR yaliyotumika (used)?

    Mbunge wa Nzenga Vijijini Dr. Hamisi Kigwangalla kupitia mtandao wa twitter amehoji kwanini Serikali imenunua mabehewa “used” Amesema “Hili behewa moja (tena used) limenunuliwa kwa sh ngapi? Tumeambiwa yapo haya mabehewa 54, yamenunuliwa kwa us$ 59mn. Kwa hiyo behewa moja ni us$ 1,092,592...
  6. Robert S Gulenga

    Anachokifanya Hamisi Kingwangalla kuhoji kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa ni kwa nia ovu, ni vyema ajibiwe

    Hamisi Kingwangala (Mb), Nzega Vijini, amekuwa akitoa maneno yenye nia ya kuchonganisha kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa katika ukurasa wake wa tweeter. Kwa nafasi yake anapowauliza Watanzania kama mabehewa ni ya mtumba? Na kuonyesha tumepigwa bila ushahidi, huku akisema hajayaona mabehewa hayo...
Back
Top Bottom