maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya washika dini sana na roho mbaya/ubinafsi? Maana ni kama hivi vitu havitengani!

    Kichwa cha mada kimejitosheleza, yaani kwa utafiti hawa watu machoni petu huonekana wema na wenye msaada mkubwa sana kwetu. Ila ukianza kuwa karibu nae ndio utagundua ni watu hatari sana kwenye maisha. Kwako anaweza onekana mwema sababu kilichowakutanisha ni suala la dini tu. Ila kwa wale...
  2. JamiiForums Tanzania Urusi yainyang'anya Syria ile zawadi ya S-300 SAM, waipeleka Ukraine maana hali noma

    Hiki kifaa kilikua kinalinda Sysria dhidi ya mashambulizi ya angani, ila sasa Mrusi kwa mapigo anayopokea Ukraine ameanza harakati za kunyang'anya wadau aliokua amewapa silaha za aina tofauti, anazirejesha ili walau zimsaidie kupunguza balaa wanazopokea.... Satellite imagery confirmed Russia...
  3. JamiiForums Tanzania Dhana ya "kumbemenda mtoto"

    Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa. Hii ni dhana iliyopo katika jamii mbalimbali, na inadhaniwa hutokea kwa sababu mtoto kunyonya maziwa yenye...
  4. JamiiForums Tanzania MMU Leo tuongee watu wazima vijana wajifunze kutoka kwetu, maana jukwaa limejaa utoto mwingi.

    Naongea na wazee wenzangu Leo, let's say hakuna tatizo nyumbani mko powa. Mama ameanza tabia za kulala na Watoto na hakuna ugomvi wowote. Na sometimes una vidume vikubwa kuna wakati mama anaona hah Leo jumamosi kuna wedding somewhere natoka na first born wangu wa kiume baba atasubiri nyumbani...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake mlipswa kuwa wanaume tu, maana mna gundu hatari. Angalieni huyu mwanamke mwenye nyota yake

    Hivi ninyi wanawake ambao mnaishia kupewa nauli ya bajaji tu mlizaliwa kwa ulozi ama?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete, Nguvu unayoitumia Kutuhamasisha 'Kusensabika' ungeitumia kumwambia Rais apunguze Tozo tungekuona wa maana

    Mbona Viongozi Wenzako wengine hawana hiki Kiherehere kama ulichonacho? au huo Unaibu Uwaziri sasa Umeshauchoka na Unajipendekeza kwa Mama Ili ikimpendeza sasa akuteue Waziri Kamili kabisa? Tafadhali hebu hamishia hii Nguvu Kubwa unayoitumia kutuasa Kusensabika kwa kumwambia Rais ( Mama )...
  7. JamiiForums Tanzania Simulizi kuhusu maana ya kuishi

    Hiki ni kisa cha mtu aliyechelewa safarini. Alipofika kwenye stesheni ya treni alipanda treni ya kwanza kuwasili mbele yake. Na kwa sababu ya uchovu alisinzia kwa muda na kisha baadae kuamka. Alishangazwa kuona treni ikiendelea kwenda kwa kasi pasipo kujua uelekeo wake. Alianza kuuliza kila...
  8. JamiiForums Tanzania maana ya chitchat nini? kwanini mnafuta uzi wakati sijavunja sheria

    mi nimeanzisha uzi wangu nizungumzie mambo yangu mwenyewe, sasa shida iko wapi mnafuta? mod muache kuchukulia mambo sirias
  9. 1

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko makubwa katika Sayansi na Teknologia yanayofanyika katika nchi zenye uchumi imara yana maana gani kwetu? Ni ipi dira yetu?

    Nchi zenye uchumi mkubwa duniani kama Marekani na China zinapiga hatua kubwa katika Nyanja mbalimbali za teknologia wakati sisi Tanzania(Africa kwa ujumla ) tukiwa bado tuko nyuma. Mifano mizuri tumekuwa tukiona mapinduzi yanayozidi kufanywa katika utengenezaji wa magari, kampuni moja ya hukou...
  10. JamiiForums Tanzania Aliyetangaza Agosti 23 kuwa siku ya Mapumziko kwa ajili ya Sensa hakufikiria?

