maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, wewe kama muwekezaji kwenye soko la hisa unafahamu maana ya return on equity (roe)?:twende pamoja 👇

    🔑 RETURN ON EQUITY (ROE) 👉 ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida. Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: “Kila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?” 📌 Jinsi ya kuipata ROE...
  2. M

    Tukatae au tukubali,mashekhe wetu wa kiislamu ndiyo maana tunadhalaurika ona sasa,askofu rugambwa ameitwa ikulu sie tulijazwa tu ukumbini.

    Tukatae au tukubali kuna namna Sisi waislamu hawa viongozi wa kisiasa au kiserikali wanavyotuchukulia au kuna namna hawa maaskofu hasa hawa wakatoliki wanavyojipostion aisee very educated on sasa sie mashekhe zetu tumekusanywa ukumbini tukipiga soga na kupewa alkasusi pamoja na juice ya bakhresa...
  3. Siku covax akiandika kupinga hichi kitu ndio nitamuona wa maana

    👇🏻👇🏻 Tofauti na hapo ataendelea kuwa🚮🚮 na itikadi yake uchwara
  4. Maana halisi ya Demokrasia ni mgawanyo wa madaraka kwa zamu, bila kujali ubora wa kiongozi

    Kumekuwa na kauli za "Hata hao wapinzani na wao wanapigania matumbo Yao, utasikia mtu anasema hata huyo LISSU anajipambania yeye na familia yake" Ni ukweli kwamba hata tukiwapa nchi chadema wataila wanavyotaka, lakini ndio demokrasia inavyotaka. Lengo la Demokrasia ni kuua tawala za kifalme na...
  5. M

    Zanzibar toeni mrija wekeni bomba la kunyonya mali za watanganyika maana tumelala sana na kusikia kwa kenge ni mpaka masikio yavuje damu.

    Kwa utajiri wote wa taifa hili, bado mnatumia mrija wa muungano kutunyonya? Ni muda wa kuvunja mrija na kuweka bomba (pipeline) la neema moja kwa moja kwenda Zanzibar Kwakuwa watanganyika wamekosa uzalendo wanapigia magoti pesa na vyeo kuzidi taifa lao hio tayari ni tiketi ya kuweka bomba...
  6. Kwa maana hii Ukraine wameshindwa vita

    Kwasababu ambazo Trump ameziorodhesha ni kweli Ukraine pamoja na kusaidiwa na marekani pamoja na umoja wa nchi za ulaya hii vita imewashinda
  7. Kisiasa nini Maana halisi ya Kihongosi kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM na Makalla kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa?

    Wajuzi wa mambo ya karata za siasa, mikakati ya kisiasa, let's talk about strategic political approach, ambayo inaakisi mabadiriko hayo. Je, talent ya Kihongosi kucheza na jukwaa la siasa hasa mvuto kwa vijana na kipawa chake cha kuburudisha na kwenda sambamba na aina ya hadhira katika majukwaa...
  8. Mahusiano yasiyo na maana

    Wakuu kwema humu... . Kila mtu lazima atakua matarajio yake kwenye maisha hususani swala la kuwa na ffamilia..swali langu je unaweza kuoa mwanamke ambaye anamtoto.? Binafsi siwezi kabisa
  9. Kigwangala My Brother Njoo tuwaze wote Nje ya Box; maana kwa sasa na wewe slogan yako kubwa ni No Reforms No Election,Usiende kule ili mtu apate ajali

    Jumapili ni Njema wana JF Mungu ni Mwema na kwa wale wenye changamoto kubwa tuendelee na Novena. Niende kwenye Mada kwa ufupi, Wadau wote tumesikia majina yametoka wataokuwa wabunge kupitia CCM katika Bunge lijalo kwa uchache;- Baba Levo- Kigoma Mjini JOSHUA NASSARI- Arumeru Mashariki Kuna...
  10. H

    Wabunge wasio wasomi i e:Babalevo wana maana kubwa kuliko wabunge wasomi i.e:kimei

