maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huyu Mkwepu Jr ni nani? Anatoa likes kwenye mada na komenti za kila jukwaa

    Mbona kila komenti na kila jukwaa jamaa anagonga likes? Inawezekanaje mtu akawa amesambaa maeneo yote hayo?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hii status ya HESLB ina maana gani? Au ndiyo nimwandalie dogo ada mapema tu?

    Kwema watu wa Mungu? Naomba kuuliza,hawa heslb wamemwekea mdogo wangu hii status kwenye account yake. Je kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kweli au ndiyo nijipange na mapema tu kumtafutia ada? NOTE:amechaguliwa SUA kozi ya veterinary medicine.
  3. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Club Africain tukutane hapa maana tuna jambo letu

    Baada ya kuwafurusha Kipanga mabao saba, tumepewa hiki kikundi cha Wakongomani wa jangwani wanaoitwa Utopolo. Tujipange kwa ajili ya sherehe pale kwa Mkapa na hitimisho kule Tunis.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kupiga hela ya maana kwenye haya madubwi ya mtaani?

    Wadau! Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Leo asubuhi nikiwa njiani kwenda kazini nmekutana na madubwi yasiyopungua 5 njiani. Binafsi sijawahi kabisa kuvutiwa kuyacheza, ila ongezeko la hizi mashine mtaani limenifanya nijiulize sana kuhusu mashine hizi.
  5. JamiiForums Tanzania Maana ya maneno niliyoambiwa Mzee Afande

    Kuna kipindi wakati niko Rombo nakumbuka nilienda kumuoji mzee mmoja anaitwa mzee Afande kuhusu maswala ya zamani. Yule mzee alinambia kuwa kat ka maisha yake amemwona babu yangu (nami namfahamu), baba yake babu yangu (alifariki 1983 simfahamu) na babu yake baba yake babu yangu (simfahamu). Na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Maana ya ushindi wa vita, case of Russia-Ukraine war

    Muhanga mkubwa wa vita huwa ni ''ukweli" kwani nivigumu sana kupata ukweli wa chanzo cha vita, pia ni ngumu zaidi kupata ukweli ndani ya uwanja wa medani. Hali hii inasababisha na ubaya we vita ambao huweza kubadilisha Maisha kuwa kama jehanamu. Vita ya kagera mpaka leo chanzo chake ni...
  7. JamiiForums Tanzania Kialama hiki kina maana gani?

    Wakuu, naomba mnisaidie kwa wenye ujuzi na hizi simu .. Hicho kialama hapo juu pembeni ya kialama cha alarm kina maanisha nini?
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ina maana Ruto alikuja Tanzania ili asiende Uganda?

    Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania. Hii ni baada ya Muhoozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
  9. JamiiForums Tanzania Kalynda Wasishtakiwe, hii ndio maana halisi ya usimuonee Huruma masikini na mjinga

    Kwema Wakuu! Kuna watu hata uwape majibu ya mtihani bado Watafeli pakubwa, alafu watakuwa wakwanza kulalamika. Taikon ni mtu wakuwapeni Magaka/majibu ya mitihani kabla ya kuingia Chumba cha mitihani. Ukiona Jambo nimeliandika ujue tayari nishalifanyia uchunguzi wa kina, na Kwa vile sio hulka...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati wa kusafiri napenda kipindi cha kuchimba dawa vichakani maana niliwahi kula mbususu!

    Kuna siku moja nilikuwa nasafiri kutoka mkoa A kwenda mkoa B na safari ilichukua takribani masaa 16. Kuna muda dereva wa basi alituamuru tushuke kichakani tuchimbe dawa na tutumie dakika 5, kweli abiria wote wake kwa waume tulishuka. Mimi nikaelekea upande fulani halafu kuna mdada nikashangaa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua maotea, nashangaa yanapotea. Nini maana yake?