    Kwa mujibu wa Mama Anne Makinda, Zoezi litaendelea kwa Siku 7, yaani endapo hukufikiwa Leo, utafikiwa siku zijazo, sasa ni nini mantiki ya kupumzika leo? Tumeambiwa tupumzike ili tupate muda wa kuona picha za viongozi wakihesabiwa? Haya kesho inafika saa 11 tunaingia barabarani kupambana na...
  11. JamiiForums Tanzania Ligi ya Ukraine imerejeshwa. Ina maana maisha Ukraine sasa ni kama kawa?

    Ligi ya Ukraine imerudi rasmi leo kwa mara ya kwanza tangu Urusi ilipoivamia Ukraine mwezi Februari mwaka huu. Kutokana na sababu za kiusalama, mashabiki hawakuruhusiwa kuhudhuria mechi ya kwanza iliyochezwa kati ya timu za Shakhtar na Metalist katika uwanja wa Kyiv Olympic. Hifadhi za dharura...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Nini Maana ya Kila Sign Hapa

    Image👇
  13. JamiiForums Tanzania Maana ya Mistari ya mikono ya kushoto na kulia, picha na decoding

    Usomaji wa alama za viganjani ulianzi nchini India na sasa ni maarufu sana duniani kote kama njia ya mtu kujua hatima ya mtu hapa ulimwenguni. Usomaji hufanyika kwa kuangalia mistari, umbo la kiganja na rangi pia. Mistari hiyo kama inavyoonekana kwenye picha hapo mwanzo inawakilisha vitu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania ongeeni vitu vya maana ambavyo ni mtambuka na Duniani

    Kila muda kila siku mtanzania ni zuzu posts za kijinga, kila mahali, mijadala ya kizuzu maredioni, Twitter, insta, jamii, Facebook , WhatsApp, critical and analytical observations zero, logic na reasoning ni zero, comedy maudhui hayana akili, kupanic kwingi, kuvumiliana sifuri, kuheshimu mawazo...
  15. JamiiForums Tanzania Anasubiria walisahau Ili ajiuzie ndio maana amelificha kichakani

    Wajua kwa vijana wa hawawezi amini ya kuwa wizi katika taasisi za umma hasa ubadhilifu wa Mali za umma ilikuwa ni miongoni mwa maadili ya watumishi wa umma Ili waajiriwe. Yaani kuna kipindi Ili upate ajira serikali I ulitakiwa kusema wazi yakiuwa wewe upo tayari kuwa kibaka ndo unapata ajira...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ushindi wa Ruto, Uganda yalipuka kwa shangwe, hii maana yake ni nini?

    Naomba kujuzwa wadau wenye uelewa mpana zaidi. Ugandans are Kenyans are brothers. Ruto is a Kalenjin who are relatives with the Sabiny of Uganda and these people speak the same language. Its the reason you find Kenyan and Ugandan athletes having the same names. The same way the Luos where...
  17. JamiiForums Tanzania Simba chukueni billion 20 za Mo mfanye usajili wachezaji wa maana

    Simba solution ni simple tu chukueni pesa alizotoa Mo bilion 20 mnunue wachezaji wenye quality ya kupambana na Yanga. Acheni uswahili kuficha mambo wakati ubovu wenu tunauona. Kama Mo alitoa pesa pesa zikowapi si zitumike kuleta wachezaji? Shida ya Simba ipo kwa Mo sio kwa Kakolanya, Matola...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mbowe na Chadema mlifanya siasa za Kuboa na hayati JPM? Siasa za kujenga ni kulamba asali?

    Nashindwa kuelewa kauli za Mbowe. Mbowe amelamba asali amekuwa kama bubu. Siasa za kujenga ndio siasa gani sasa? Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbowe-tulikubaliana-na-rais-samia-kufanya-siasa-za-kujenga-nchi-3912844
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kwani hii 'byuti byuti!' maana yake nini?!!!

    maana mtaani kumeingia kelele zisizo kawaida; kila upitako 'byuti byuti'!
  20. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete anasifiwa kwa jambo lipi hasa la maana alilofanya nchi hii?

    Watanzania wengi ni watu wenye uelewa mdogo sana wa mambo. Kwa kutumia mwanya huo ndio maana CCM inaendelea kutawala nchi hii wanavyotaka. Unashangaa watu wengi wanamsifia sana Kikwete na kumuona mtu wa aina yake na aliefanya mambo makubwa nchi hii lakini ukweli ni kwamba Kikwete kaliingiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…