GE2025 Kwa nilichokishuhudia Leo kesho 29, hakuna maandamano

GE2025 Kwa nilichokishuhudia Leo kesho 29, hakuna maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,402
Reaction score
9,246
Yaani nimekutana na hekaheka za wanaume wa Dar, wanawake kwa watoto, masokoni na mabarabarani wakinunua vyakula kama watu wanaojiandaa na janga la njaa..

Wengi wamepanga kujifungia majumbani kwao..hii nchi uoga ndio adui namba moja.

Raisi SAMUYAAAAA!!, hakutakua na nywinywi Wala nyunyinyiii

Adiosss
 
Yaani nimekutana na hekaheka za wanaume wa dar, wanawake kwa watoto, masokoni na mabarabarani wakinunua vyakula kama watu wanaojiandaa na janga la njaa..Wengi wamepanga kujifungia majumbani kwao..hii nchi uoga ndio adui namba moja.

Adiosss
Sio dar tu Shopperz arusha nayo imefurika sana toka janaa ukienda jioni ni mshike mshike
 
Mtu mwenye uwezo wa kwenda kufanya shopping ya chakula leo hiyo sio muhusika wa maandamano..
Eti shoppers..una uwezo wa.kwenda shoppers alaf uandamane..
Wanaoandamana sio nyie matajiri nyinyi hamjui hustle watu wanapitia kitaa ni mlo mmoja!
 
Wapo wataenda na magari yao yaan wao wana andamana ndani ya magari
 
Wajinga wengi huendeshwa kwa hisia, trust me hiyo kesho hao waandamanaji kila utaemuuliza atakua na hoja yake binafsi, kitu ambacho hata wakifanikiwa bado itakua hawajafanikiwa maana humo ndani mtafaruku bado utakuwepo.
Mbombo ngafu hiii cameroon rais yupo madarakani miaka 40 na ana gombea na wananchi wametulia kimyaa
 
Wajinga wengi huendeshwa kwa hisia, trust me hiyo kesho hao waandamanaji kila utaemuuliza atakua na hoja yake binafsi, kitu ambacho hata wakifanikiwa bado itakua hawajafanikiwa maana humo ndani mtafaruku bado utakuwepo.
HACHA tuone
 
Back
Top Bottom