maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua kiswahili, nini maana ya neno hili?

    Guangzhou! Kwa wataalamu wa lugha adhimu ya kiswahil...Nini maana ya neno Mbwiga?? Nilisikia jana jirani anasema ''Mume wangu alirudi yupo mbwiga" Pia naomba msaada wa maneno haya 1.Monde 2.Karandinga 3. Gida "Waligida Monde wakajikuta ndani ya karandinga"
  2. JamiiForums Tanzania Uwepo wa asali katika picha ya Ikulu Mbowe alipokutana na Dkt. Samia ina maana gani?

    Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote. Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiangalia sana nimeona kwenye mandhari ya nyuma ya picha kumewekwa chombo chenye asali ndani yake. Nimejiuliza maswali mengi bila majibu. Kwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ditopile: Nchi yetu inaaminiwa ndiyo maana inakopesheka

    MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amewataka wanasiasa nchini kuacha kubeza na kupotosha jitihada zinazofanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan za kukopa huku wakijua fika kwamba ili Nchi ikopesheke ni lazima iwe imekidhi vigezo vya kiuchumi vya kupatiwa mikopo hiyo. Ditopile...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Simu yake haipokelewi tangu siku ya Xmass mpaka leo lakini inaita. Maana yake nini? Kanitema?

    Mpenzi wangu (mchumba mtarajiwa) amesafiri kwenda kwao lakini hajibu sms wala hapokei simu (japo iko hewani) tangu siku ya Xmas hadi leo. Hii maana yake nimetemwa au inamaanisha nini? Maswali yako mengi yanayokosa majibu. Kama anaumwa kwanini hasemi? Kama kapoteza simu mbona bado inaita hadi...
  5. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa MCC Kawe ina maana hata hapa 'JamiiForums' mpo pia na bado tu 'Mnanisagia Kunguni' Mwanenu?

    Wajumbe wa MCC Kawe kama mpo pia na hapa JamiiForums naomba nichukue nafasi hii kuwatakeni radhi kama kuna nilikowakosea ili mnisamehe na nyota yangu ya kukubalika irejee kwa Jamii. Kwani kama kuna sehemu ya kipekee ambayo mara kwa mara nimekuwa nikitamba kuwa nakubalika, ni maarufu na mimi...
  6. JamiiForums Tanzania Tumshukuru Mungu kwa hii pumzi maana tumeweza kufika mpaka leo tar 25/12/2022

    Tuombe: Asante Mtakatifu, asante Jemedari uketie mahali pa juu palipoinuka, asante Mungu wetu Alfa na Omega. Tunakushukuru Mungu wetu kutufikisha mpaka leo hii, maana si kwa uweza wetu bali ni kwa uweza wako ewe Mtakatifu. Kuna wenzetu hawajaweza kufika Leo kutokana na umauti, yote tunasema...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana halisi ya mwanaume ni kichwa cha familia

    HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo; i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo. ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Huyu mstaafu tumrudishe Ikulu 2030. Mnasemaje bhandugu?

    Rais mstaafu wa awamu ya nne bado ana nguvu za kimwili na kiakili na bado anapendwa na watanzania. Najitokeza hadharani kumshauri na kumpa shime 2030 achukue fomu ya kugombea urais wa nchi hii. Ndugu msomaji usije kupinga wazo langu kwa hoja za ukiukwaji wa katiba. Katiba ya Tanzania haifuatwi...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa hebu saidieni kuelewesha Watendaji maana ya mafunzo kwa vitendo (internship)

    Kumekuwa na unyanyasaji sana kwa watoto wetu wanaochukuliwa kwenye Ofisi za Serikali kwa ajili ya mafunzo ya kazi (internship programs). Ukienda sekata binafsi kuna nafuu kubwa sana sana hasa kwa waajiri wale wa uhakika. Vijana wanaochukuliwa Serikalini hata wanaotokea Taesa hawana chochote cha...
  10. JamiiForums Tanzania Ina maana kweli, kwa mjibu wa ibara 144(1) ya Katiba kama CAG akateuliwa wa umri wa miaka 20 atadumu miaka 40?

