GE2025 HAKUNA chombo cha Habari Tanzania kimeripoti maandamano

GE2025 HAKUNA chombo cha Habari Tanzania kimeripoti maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Agent-47

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
785
Reaction score
2,830
Wanabodi
Hapa ndipo tulikuwa tumefikia. Hakuna chombo cha habari kimetoa taarifa kuhusu maandamano yanayoendelea nchi nzima.

Vyombo vyote vimepigwa ganzi. Havijui nini vifanye kwa maana ufanya kazi kwa maelekezo na wakuwapatia maelekezo safari hii kajificha chini ya uvungu.

Anyway, #MO29 āœŠšŸ¾
 
Vinaogopa ccm kupitia tcra itavinyang'anya leseni na hivyo hakuna atakayeandika wala kurusha video.

Magazeti yote waliishapewa vichwa vya habari na habari za kuandika, utaona vyote vitasema Samia kashinda.

Sisi tutampindua.
 
Nchi ikikombolewa watakuja kujibu tu mbele ya utawala mpya wa haki na sheria...
 
Screenshot_20251029_180939_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom