Haya yaliyotokea jana kwenye miji ya majimbo mbalimbali si maandamano.
Hayakuwa maandamano ya kudai haki.
Zile zilikuwa ni vurugu.
Sasa kinachobamba kwenye habari si kifo cha George Floyd. Ni hizo vurugu za hao wapumbavu.
Majitu yanaenda yanavunja maduka na kuiba pombe, nguo, masufuria, nepi...