Salaam!
Kuna ule msemo usemao, nabii hakubaliki kwao, ni wa kweli kabisa,
Tuna kiongozi maarufu ndani na nje ya mipaka ya nchi, Tena umaarufu wake ni Katika kupigania haki na kudai mifumo imara ya uchaguzi Katika kuchagua na kuchaguliwa viongozi.
Imagine, bunge la ulaya kuweka muda special...
Natumaini mko powa wanajukwaa hili la JF (JamiiAfrica)
Leo tarehe 05/05/2025 imetimia siku 1075 au miaka 3 kasoro tangu dada maarufu kwa jina la Manka (Sauda jina la kuzaliwa) apotee kwa kutekwa na watu wasiojulikana katika mazingira ya kutatanisha yeye pamoja na bwana wake aitwaye Paroko...
Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS"
Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno.
Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa...
Mzuka Wana jamvi, yerereeeeeerreereerreereyere!!!!!
Bila kupoteza muda.
Baadhi ya Nicknames
@Magahayo = The Mongolian Savage, Mgerasi , Semenya aka Mabange
GENTAMYCINE = Popoma
Mshana Jr = Mlozi
Eli Cohen = EliNyahu Cohen , Jasusi wa Mossad
Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah = Chawaz Gang...
Hivi unajua kwamba Yesu hakuwahi kusema maneno haya hadharani alipokuwa hai?
Haya maneno yanapatikana kwenye kitabu cha Ufunuo maono aliyodai kuyaona mtu mmoja aitwaye Yohana, miaka kama 60 baada ya Yesu kuondoka duniani.
Na huyu Yohana? Hakujitambulisha wazi.
Wasomi wa Biblia wamekuwa...
Alikuwa hanipi tendo mpaka nimlipe 400k wakati ni mke Wangu"
Manara..
Hii si Mara ya Kwanza Manara kudai kulipia tendo la ndoa kwa mkewe hata kwa yule aliepita alidai hivyo
Tumezoea kusikia wasanii wa nchi kama Kenya wakilalamika wasanii wa nje kulipwa zaidi yao lakini hawaiachi pesa iende, Huko Ghana hali imekuwa tofauti, bilionea aliita wasanii watoe burudani kwenye Birthday yake, msanii maarufu wa Ghana alipogundua wasanii wa nje wamelipwa zaidi yake alirudisha...
Leo tuwataje watu maarufu hapa bongo ambao ni kama wamegoma kuzeeka. Yaani wapo vilevile miaka nenda miaka rudi.
Naanza na Blandina Chagula maarufu kama Johari.
Huyu tangu tukiwa wadogo yupo hivyohivyo mpaka leo yupo hivyo hivyo.
Tuendelee na list…
Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
========
Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Mohamed Chico amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salam.
Kwa mujibu wa msemaji wa familia Bw. Awadhi Chico...
Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali.
Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja Tosamaganga au Galanosi, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake...
Upatu na ponzi scheme zimekula pesa za watu sanaaa, na imekuwa rahisi kuliwa pesa zao kama mtu huyo anaekusanya pesa zao akiwa ni mtu maarufu kwenye mitandao au biashara.
Ni tamaa za kupata faida haraka haraka ambazo unakuta wanahaidiwa?
Ulimbukeni wetu katika maswala ya uwekezaji?
Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo.
Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?.
Mpoki naye nilishawai kumsikia kwenye maredio mpaka gigy money.
Hivi vyombo vya habari bila kuzibitiwa kuna siku wachambuzi wa siasa...
Bandari ya Mtwara mkoani Mtwara, imepokea meli ya kwanza kati ya nne ambazo zinatarajiwa kuleta viuatilifu kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa zao la korosho nchini, kwa msimu wa mwaka 2025/2026.
Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa Bandari Ferdinand Nyath, amesema meli hiyo imewasili...
Nikifika Mwanza eneo la kapripoint, nafurahishwa na namna jinsi wachora ramani walivyoyaweka majengo yakaishi na nature, bila kuharibu mazingira. Kuna tatizo la ubunifu. Ukiangalia majengo mengi nchini ni kama majengo yanafanana, hakuna utundu. Niliwahi kutoa challenge watu wajadili ubunifu...
#TANZIA: Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu mkoani Tanga. Mjata alikuwa mmoja wa wadau wa soka waliokuwa na mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa soka, na hasa kupitia upendo wake kwa timu ya Simba SC.
Mjata Mjata ni miongoni mwa mashabiki...
Nasikia director mpya wa FBI ana asili ya Tanzania. Ndugu yetu kabisa🙂. Ni watu gani wengine maarufu wana asili ya Tanzania.
1. Freddie Mercury. Alikuwa muimbaji wa bendi ya muziki ya Queen. Ukitaja waimbaji kumi wa muda wote duniani huwezi kumkosa. Alizaliwa Zanzibar mwaka 1946. Alikuwa upinde...
(1) Cherehan - Charan Singh.
Inaarifiwa uyu ndo fundi nguo wa kwanza afrika mashariki na waswahili tukashindwa kutamka jina lake tukawa tuna litamka cherehani.
(2) Kariakoo - Carrier Corps. Ofisi za kikosi cha Jeshi la mkoloni Muingereza cha kubebea vifaa vya kijeshi.
(3) Ndafu - Mzungu...