mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kero ya kusota vituo vya mwendokasi muda mrefu

    Wakuu Salaam. Sijui kama watu wengine wanakerwa na huu utaratibu. Kumekuwa na utaratibu abiria wanakaa sana vituo vya mwendokasi haswa Gerezani, Msimbazi B na Msimbazi A huku mabasi yamepaki Gerezani kule madereva wanapiga hadithi. Ni nini maana ya kuita Rapid Transfer ikiwa abiria anakaa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tuache tabia ya kusimamisha abiria mabasi ya mikoani

    JF . Imeniwia vigumu kukaa kimya lakini Nina hakika nitakuwa nimetoa mchango wangu kwa kulisaidia Taifa Trafik wapo mabarabarani lakini mabasi yanapita tu na abiria wamesimama abiria anasimama mpaka masaa manne ni ajabu wenye mabasi wakifika karibu na police block wanaambiwa wakae chini kwenye...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde: Rais Samia ana Roho nzuri sana ndio sababu Wamasai wanaohama kwa hiyari wanasafirishwa kwa mabasi mazuri

    Mbunge wa Mvumi Mh Lusinde Kibajaji amesema Rais Samia ana roho nzuri sana ndio sababu Wamasai wanaohama kwa hiyari wanasafirishwa kwa mabasi ya kisasa. Lusinde amesema Tanzania ni nchi yetu wote hivyo ndugu zetu Wamasai ni lazima waelewe nia njema ya Serikali yetu. Chanzo: Star tv bungeni
  4. JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi Stendi ya Magufuli, Mbezi wana kikao

    Wakuu, nimo ndani ya basi la Abood kuelekea Dodoma ambalo linapaswa kuondoka saa 12 asubuhi. Mpaka sasa saa 12:30 hakuna basi lililoondoka stendi hii ya Mbezi kuelekea sehemu mbalimbali. Nimeulizia nikaambiwa madereva wana kikao.
  5. JamiiForums Tanzania Giza totoro kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara, je serikali imeshindwa kuweka backup power?

    Muda huu giza limetamalaki kwenye kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara. Msongamano wa abiria ni mkubwa mno, magari ni kama vile yamegoma. Hii ni aibu kwa taifa , yaani mama aite wageni wake kupitia Royal Tour, halafu wageni wapande mwendo kasi uliojaa kunguni na huduma mbovu, sijui kwenye...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabasi yote ya mikoani yana tabia hii?

    Kwanini kila basi la mkoani lina tabia ya kupiga nyimbo za injili ama gospel nusu nzima ya safari? Kwani tumeshachukuliwa kuwa wasafiri wote ni wakristo?
  7. JamiiForums Tanzania Kuna Watu kama hawa kwa Wanavyotukera Abiria watakuwa Wanapanda ndani ya Mabasi ila wakishuka hawatakuwa na Meno yao

    Mtu unasafiri zako mwendo mrefu halafu anapanda Mtu anahubiri Masaa Mawili tena kwa Kelele huku Mwingine nae anakuuzia Mayai na Mahindi hadi Unakereka. Wadhibitiwe upesi tutawapiga sasa.
  8. JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi, ni vema kumwambia abiria gharama ya mzigo wake wakati anapanda basi

    Zipo baadhi ya kampuni za mabasi wahudumu wake wanakosa sifa za huduma bora ili kuepusha migogoro. Mfano kuna kampuni inaitwa Kisumapai ya Songea, kuna siku nimesafiri nimepokelewa na mhudumu aliyevaa tishet yao akaweka mzigo wangu kwenye buti. Wakati huo mkatisha tiketi wa kampuni hiyo anaona...
  9. JamiiForums Tanzania Afande Sele: Spika aombe Mirembe wapeleke mabasi yao Bungeni wachukue vichaa wao, waliopo Milembe wana msongo wa mawazo

    Mwanamuziki mkongwe wa bongo wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Afande Sele amemuomba spika wa Bunge, Tulia Ackson awaombe hospitali ya Mirembe iliyopo mjini Dodoma wapeleke usafiri bungeni na kuchukua watu wao akidai waliopo Mirembe ni wazima ila wana msongo wa mawazo wa maisha magumu...
  10. JamiiForums Tanzania Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

    Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa hii tafadhali atuwekee humu.: jeshi la polisi lakamata madereva 150 wa mabasi ya mikoani.

