maandiko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

    Majini (mapepo) ua roho wachafu ni mengi kwa idadi hayahesabiki. Yote yako hapa duniani. Sasa tofautisha mtu kupagawa na majini (possessed) na mtu kutawaliwa na majini (Controlled). Watu wanaopagawa na majini ni asilimia kama moja tu asilimia 99 ya watu wanatawaliwa na majini. Hawa huwezi...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Nashauri serikali itumie zaidi wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kufanya tafiti na kuchapisha maandiko kama tunataka kufika mbali katika tafiti

    Kama kweli serikali ina mpango wa kuhamasisha wanazuoni wa vyuo vikuu vya Tanzania kufanya tafiti na kuchapisha maandiko katika majarida makubwa ya kimataifa, napendekeza yafuatayo: 1. Serikali itenge fedha kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kila mwaka kama mataifa...
  3. G

    Wakristo tuna maoni gani kwenye kutumia dawa za kufanya maiti isivunde haraka ili ichelewe kuzikwa kinyume na maandiko?

    Hapo zamani kabla ya ugunduzi wa dawa za maiti za kuchelewesha kuoza na kukata shombo la kuoza, watu walikuwa wanazikwa kawaida. Hii dawa huwa ina kemikali nyingi sana ili kufanya maiti isioze haraka. Ni vema kukubaliana na uumbaji kwamba kwa jinsi tulivyoumbwa kwamba mtu akifa anaanza kuoza...
  4. Mama Edina

    Mtu mwenye akili timamu Maandiko yake ni mafupi

    JamiiForums habarini. Niandike kwa kifupi Sana. Katika somasoma yangu. Nimeona na kutafakari maandiko mbalimbali watu tunayoyaandika, MTU unayeandika maneno meeengi, Kwa kawaida unarudiarudia yaleyale. Ukiwa unauwezo wa kuandika sentence chache ambazo hazimchukui msomaji dakika moja na nusu...
  5. M

    Ujinga wa mwafrika, maandiko ya kihistoria yenye mafundisho kuhusu vikwazo vya wa maendeleo kwa Mtanzania

    WADAU AWAMU YA KWANZA ya uongozi Tz ilitoa fursa ya kuchapishwa maandiko ambayo yalikuwa na mafundisho muhimu kwa kutumia maudhui ya kujikosoa na ambayo yalitupa mafundisho mengi. Moja ya maandiko hayo ilikuwa kupitia vijitabu vidogo vilivyoitwa, UJINGA WA MWAFRIKA" Miongoni mwa maandiko...
  6. Makachu

    Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

    Habarini wana JF, Tuanze, (A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu. MWANZO 19:30—38 Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika...
Back
Top Bottom