maandalizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Mawaziri EAC Wakutana Kukamilisha Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika leo tarehe 5 Machi 2026 jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya hiyo utakaofanyika tarehe 7 Machi 2026. Mkutano huo ambao umepokea na...
  2. Roving Journalist

    Makatibu wakuu EAC wakutana kwa maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi

    Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia masuala ya mtangamano wamekutana katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, ikiwa ni muendelezo wa maandalizi ya Mkutano wa 25 Wakuu wa Nchi Wanachama wa EAC utakaofanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha...
  3. H

    Katibu Mkuu wa (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa (EAC)

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo, unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
  4. H

    Makatibu wakuu EAC wakutana kwa maandalizi ya mkutano wa 25 wa wakuu wa nchi

    MAKATIBU WAKUU EAC WAKUTANA KWA MAANDALIZI YA MKUTANO WA 25 WA WAKUU WA NCHI Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia masuala ya mtangamano wamekutana katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, ikiwa ni muendelezo wa maandalizi ya Mkutano wa 25...
  5. H

    Maandalizi ya mkutano wa wakuu wa nchi za EAC yaanza jijini Arusha

    MAANDALIZI YA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA EAC YAANZA JIJINI ARUSHA Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa...
  6. Roving Journalist

    Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za EAC yaanza jijini Arusha

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha. Mkutano huo Maalumu wa...
  7. VN Warehouse Limited

    Wataalamu wa afya husisitiza mlo kamili, lakini wanasahau kusisitiza maandalizi sahihi

    Hi Everyone Tunasikia mara kwa mara wataalamu wa afya wakituelekeza kula mlo kamili: Mboga za majani, matunda, protini, nafaka zisizokobolewa na maji ya kutosha. Lakini kuna eneo moja ambalo halizungumzwi sana - namna chakula hicho kinavyoandaliwa. Unaweza kula mlo kamili, lakini kama...
  8. Mshana Jr

    Uuuuwiii! Kumbe kuna maandalizi ya 'Maridhiano Day'?

    Hiki ni kituko kingine cha ccm mwaka 2026 Mbona terms za maridhiano zilishawekwa wazi na Gen Z Hawa watu sijui watuonaje huko Na viwango vimeshawekwa.. Hii ni aina nyingine ya upigaji Kibaha kuna viwanda visivyopungua 200 vingi vikiwa ni vya wachina.. Karibia wote wamepelekewa hii barua...
  9. R

    Tetesi: Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea Oktoba 29, 2025

    Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea October 29,2025 By the way, hii ni ya sasa au ile ya zamani? Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, (ICC), kupitia Baraza la wanasheria wake, imetangaza kuwa ipo katika hatua za maandalizi ya kuanza uchunguzi nchini Tanzania kwa lengo...
  10. Roving Journalist

    Kuelekea uzinduzi wa Soko la Kariakoo, Prof Shemdoe asema ameridhishwa na maandalizi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya ufunguzi Soko Kuu la Kariakoo lililopo Ilala Jijini Dar es Salaam. Prof. Shemdoe ameyasema hayo leo Februari 07, 2026 alipotembelea...
  11. Richard

    Kuondolewa Jeshini kwa Meja Jenerali Gaguti awe balozi na pia kuondolewa kwa RC wa Kagera Hajjat Fatma ni maandalizi ya kustaafu au ni mambo mengine?

    Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi. Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa). Meja...
  12. Chibike

    Maandalizi ya Krismasi yananoga, watu wanakula bia

    Kula bia kula bia kula bia kula bia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻 Kula bia kula bia kula bia kula bia...bia tamu 😂😂😂😂😂😂😂 we hapa lounge bar tunaondoka tarehe 2 mwakani ni kula bia kula bia kula bia ..😂😂😂😂
  13. ChekoFagia

    Viongozi wa Dunia Wacheka Kutokuwepo kwa Trump, Ramaphosa Asifiwa G20 kwa maandalizi mazuri

    Viongozi wa dunia wakicheka kwa urahisi kutokana na kutokuwepo kwa Trump na kumpongeza Ramaphosa kwa maandalizi mazuri ndivyo Mkutano wa G20 ulivyohitimishwa jijini Johannesburg. Rais wa Afrika Kusini alikataa kukabidhi uenyekiti kwa naibu balozi wa Marekani. “Afisa mwenzake kwa kiwango sawa”...
  14. S

    David Kafulila kuongea leo, Sept Mosi kwenye Dk 45 za ITV

    TANGAZO Usikose kutazama mjadala maalum utakaorushwa moja kwa moja kupitia kituo cha televisheni ITV leo saa 3:00 usiku kwenye kipindi cha DKT 45. Mjadala huu utakuwa na mgeni rasmi Bw. David Kafulila mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC, ambapo pamoja na mambo mengine, ataeleza kwa kina...
  15. figganigga

    Full Video: Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge hadi jinsi ya kuwala

    Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge. Ukishaonja nyama ya panya huachi. Kenge ndo mtamu balaa Mdau hapa kaweka video hatua kwa hatua ya Uandaaji wa nyama ya Kenye hadi jinsi ya kumla
  16. Waufukweni

    Msigwa: Tanzania imeanza maandalizi ya kuwa mwenyeji wa 'Miss World' 2027

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa "Tumeanza maandalizi ya kuwa mwenyeji wa 'Miss World' 2027, matarajio yetu ni kwamba juhudi hizi zikifanyika zitatusaidia kuongeza idadi ya Watalii na kuitangaza Tanzania.....''
  17. McLaren

    Vijana 149 wahitimu mafunzo ya Mgambo. Je ni maandalizi ya Uchaguzi?

    Vijana waliohitimu mafunzo ya jeshi la Akiba wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wametakiwa kuishi kiapo walichoapa pamoja na kutumia vizuri mafunzo waliyoyapata katika kipindi chote Cha mafunzo ili kuendelea kuwa wazalendo. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Ambrosi Lijualikali wakati...
  18. Benson Mramba

    GE2025 Kwa maandalizi ambayo Mama Samia amefanya kwa ajili ya huu Uchaguzi Polepole na agenda zake anahitaji muujiza

    Kuna kitu kinaitwa point of no return it is either you win or loose in the battle field. Live or die hard Mama Samia amesha invest sana kwa ajili ya kampeni za mwaka huu. Asipogombea kwa mfano nani atamfidia gharama zake? It's obvious hawezi kukubali hasara kubwa namna hii. Leo katika kuchukua...
  19. MwananchiOG

    Hakika mafanikio hayaji bila maandalizi, Tazama video hii kisha utajua kwanini kuna timu kila mwisho wa msimu huambulia kombe la ranking

    Mafanikio = Serious Commitment ✅ Kujituma kwa moyo ✅ Njaa na kiu + hasira ✅
  20. MBOKA NA NGAI

    Maandalizi ya vita Kivu kusini(M23 yasemekana kujiandaa kikamilifu)

    Baada ya serikali ya DRC kuongeza wanajeshi na mercenaries kutoka Marekani na Ulaya, taarifa za awali, zinasema AFC/M23 imeshazingira Uvira. Rais wa DRC amesema atahakikisha Kivu zote zinarudi kwa gharama yoyote.
Back
Top Bottom