DOKEZO Upunguzwaji wa Mabehewa kiholela (Treni za Mwakyembe) unahatarisha Usalama wetu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Upunguzwaji wa Mabebewa kiholela kwenye Treni ya Mwakyembe (Tazara - Mwakanga) ni kero kubwa kwa abiria, inajaza kupita kiasi na kuhatarisha Usalama wa abiria.

Imekuwa hatari pia kwa magonjwa ya mlipuko ya kuambukiza.

Tunaombeni mtufikishie ujumbe huu.

IMG-20240221-WA0003.jpg
IMG-20240221-WA0003.jpg


Hizi picha zinaonesha namna tunavyobanana ndani ya behewa moja
 
Back
Top Bottom