Jana Wananchi wa Tanzania waliamua kufanya maandamano ya kupinga Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2025.
Miongoni mwa vitu wanavyodai ni KATIBA MPYA ya WARIOBA Iliyopendekezwa na Wananchi, PIA kuachiwa huru kwa TINDU LISSU, HECHE NA POLEPOLE, Huko Arusha nimeona wamebeba...
Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo.
Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
Wanabodi
Hapa ndipo tulikuwa tumefikia. Hakuna chombo cha habari kimetoa taarifa kuhusu maandamano yanayoendelea nchi nzima.
Vyombo vyote vimepigwa ganzi. Havijui nini vifanye kwa maana ufanya kazi kwa maelekezo na wakuwapatia maelekezo safari hii kajificha chini ya uvungu.
Anyway, #MO29 ✊🏾
Haiwi haiwi huwa. Waliokuwa wakituzodoa kuwa watanzania ni woga hawawezi kukinukisha mko wapi chawa wakubwa nyie? Samia na tambo za Khadija Kopa yuko wapi? Mnataka amani bila haki. Kweli hii inawezekana?
Ushauri wangu wa bure ni kwamba tuache kuishi kwa mazoea binadamu ana tabia zinazobadilika...
Habarini Wakuu,
Aisee Maandamano ya Arusha kutokea Sakina, Mianzini, Ilboru, na Sanawari kuelekea Clock Tower umezima kabisa zoezi la upigaji kura na kusababisha uharibifu wa mali
Vijana wametoa vifaa vya kupigia na kutupa barabarani kisha kuchoma moto
Pia Wamechoma magari nane mpaka sasa...
Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari.
Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
WAkati maandamano yakiendelea kushika kasi na kupamba moto, wananchi kadhaa wameonekana kujeruhuwa baadhi wakiwa wanaingizwa kwenye magari ya polisi huku wengine wakisaidiwa na wananchi wenzao.
Hapa inatakiwa kuhakikisha mtu hakamatwi na polisi, akiumiwa asaidiwe na kupatiwa msaada wa kwanza...
Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani.
Naona vyomba vya kimataifa tu sio ITV wala TBC tukiwaondoa wahuni wakatafute nchi ya kuwatangazia wananchi tumesema
Maandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani
mfano lile tukio la wanakimara kushuka magomeni na kuleta vurugu na kuchoma magari pale kikombe cha mateso kwa wana-kimara kilijaa kukawa hakuna cha kupoteza hawakupanga ila ilitokea
Lakini tunatakiwa kufahamu...
Yaani nimekutana na hekaheka za wanaume wa Dar, wanawake kwa watoto, masokoni na mabarabarani wakinunua vyakula kama watu wanaojiandaa na janga la njaa..
Wengi wamepanga kujifungia majumbani kwao..hii nchi uoga ndio adui namba moja.
Raisi SAMUYAAAAA!!, hakutakua na nywinywi Wala nyunyinyiii...
Maandamano ya kesho hayatafanikiwa. Hii ni sababu watanzania wengi hawajawa desperate enough kufikia ile hali ya kuwa tayari ku risk maisha yao. Wengi hawajafikia hatua ya kutokuwa na cha kupoteza liwalo na liwe.
Matokeo yake, maandamano yakifeli yamkini wenye mamlaka watapata kibuli na kuanza...
Tamko rasmi la Baraza la Vijana Chadema Taifa (BAVICHA) kuunga mkono maandamano ya vijana wa Gen Z, kesho Oktoba 29,2025.
==
Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) limeundwa kwa mujibu wa ibara ya 7.8.2 (a) ya katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya mwaka 2006 toleo la 2019...
Raia wakiwa wanapanga namna ya kuandamana , wapi pa kuanzia,
Panya road nao bila shaka watakuwa wamejipanga kuiba kwa kigezo cha maandamano.
Umakini uwepo.
Imepangwa kwa makusudi kwamba siku ya uichaguzi rais atakuwa Zanzibar. Kama ni kweli ni kuogopa usalama wa Bara, hili nalo ni jambo la ajabu kwa sababu majeshi yanayolinda nchi, bara na visiwani yako chini ya mkuu mmoja.
Yawezekana ni kuogopa maandamo, lakini ni hakika kwamba visiwani wao...
Na. M .M. Mwanakijiji
Kuna kitu kinaitwa "best case scenario na worst case scenario". Kutegemea unayemuuliza kuelekea keshokutwa mitazamo inaweza kutofautiana.
Kwa uapnde wa serikali best case scenario ni kuwa uchaguzi utafanyika kwa amani, hakuna maandamano na Rais Samia atachaguliwa na nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.