maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watu watano wauawa wakati wa maandamano Sudan

    Watu watano wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa wakati wa maandamano ya kudai utawala wa kidemokrasia nchini Sudan hapo jana Jumamosi. Haya ni kwa mujibu wa kamati kuu ya madaktari nchini Sudan. Kamati hiyo imedai kuwa vikosi vya baraza la mapinduzi ya kijeshi nchini humo, vilivamia hospitali...
  2. JamiiForums Tanzania Sudan: Wanaopinga Mapinduzi ya Kijeshi waitisha maandamano ya nchi nzima

    Wanaopinga Jeshi kuchukua Madaraka wameitisha maandamano ya Nchini nzima wakitaka kurejeshwa kwa Serikali inayoongozwa na Raia ili kurejesha Taifa hilo katika Demokrasia. Maelfu ya wananchi tayari wamekuwa wakiandamana kupinga Mapinduzi yaliyoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, na...
  3. JamiiForums Tanzania Maandamano Eswatini: Mfalme Mswati akubali nia ya kufanyika mazungumzo

    SADC imesema Mfalme Mswati III wa Eswatini amekubali nia ya kufanya mazungumzo ya kitaifa baada ya maandamano kuongezeka. Miongoni mwa walioandamana ni Wanafunzi na Madereva. Wanaharakati wanasema Mfalme huyo amekuwa akipuuza wito wa mabadiliko ambayo yangehamisha Eswatini kuelekea Utawala wa...
  4. JamiiForums Tanzania Eswatini: Jeshi na Polisi wapelekwa shuleni kuzuia maandamano

    Makundi yanayotetea demokrasia katika taifa la kusini mwa Afrika, Eswatini, yanaeleza kwamba serikali imepeleka wanajeshi na polisi katika shule ambazo wanafunzi wamekuwa wakiendelea na maandamano kwa wiki kadhaa wakitaka mageuzi ya kisiasa. Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika...
  5. JamiiForums Tanzania Sudan hatarini kukosa bidhaa muhimu kutokana na maandamano

    Sudan huenda ikaishiwa na dawa, mafuta na ngano baada ya maandamano ya kisiasa kulazimisha kufungwa kwa bandari kuu iliyopo mashariki mwa nchi, baraza la mawaziri limesema Jumapili. Watu wa kabila la Beja ambao wanaishi mashariki mwa Sudan, walifunga barabara na kusababisha bandari za bahari ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi Marekani itazuia maandamano ya watanzania Samia atakapohutubia huko?

  7. JamiiForums Tanzania Tunisia: Wananchi waandamana kupiga Rais Saeid kushikilia madaraka

    Waandamanaji wamekusanyika katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Tunis, kupinga Rais Kais Saied kushikilia Madaraka Ni maandamano ya kwanza tangu Kiongozi huyo Mkuu wa Nchi kutangaza kumfuta kazi Waziri Mkuu na kusitisha shughuli za Bunge Julai 25 Rais Saeid bado hajafanya uteuzi wa Waziri Mkuu au...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi Taliban wanavyoyazima maandamano hawana tofauti sana na Serikali yetu

    Imeripotiwa kwamba leo baadhi ya wanawake wa Afghanistan waliandamana wakipinga kuundwa kwa serikali mpya chini ya Taliban ambayo haina waziri mwanamke hata mmoja. Katika harakati za kuzia maandamano hayo Taliban wamewatembezea vipigo waandamanaji pamoja na waandishi wa habari walikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Taliban yatawanyisha maandamano ya Wanawake kudai haki

    Maafisa wa Taliban wamevunja maandamano ya Wanawake kadhaa huko Kabul. Imeelezwa Wanawake hao walikuwa wanadai Haki ya kufanya kazi na kujumuishwa kwenye Serikali. Kundi hilo limesema mabomu ya machozi yalifumika kuwasambaratisha wakati wakijaribu kutembea kwenda Ikulu ya Rais. Huu ni...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Polisi wajeruhiwa maandamano ya kupinga chanjo ya Uviko

    COVID-19: Five police officers injured after violence breaks out at anti-vaccine protest in London Ten people were arrested after demonstrators clashed with police in Canary Wharf and South Kensington. Friday 3 September 2021 23:39, UK
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukiitisha maandamano kupinga Tozo za Simu na Kodi za Majengo kupitia LUKU, watu wengi wanaweza kujitokeza

    Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi. Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi...
  12. JamiiForums Tanzania Watu watatu wauawa katika maandamano ya kupinga utawala wa Taliban

    Watu watatu wameuawa na dazeni ya wengine wamejeruhiwa baada ya wanamgambo wa Taliban kufyatua risasi ili kuwatanya watu waliokuwa wanaandamana kupinga utawala wa kundi hilo katika mji wa Jalalabad. Video zilizochukuliwa na kituo cha habari cha Pajhwok Afghan News, zimeonyesha waandamanaji...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tunakataliwa kufanya maandamano ili watawala watawale kwa oppression

    Kuhusu tozo la miamala kwa umoja wetu tulilala kupitia mitandandao ya kijamii. Tuliambiwa Rais alisikia kilio chetu na analifanyia kazi. Maelezo yaliyotolewa na msemaji mkuu wa serikali yalikua haya: Juzi katika mahojiano na BBC, Raisi anatushukuru Watanzania kwa kukubali tozo la miamala...
  14. JamiiForums Tanzania Fatma Karume na Maria Sarungi sijawaona katika maandamano Mahakama ya Kisutu, wanachochea halafu wamejificha nyuma ya kabati

    Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata. Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA Arusha wagoma kushiriki maandamano kuhusu suala la Mbowe

    CHADEMA ARUSHA YA LAZIMISHA VIJANA KUSHIRIKI MAANDAMANO, VIJANA WAGOMA WATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU SUALA LA MBOWE Mkoani Arusha. Moja ya mikakati mikubwa inayoendelea kufanywa na CHADEMA nchini ni pamoja na kuendelea kuratibu zoezi kubwa la maandamano kwenda mahakamani kwa ajili ya kuishinikiza...
  16. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

    Hali si shwari katika viwanja vya mahakama ya kisutu hapa getin wandamanaji wa chadema na mabango yao wamekula SMASH za kutosha ila sikuona maana ya kuwakamata kwa maana ni maandamano yasiyokuwa na fujo hapo wengine wameshakula nduki na wanakimbizwa.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wafanya mazoezi ya utayari wa kupambana na uhalifu wowote. RCP Muliro asema hawataruhusu kikundi cha watu kutengeneza hofu

    Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu. Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.
  18. JamiiForums Tanzania Utajuaje kama Watu fulani wanaandamana, Tafsiri hasa ya neno Maandamano ni ipi?

    Kwa Mjini kama Dar es Salaam na kwingineko si jambo la ajabu kukuta makundi ya watu mabarabarani wakitembea kuelekea huku na kule , wengine masokoni , wengine kwenye viwanja vya soka , wengine wakitafuta Bar nzuri za kunywea pombe zao baada ya uchovu wa hapa na pale , wako pia wengjne...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Nawasalimu kwa jina la JMT. My take; Huu utitiri wa mawakili siyo...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini CHADEMA mpo wanyonge sana?

    Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango. Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao. Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa? Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo? Mnaogopa nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…