    Hili tatizo nimedunu nalo kitambo sasa yapata miaka 13, nilipoona yanaota vijinyama kwenye zakari (uume). Hili tatizo ni serious na kwa kweli kama ni gonjwa la zinaa mimi sijui, niliona tu yanaota yapata miaka ya 2000. Sikuwahi kufanya ngono zembe kwa maana tusiamini sana kondomu. Nina Watoto...
  12. JamiiForums Tanzania Unamshangaa Masanja? Msome hapa JB Mpiana ujue maana ya uvumilivu kwenye mapenzi

    Kwanza nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.... Yaani penda usipende CCM imebeba matumaini yako kama mtanzania. Tukirudi kwenye lengo la uzi ni kwamba nimeshangazwa sana na watu wanaomshambulia mmiliki wa kanisa la Feel-Free, comedian Masanja Mkandamizaji kwa kumsamehe mkewe anayesemekana...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nimekuja kugundua kwamba vita dhidi ya Uganda ilitengenezwa na Israel ili kumuondoa adui yao Idd Amin

    1 + 1 = 2, watanzania wengi tume focuss kwenye 2 kwamba Idd Amin alivamia Kagera na ndio chanzo, tunasahau kwamba Kuna 1 + 1 zilizosababisha ikawa hio 2 na hata ukienda Wikipedia nao hawajui chanzo kamili cha 1+1 kilichoanzisha vita ila ni wazi kabisa mtu aliefaidika kwa kupinduliwa Idd Amin...
  14. JamiiForums Tanzania Kuota naokota hela, hii ndoto ina maana gani?

    Nilijifunza kutokupuuzia ndoto nnazoota huwa najitahidi kufatilia na kuulizia maana yake, kwani nimekua naota mambo halafu yanatokea kweli yanatokea vile vile nnavoona kwenye ndoto, hadi najihisi unabii unaninyemelea. Wiki kama mbili hivi zilizopita niliota nimepita njiani kuna kisima kimejaa...
  15. JamiiForums Tanzania Ndiyo maana michepuko haiishi kwa hali hii

    Unakuta wanandoa hawana hata watoto wameoana majuzi tu, kidogo mwanamke anaanza purukushani. Kosa ni kidogo analivuta maana anajua kaolewa. Basi anaanza masifa na ugomvi usio wamaana. Halafu mumewe ukute anawafukuziaji tosha, mmoja anapendeza balaa. Unafikiri hatochanganyikiwa, anaenda moja ya...
  16. JamiiForums Tanzania Formula; 'Ondoka' 'Acha' ndio maana halisi ya kupata Mafanikio

    Formula; "ONDOKA" 'ACHA' NDIO MAANA HALISI YA KUPATA MAFANIKIO. Anaandika, Robert Heriel Mwanafalsafa Nitakuambia ukweli na siri wala sitakuchaji hata sumni wala shilingi yoyote. Vitu tulivyopewa bure tunavitoa Bure. Wala usinipe sifa yoyote Kwa maana sistahili sifa. Wala usinishukuru Bali...
  17. JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA wengi hatupendi namna Mbowe alivyolamba asali ila hatuna namna maana hatuna maamuzi

    Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora. Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini. Mbowe amecollude na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

    Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu! Hii ni ndege ya chini! Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah! Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo! Na ukitaka...
  19. JamiiForums Tanzania Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari. Quran 23:14 Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya...
  20. JamiiForums Tanzania Wazungu bado ni mabeberu na wanyonyaji. Ndo maana Magu aliwachana live

    Hizi ndo akili za wazungu. Kwa nini tusiwaite mabeberu wao wanaamini Bado wanatutawala. Napenda hii movie ingechezwa kipindi cha uncle tungeona rangi zote. Ujinga huu huu ndo uliochelwesha bwawa la nyerere Kwa miaka nenda Rudi bila magu ingekuwa historia Hadi Leo. Tunahitaji watawala jasiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…