mabango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Ngulangwa: Tuliwaita Polisi baada ya Mkutano wetu wa CUF kuvamiwa na watu wenye matarumbeta na mabango

    Timbwili jipya limeibuka Makao Makuu ya Chama cha Wananchi (CUF), Buguruni jijini Dar es Salaam baada ya wanachama wake kugawanyika katika pande mbili, wapo wanaoutambua uongozi uliopo na wengine wanaoukataa. Chanzo cha mgawanyiko huo ni barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliyobatilisha...
  2. Yoda

    Hakuna biashara za kutangaza kwenye mabango ya matangazo ya miji?

    Ukitembea miji na majiji karibia yote sasa hivi kuanzia Dar es Salaam na kwingine mabango ya matangazo barabarani bado yamejaa matangazo ya CCM ya uchaguzi ya Chagua Samia, October Tunatiki n.k Hii ni baada ya miezi matatu ya kile CCM walichojiaminisha ni uchaguzi. Uwepo wa matangazo ya CCM ya...
  3. ifa96

    Gen z sahauni kiongozi kuachia madaraka kwa maandamano yenu ya kubeba mabango ya mabox mlochora na makapen

    Wakuu huu ni ukweli mchungu kiongoz kama rais sio mchezo kumtoa mzee tusijidanganye na tusifarijiane hilo jambo haliwezekan na halitowezekana kwa stail ya maandamano ya aman zaid ni kupoteza muda tuh kwa kubeba mabango mliyochora na makapen mtachelewa sana
  4. R

    PostGE2025 Video: Waandamanaji Mbeya wanaendelea kukusanyika na mabango

    Mbeya wanaendelea kukusanyika wananchi watatulia madai yao yakisikilizwa Ila vitisho haviwezi kuwatuliza. Wamebeba mbango yanayosomeka: Uchaguzi urudiwe Tume huru Utekaji NO Samia must go Free Tz
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

    Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    Wana Yanga twendeni Uwanjani kwa wingi na mabango ya D9

    Sikuhiyo D9 itawale ili GSM na Engineer Hersi wajue kuwa tulichukizwa kwa kitendo cha kuchukua ada na michango ya wanayanga na kwenda kununua silaha za kuua ndugu zetu.
  7. Cute Wife

    GE2025 Mabango ya Samia yachomwa Masenze, safari ya kuelekea Ikulu inatengenezwa

    Wakuu, Kama inavyoonekana kwenye video, ni mwendo wa kuondoka na mabango ya Samuya tu, tunasafisha barabara na kurudisha hadhi yake stahiki. Jiji letu halipaswi kuwa na sura za Samuya hata kidogo kwa udhalimu alioacha uendelee kufanyika nchini. Safisha kila kitu chenye chembe chembe ya Samuya
  8. figganigga

    GE2025 Leo ni siku ya Uchaguzi, lakini barabarani bado kuna Mabango ya Wagombea wa CCM

    Leo ni siku ya Uchaguzi, lakini barabarani bado kuna Mabango ya Wagombea wa CCM. Kwani Sheria inasema? Je, nani atawanya nini?
  9. Common Folk

    GE2025 Hivi toka lini kuchana mabango ya kampeni za uchaguzi ikawa kosa kisheria? Ina maana ukiwa mwanajeshi sheria inakulazimisha kuchagua chama tawala tu?

    Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi! Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk! Kwa jicho la 3, mimi...
  10. comrade_kipepe

    Nyerere road inashangaza kwa haya mabango

    Yani kilichofanyika ni kama kumlazimisha mtoto akubali kua mama wa kambo ndio mama yake mzazi hali yakua mtoto anamjua aliyemzaa ni nani. Yani ni kama umemfunga mpinzani wako mikono halafu unasubiri ipigwe kengele utangzwe mshindi. Sijawahi kuona upuuzi kama huu hapa duniani.
  11. Endasak Masqaroda

    Kwanini waende Kanisani au Kuhiji Vatican na mabango?