    Wapo watu ambao wanaamini kwamba mahakamani huwa hakuna haki bali kuna sheria pekee. Kwa kiasi kikubwa huwa ninakubaliana nao. Kazi za mahakama ni kutafisiri sheria. Katiba ndiyo sheria mama au kwa jina jingine sheria kiongozi. Ni dhahiri kuwa kama sheria (na Katiba) tulizozitunga wenyewe...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya tatu kwenye mashindano mengi ni ya kisiasa tu Haina maana yoyote.Fifa waondoe hii

    Habarini wadau wa soka. FIFA wangeanza kwa kuondoa hii nafasi ya tatu kwenye mashindano haya ya kombe la dunia then wengine wangefuata. Sioni maana ya hii nafasi zaidi ya kupoteza muda na kujichosha tu.Labda iwe kwa ajili ya kupata pesa tu. Dhumuni la timu ni kucheza fainali na...
  12. JamiiForums Tanzania Nadhani sasa naelekea kushindwa haya mapenzi. Sijui shida nini maana mi nimechoka

    Nimeona nami nichepuke kidogo ( nisamehe mpenzi wangu huko uliko nlipitiwa tu na lishetani mbwa hili) Huyu demu nimemnunulia nyama choma ya kuku na ndizi 2. Kisha kanywa na Konyagi nusu Mzinga. Ameenjoy ndo tukaenda kulala lodge. Mi nikaomba angalau nami ninanii...yaani nifanye naye matusi...
  13. JamiiForums Tanzania Butiku: Viongozi watambue wanaongoza watu siyo kuku au mbuzi

    Akizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki ya kila mtu. “Kwangu mimi viongozi anatakiwa kutamba kuwa anaongoza watu na siyo Mbuzi, Ng’ombe au...
  14. JamiiForums Tanzania Watu Maskini huongozwa na Maoni ya Watu zaidi kuliko Sheria ndio maana wanazidi kuwa Fukara

    Na, Robert Heriel Moja ya dalili ya MTU Maskini na mjinga ni suala la kuongozwa na Maoni na mitazamo ya Watu wengine zaidi kuliko kuongozwa na Sheria na Kanuni. MTU Maskini na mjinga Kabla hajafanya lolote hufikiria kuwa Watu watasemaje na kumuonaje, au watamchukuliaje. Unajua umaskini na...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anasema hakuna Mtanzania atagongewa mlango alipe Deni la Taifa, kwani tozo maana yake nini?

    Mimi ni layman wa uchumi lakini alichoongea leo Mwigulu Nchemba katika kipindi cha 360 Clouds TV ni Doctorial Rubbish, amesema, "Hakuna siku Mtanzania atakwenda kugongewa mlango kwamba sasa atoe mbuzi alipe Deni la Taifa. Na hakuna siku Mtanzania ataambiwa alipe Deni la Taifa atoe mchango...
  16. JamiiForums Tanzania Kama kuwa na ofisi ni jambo la maana, CCM isingeyumbisha nchi namna hii

    Kuwa na Ofisi ni sehemu ya utambulisho wa mahali taasisi fulani inapatikana. Lakini kuwa na Ofisi hakuhusiani na uimara wa taasisi husika. Makampuni yanayofilisika au taasisi zinazoshindwa kujiendesha na hatimaye kufungwa, nazo pia huwa na Ofisi. Wakati Serikali ilipoamua kuyaunganisha...
  17. JamiiForums Tanzania Ila Croatia wameenda na visu Qatar ndio maana wanashinda game

    Wana hatari Hawa mpaka miss wao wamebeba Yaani ni full makasiriko kwa wapinzani wao 😀😀😀
  18. JamiiForums Tanzania Sioni maana ya sherehe za uhuru wa Tanganyika, nguvu zihamishiwe kusherekea muungano wa Tanzania

    Tanganyika ipo wapi? Kuna umuhimu wa kusherekea uhuru wa nchi ambayo haipo kiuhalisia? Jambo la hekima tusherekee vinavyohusiana na Tanzania, vingine hivi vidogo vidogo ama ambavyo havipo vibaki tu kwenye vitabu.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Maana ya neno Wema hawafi ndio hii. Mzee Makamba kapotosha, Baraza la Kiswahili liingie kati

    Neno Wema hawafi ni neno la Kiswahili lenye maana 'Ukitenda wema wema wako haufi hata ikiwa kaburini wema wako hauwezi kufa' Hiyo ndio maana ya neno Wema hawafi. Unavyoona mtu kama Magufuli amekufa bado anakumbukwa na kutajwa kila mahali ndio maana halisi wema wa mtu haufi ila anakufa mwili...
  20. JamiiForums Tanzania Wazuri hawafi " Mapema" maana yake nini?

    Mzee Makamba siyo utelezi ni kusudi kabisa kwasababu kama ni utelezi mbona kuna kauli uliirekebisha papo hapo. " Wazuri hawafi mapema, ndiyo maana Kikwete yupo, Kinana yupo" MADA " WAZURI HAWAFI MAPEMA" Kumbe hawa waliokufa walikufa mapema yaani kabla ya muda wao. Kama ilikuwa ni kwasababu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…