maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkuje huku mchukue maua yenu tafadhali maana inafikirisha sana...

    Wasalaam tena, 1. Ninyi ambao mlijitoa kuwatunza watoto wa wanaume wengine — bila kinyongo, bila malalamiko — lakini mwisho wa safari mkalipwa dharau, kejeli na masimango... Pongezi nyingi kwenu. Msingeweza, lakini mlijaribu. Dunia inaweza kusahau, lakini dhamira zenu zinastahili heshima. 2...
  2. A

    KERO Responded Kusubiri Basi la Mwendokasi kituoni dk 60 - 120 ni kero kubwa na inapoteza maana ya mwendokasi

    Ujumbe huu uwafikie wenye mamlaka wa kutoa maamuzi juu ya usafiri wa Mwendokasi. Hali ilivyo sasa inatisha na kuzidi kuwa mbaya siku hadi siku kutokana na kuwa na mabasi machache yanayofanya kazi. Hali hii inalazimu watu kukaa zaidi ya saa moja hadi mbili kusubiria magari machache hayo ambayo...
  3. Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  4. Hii ndoto ni ya ajabu mno naombeni maana yake

    Inaanzia nikiwa eneo ninalifahamu nikaenda kunywa supu anaye pika supu namfahamu ni kweli anauzaga supu na huwa nakunywa mara kadhaa asubuhi nikiwa kazini. Sasa nilipofika kwenye sufuria ya supu tulikuwa watu kama 3 hivi wenzangu wakachota na kuanza kunywa ila mm kila nikichota ile supu ilikuwa...
  5. V

    Mnaojua maisha na codes za maisha ya Uswahili eti hii ina maana gani?

    Shikamooni wote. Jamani uswahilini mbona kuna mambo ya ajabu hivi?!! Jana nilikua kwa Muha wangu na mojawapo ya vitu nilifanya pale kwake ni kufua wakati yeye yuko kazini. Kwa vile nyumba ina watu wengi nilipoanika pichu zangu na boxer za Muha wangu nilizifunika kwa kanga mana kwangu ni aibu...
  6. TAMBUA HISIA, KUSUDI NA VITENDO VYA MTU KUPITIA ISHARA MBALIMBALI ZA MWILI

    Zingatia hii, mwili wa binadamu unaweza kuonesha ishara mbalimbali katika kufikisha ujumbe pasipo kutumia maneno kabisa. FBI au polisi wapelelezi wanafanikiwa kuwabaini watuhumiwa wa makosa mbalimbali kwa urahisi zaidi kwasababu ya ishara wanazozionesha wakati wakihojiwa. Zifahamu ishara...
  7. Nini maana ya self transfer kwenye tiketi ya ndege?

    Nisijifanye mjanja halafu nikaishia kuumbuka! Wazoefu mnisaidie tafadhali! Ikiwa unataka kufanya booking ya ticket ya ndege, ukikutana na neno SELF TRANSFER linamaanisha nini? Ni kama inavyosomeka hapo chini. Asanteni!!!
  8. Millard Ayo kutopost habari za press ya Polepole ina maana gani?

    salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole, nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
  9. Polepole hawezi kukemea utekaji na mambo mengine ya kihuni ya serikali ya sita. Maana yote yanayotendeka sasa yalitendeka pia 2015-2021

    Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine. Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho Polepole alikuwa mezani akila pamoja na Rais Magufuli. Hazungumzii jinsi wapinzani wanavyonyimwa haki...
  10. Ndio maana wale jamaa unakuta wana mapete mengi vidoleni

    Hata mvae nini, tabu ipo pale pale. Tabu ni asili ya mwanadamu katika dunia hii ya ushindani.
  11. Polepole, usisahau nchi au taifa lolote la Maana Msingi wake ni Mambo haya Makuu matatu; Chama chako kinavunja Msingi Mkuu wa taifa, hayo ni matokeo