    Habari wana jukwaa! Huko mitandaoni nimeona habari kuhusu jamaa wa LBTQ kuwa wameruhusiwa na Kanisa Katoliki kuhiji kwa mara ya kwanza huko Vatican. Nimeona pia humu kuna uzi mmoja kuhusu habari hiyo. Kuna watetea kuwa Kanisa linapokea wadhambi wote, i.e wezi, majambazi, makahaba n.k...
  12. DuaZaMama

    CAF Yataka Maombi Kabla ya Kuingia Uwanjani na Mabango au Bendera

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa muongozo kwa mashabiki kufanya maombi ili kuruhusiwa kuingia uwanjani na mabango na bendera. Maombi yanatakiwa kutumwa CAF kupitia barua pepe: 📧 security@cafonline.com siku moja kabla ya mechi. Muombaji anatakiwa kuambatanisha picha ya rangi ya...
  13. Determinantor

    Mabango ya Samia kwenye mpira ni ya nini sasa kama sio ushamba?

    Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana. At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi. Kenya hakuna bango...
  14. Waufukweni

    GE2025 Kailima: Kutumia Mabango ya Kampeni lazima upate idhini kutoka Tume au Wasimamizi wa Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema, "Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais...
  15. The Zanzibar Echo

    Watu 15 wakamatwa Uganda kwa kuharibu mabango ya kampeni ya rais

    Wanachama 15 wa chama cha upinzani cha National Unity Platform nchini Uganda, wameshtakiwa kwa kuharibu mabango ya kampeni ya Rais Yoweri Museveni, kwa mujibu wa ripoti ya tovuti ya kibinafsi ya Chimp. Polisi wanasema 15 hao waliharibu mabango katika mji mkuu wa Kampala siku chache kabla ya...
  16. Manyanza

    Yale Mabango ya Barabarani Mama ametimiza mwaka huu mbona hayapo?

    Wakuu ! Nawasalimu kwa jina la JamiiForums, Where we dare to talk openly Kama kichwa cha huu uzi kinavyonieleza hapo juu. Kumbe hawa Watendaji wa Serikali huwa wanaelewa sana yale maneno ambayo huwa yanazungumzwa na Viongozi wa Chadema majukwaani (Tundu Lissu na John Heche). Hawa jamaa...
  17. technically

    Jumatano twendeni na mabango ya no reform no Election

    Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu Kwamba bila reform hakuna uchaguzi No reform no Election!!
  18. Just Pray

    Kenya: Mbunge afunguliwa kesi kisa kutumia jina lake na picha katika mabango ya miradi inayofadhiliwa na fedha za umma

    Wakili mmoja wa jiji amempeleka mahakamani Mbunge wa Kajiado Kaskazini, Onesmus Ngogoyo, akimtuhumu kwa kuvunja sheria kwa kuweka jina lake na picha kwenye miradi inayofadhiliwa na fedha za umma. Wakili Shadrack Wambui anasema uamuzi huo ni kinyume na maadili na unakiuka Sheria ya Uongozi na...
  19. N

    TFF tunawaomba na sisi tuje na mabango ya wanasiasa na vyama tunavyovipenda kwenye dabi June,25 maana mabango ya mama yatakuwepo uwanjani

    Habari ndugu. Bila ya kupoteza muda habari za uhakika kabisa timu za Simba na Yanga kupitia kwa mashabiki wao zitakuja na mabango ya mama kwenye dabi ya tarehe 25/06/2025. TFF nawaomba msituzuie kuingia na mabango ya vyama vyetu vya siasa na viongozi wetu pendwa. Kwa nchi hii ilivyo na upuuzi...
  20. ELI COHEN

    Nakuambiaje, hii leo Israel abadirishe dini na awe muislam, hautakuja kuona mabango ya free palestine. So the issue ni itikadi wala sio haki ya ardhi.

    Niambie ni lini mwenyaaazi wa JF waliwahi kuandika nyuzi kama hizi ku-condemn yafuatayo👇🏻👇🏻 Ushawahi kusika free sudan? Ushawahi kusikia free syria? Ushawahi kusikia free yemen?
Back
Top Bottom