Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,544
- 9,630
Sikuhiyo D9 itawale ili GSM na Engineer Hersi wajue kuwa tulichukizwa kwa kitendo cha kuchukua ada na michango ya wanayanga na kwenda kununua silaha za kuua ndugu zetu.
SawaWatu hawana muda na nyuzi za Yanga na Simba
Tutolee hapa upumbavuSikuhiyo D9 itawale ili GSM na Engineer Hersi wajue kuwa tulichukizwa kwa kitendo cha kuchukua ada na michango ya wanayanga na kwenda kununua silaha za kuua ndugu zetu.