    Mpo Salama! Taifa lolote la Maana, ndoto ya watu ni lile linalojengwa katika Misingi Mikuu miitatu; 1. Utawala Bora na Sheria (Good Governance and Rule of Law) Huu ni kama msingi wa nyumba. Bila utawala bora hakuna amani, hakuna haki, hakuna maendeleo. Sheria hutuliza, huongoza, na hutoa...
  12. Naomba kujua Mafanikio yaliyopatikana kwa Tanzania kutoka nchini Cuba tangia Polepole awe Balozi au lolote la maana alilolifanya huko

    Nasubiria kuyasoma hapa hayo Mafanikio. Asanteni.
  13. K

    Kafanya la Maana lakini Polepole ni mapepe

    Amefanya maamuzi ya maana sana kujiuzulu lakini kati ya watu mapepe wa kuogopa ni polepole. Alijiona Mungu mtu wakati wa Magu na kunyanyasa watu sana. Alitaka nankuchangia kudumiza democracy sana na ndiyo amechangia sana kwa matatizo tuliyonayo. Leo kaokoka na amekuwa mpenda haki za...
  14. Nahisi hakimu wa kesi ya Lissu ni Layman katika sheria hana anachoelewa je kwanini Lissu asimkatae maana hajui anachofanya.

    This guy is layman kwanini Chadema hawalioni hili swala.?
  15. R

    Nilikuwa najiuliza sababu ya vita kati ya Ukraine na Russia ni ipi? Majibu generated by Artificial Intelligence (AI) ni haya

    The war between Russia and Ukraine is rooted in a complex interplay of historical, political, and geopolitical factors. Key causes include: 1. Russia's desire for a sphere of influence: Russia seeks to regain control of Ukraine and prevent its integration into Western institutions, which it...
  16. Polepole kaonyesha kivitendo maana ya Demokrasia: Usipokubaliana na Kiongozi wako, unajiuzulu!

    Balozi Polepole kaonyesha kivitendo maana halisi ya Demokrasia. Hakutaka kuwa mtu mnafiki, kucheka usoni lakini hukubaliani na yanayotokea hadharani kisiasa. Kaonyesha kuwa UCHAWA NI DHAMBI ya nafsi. Kujiuzulu kwake Polepole kutamjengea heshima in the long run. Bila kuonyesha sababu zake za...
  17. Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Uswege = unisamehe Andungwise = ameniongoza Ambwene = ameniona Mwalugano = mwenye upendo Negwako = niwe wako Andombwise = ame nivusha Tusajigwe = tumebarikiwa Ambele = amenipa Subiraga= tumainia Angetile = amenitazama Andolile = amenitafuta Nkundwe= mpendwa Sekela = furahia Lusako=...
  18. Smart911 na Mahondaw tupeni mbinu vijana wenu maana maadui wa penzi letu ni wengi mno

    Heshima kwenu wakubwa zetu Smart911 na Mahondaw Mimi Kijana Masikini na Mpenzi wangu Marry Diana tunaomba mtupe siri ya mafanikio juu ya kudumu kwenu kwa muda mrefu kwenye Mapenzi. Tunajuwa nyinyi sio waongeaji sana lakini tunaomba madini ya kutosha kutoka kwenu. Tunatanguliza shukrani...
  19. Prof. Kitila Mkumbo Wewe ni Mtani wangu kutoka Singida, ila kwa 'Upuuzi' kama huu ndiyo maana huwa Nakudharau na siiamini 'Doctorate' yako kabisa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema vyombo vya habari nchini havipaswi kuwa neutral (kutokuwa na upande), bali viwe objective yaani kuwa na misimamo yenye msingi wa ukweli na uchambuzi makini. Amesema hayo Julai 8, 2025 jijini Dar es...
  20. Zijue aina za chale/mihuri ya kichawi jinsi zinavyotumaliza kiroho na kuchafua yota zetu huku tukipata mikosi.

    Chale za wanga ni aina ya mihuri ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi. ukishawekwa mihuri hiyo huwa ni ngumu kutibika na huishia kuumwa mpaka uifute mihuri hiyo ambayo ni alama ndogo sana na hujulikana nakuonekana kwa wenye ujuzi. Mtu kwenda kwa mtaalam na kuchanjwa chale ni ishara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…