    Je tangu mmekuwa na bunge la wasomi limewasaidia nini ktk maendeleo yenu kwa mmojammoja au kwa ujumla? Tatizo la waTanzania ni majungu na uropokaji pasipo kuwa na tija mtu amekaa tu mtaani chini ya mti hana mbele wala nyumba watu wanajitokeza kugombea nafasi za uongozi badae wanapita yeye...
  11. Kama January Makamba amekatwa na Freid Lowassa maana yake 2030 Ridhiwani Kikwete ndo anaweza kuwa Rais

    Kitendo cha kumkata Freid Lowassa ndo njia Rais ya kumuingiza RK jengo jeupe . Kiufupi 2030 Rais ni RK.
  12. Z

    Daktari hapa maana yake nini?

    Tarehe 11 mwezi wa 7 wife alianza period, na siku ya tatu akaanza clomid 50mg kwa siku 5 akinywa orally, sasa tukapin point siku za ovulation tukajamiiana kwa lengo la kupata mimba, sasa akategemea kama period ingeweza kuanza tarehe 10 mwezi wa 8, lakini hakuanza period mpaka leo tarehe 22 , pia...
  13. Kama unahitaji design ya dream house yako fuatilia hii mada

    ave thread maana tutapost design nyingi kali hapa from our design gallery, tunapost daily +255624004650
  14. Ametekwa aliyeimba 'Wajinga ndio watatiki' - Kadiri Ukosoaji utakavyoedelea, Ndivyo watu wataendelea kutekwa!

    Watanzania Tushukuru sana Mungu kuingilia Kati hii vita. Nimekua nasema humu Kila Mara, Uhai wa Kisiasa wa Samia na genge lake, utahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji Kwanini??. Kwa sababu Watanzania wa Sasa sio wa miaka ya 1990 ,wanajua wanachokitaka hivo wangeendelea...
  15. D

    Tatizo Hana athari ndo maana wajanja wanampotezea tu. Tani Moja tu ya uranium kwa MOSSAD/CIA inatosha kabisa!

    Ndo hivyo. Unajua wajanja au born town ni watu ambao hawatumii nguvu pasipo nguvu.......wanamchora tu mtu na kupima kama kweli Yuko serious au la. Wakiona ni bwege tu asiye na mbele Wala nyuma huwa wanamwacha na wanacheka tu. Hali ikiwa tofauti basi hudeal nae kiume. Haka kakitu hakina athari...
  16. PolePole hatoongea chochote cha maana acha niwasanue

    Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi?? Nyie wa tz kina Mshana Jr, mbona akili zenu ndogo sana, yaani mnategemea mtu ambaye anawapa Dola mda wa maamuzi, maamuzi yapi sasa wajinga nyie?? huoni kama anataka atimiziwe...
  17. Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

    Kwenye ID kongwe tunachat vizuri kama marafiki wapatanao, kwenye ID mficho comments zangu unazikandia🤔 Au hii nimeigundua pekeyangu wakuu? Hii ni mbaya sana.Yaan ni usnitch wa hali ya juu,mmekuwa professional na usnitch eti? Mbona wengine hatuna nongwa hata ukinijibu vibaya au hunipendi,najua...
  18. Hivi nini maana baadhi ya maghorofa kuandikwa "plaza"

    Nasemea kwa mfano china plaza.. Ubungo plaza Mengine naona mpaka jina la mtu alafu mwisho neno "plaza " Hivi hili neno plaza hua lina maana gani naomba kujuzwa
  19. Yesu Hadi ana sulubiwa msalabani hakuwahi kujenga. Je Ina maana alikuwa anaishi wapi kabla hajaanza kazi ya ukombozi?

    Agano Jipya lote. Hakuna mahali yesu imemuandika alikuwa alikuwa na nyumba au ploti tu. Yeye mwenyewe alisema ndege wa angani Wana viota na wanyama wa mwituni Wana mapango lakini mwana wa Adamu Hana pahali pa kulaza hata kichwa chake Luka 9:58 “Ndege wa angani wana viota, na mbweha wana...
  20. Rais wetu kipenzi hujachelewa, rekebisha eneo hili maana hakuna aliyetoka salama

    Habari za Jioni Wadau, Niende kwenye Mada. Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao. Hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…