    Habari wanajamvi. WIKI HII inayoishia leo 21 May 2022 Nilikuwa nimekaa mahali usiku nikasikia kwenye radio kwa mbali ilikuwa ni taaarifa ya habari nikawa interested kuisikia lakini bahati mbaya ikawa imepita. Nimejaribu kuitafuta kwa bidii kwenye mtandao nimeikosa.Inaelekea haina intrest...
  12. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi na Daladala, kwani Mchawi wenu ni nani, mbona mnatutusi abiria?

    Jana jioni kupitia Radio one nimemsikia Muwakilishi au Kiongozi wa Wamiliki wa Usafirishaji Dar akiongea kwa jazba sana kulalamikia nauli kutokupanda kwa namna ambavyo wangetamani. Bwana huyu alienda mbali zaidi na kuwalaumu sana LATRA kuwa ndio wanaowaangamiza wao Wamiliki wa Vyombo vya...
  13. JamiiForums Tanzania Nauli mabasi ya mikoani zimepandishwa habla ya muda waliotangaza LATRA

    Licha ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) kutangaza kuwa mabadiliko ya bei za nauli za daladala na mabasi zitabadilika kuanzia Mei 14, 2022, asilimia kubwa ya makampuni ya mabasi yalishaanza kutumia bei hizo mpya. Safari ya Dar es Salaam kwenda Dodoma inatozwa Tsh 26,000 badala...
  14. JamiiForums Tanzania Kariakoo kuna stendi ya karibu ya mabasi ya kwenda Mbeya ili kumtumia mtu mzigo?

    Habari zenu wakuu, Nilikuwa naulizia kama kuna kituo au stend ya basi linalokuja Mbeya hapo kariakoo ili iwe rahisi kutuma bidhaa kwenda Mbeya. Mizigo ni kava za simu
  15. JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imetengaza nauli mpya za mabasi ya mijini maarufu daladala na mabasi ya masafa marefu. Akitangaza kiwango hicho kipya cha nauli leo Jumamosi Aprili 30, 2022 Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Gilliard Ngewe amesema kiwango hicho kipya kitaanza kutumika...
  16. JamiiForums Tanzania Cameroon: Mabasi 89 yaliyotumika Afcon 2021 hayajulikani yalipo

    Miezi miwili baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) Nchini Cameroon, mabasi 89 kati ya 90 yaliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kusafirisha timu hayajulikani yalipo. Basi pekee ambalo limesalia ni lile lililokuwa likitumiwa na timu ya taifa ya Cameroon katika michuano...
  17. JamiiForums Tanzania Bukoba waendelea kupigwa kalenda stendi kuu ya mabasi, Serikali yasema mpaka itafute fedha

    Pamoja na ukubwa na umaarufu wa Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla, mji ule hauna stendi inayoendana na jina lake, kuna eneo la wazi lenye vichochoro lukuki huku kukiwa hakuna urasmi wapi kwa kuingilia na kutokea pia nyakati za mvua hali ni mbaya. Leo bungeni, mbunge wa viti maalum, Neema...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini mabasi ya mikoani 'yalazimishwe' kuingia kila stendi?

    Nayazungumzia mabasi ya mikoani yanayoanzia Dar es Salaam kupitia barabara ya Morogoro au ile ya Bagamoyo. Yamekuwa na kawaida ya kuingia na kutoka kwenye kila stendi ya mabasi waikutayo ikiwa hata kama hakuna abiria anayeshuka au kupanda. Kiukweli, kuingia na kutoka kwenye stendi hizi (kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mabasi ya kubeba wanafunzi ya St. Anne ya Rweikiza hayafanyiwi 'service', yanaweza kuleta madhara kwa watoto

    Asubuhi ya leo nimekutana na magari mawili makubwa aina DCM yakiwa yamepakia wanafunzi kwenye barabara ya kwa Musuguri. Aisee magari yakiwa yanashuka bondeni ukiwa bwaloni pale, gari dereva akipunguza break utadhani ni bom la Ukraine gari zinalia sana kuashiria yakuwa hazifanyiwi services...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Harufu ya rushwa kuelekea ugawaji wa fremu stendi mpya ya mabasi Nyamhongolo (mkoani Mwanza)

    Wanajamvi, Habari zenu. Moja kwa moja kwenye mada. Ni kama wiki imepita tangu mkuu wa mkoa( mhandisi Gabriel) alipo fika stendi mpya ya mabasi iliyoko nyamhongolo kwa ajili ya makabidhiano kati ya mkoa na mkandarasi. Wakati wa makabidhiano mkuu wa mkoa aligusia mchakato wa wilaya husika ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…