maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tufanye ufuatiliaji kwa kijana aliye ongea na RC. Dar leo kujua usalama wake wakati wote

    Nimewaza tu hilo na hasa kwa historia na tabia ya serikali hii ya sasa tuliyo nayo.
  2. JamiiForums Tanzania Watibeli tunajua Pesa inauma kuliko Mapenzi ndio maana hatumgharamikii Mwanamke

    WATIBELI TUNAJUA PESA INAUMA KULIKO MAPENZI NDIO MAANA HATUMGHARAMIKII MWANAMKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana waliowahi kuwasiliana na mimi kila mara nawaambia kwenye mahusiano, pale wanapojiweka karibu na wanawake. Kitu kikubwa wanachotakiwa kukilinda kuliko kitu chochote ni PESA...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali inekana inautamani sana ugaidi maana sio kwa kesi hizi wanazo tupiwa hawa watu wawatu ambao hawajui hata majina ya bunduki.

    Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
  4. JamiiForums Tanzania Hivi wauza bia huwa mnawauliza Wanamiaka mingapi kabla ya kuwauzia maana haiuzwi chini ya 18

    Huwa najaribu kuwaza kunamatangazo. Haya ya pombe mwisho huwa wanasema haiuzwi kwa waliochini ya miaka 18. Je ni kweli wahudumu huwa mnawauliza wateja wenu umri wao kabla ya kuwauzia bia??????
  5. JamiiForums Tanzania Natamani kila raia angepata lenacapavir injection maana ni muhimu sana a weapon against HIV-1

  6. S

    JamiiForums Tanzania Polisi na zimamoto wanaposema walifanikiwa kuzima moto wakati moto huo umeteketeza kabisa nyumba au gari, wana maana gani? Si moto ungezimika wenyewe?

    Jana tena katika ajali ya basi na Aphard huko Moshi, msemaji wa Polisi anasema vikosi vya polisi na Zimamoto walifanikiwa kuzima moto. Nashindwa kujua hayo mafanikio wanayoyataja ikiwa hali ya basi lililoungua ni kama hapa chini. Kauli hizo ni sawa na zile nyingine kauli potoshaji za Polisi...
  7. JamiiForums Tanzania Sasa hapa ana maana ipi?

    Eti wadau?
  8. JamiiForums Tanzania Ni kazi gani kiofisi kipindi unakuwa ulijisemea hautakaa hufanye maana unazichukia au labda haziendani na hurka yako?

    LAWYER POLICEMAN HAKIMU hadi leo kwangu ni trash, ingawa ni kazi kama kazi nyingine na zinalisha watu na familia zao
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani? Jaji wa Namibia anakuja kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Kumbuka Rais wa Namibia alikuja juzi hapa, Tanzania

    Jaji wa Namibia anakuja kushirikiana na tume za Samia kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Tume ya Huduma za Mahakama nchini Namibia (JSC) imemteua Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus T. Damaseb, kujiunga na Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Jinai nchini Tanzania inayochunguza chanzo cha ghasia...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa hili suala la Hotel sheria zinasemaje? Maana tusije fikishana mbali

    Siku ya tatu leo nipo Tanzania. Sasa leo naondoka kuelekea Arusha . Kwa muda ntakaoondoka natagemea kufika Arusha saa 8 Usiku kuwa Karatu. Nataka enda Ngorongoro na Serengeti Weekend hii Swali ni kama nitafika Arusha saa 8 usiku nikaenda Hotel kulala. Lets say nimefika nikaandika Check in...
  11. JamiiForums Tanzania Rachel dangwa ilibidi akamatwe Mapema sana maana alikua anatumia matusi ya nguoni

    Habari Hatukatai kwamba kwa sasa serikali inafanya mambo mengi ambayo wananchi hawayafurahii na kiwango cha uungwaji mkono ni kidogo sana kulingana na aina ya utawala uliopo Matukio mengi yanayoripotiwa kama ukosefu wa uwajibikaji ,vitendo vya rush wa, utekaji ,mauaji ya raia wasiokua na hatia...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mizigo ya harusi bila uwezo mzuri hainaga maana

    Inasikitisha sana kuona kijana hujiwezi kiuchumi, lakini unalazimisha sherehe ya harusi na kuanza kusumbua watu na kadi za michango. Kibaya zaidi, wengine tayari mmeshajenga familia, mmeshazalisnana maisha yanaendelea sasa hiyo sherehe kubwa ya gharama kwa wakati huo ni ya kazi gani? vijana...
  13. JamiiForums Tanzania Maana sahihi ya Mzinifu na Malaya ni ipi?

    Habari Wana jf, Ni maana ipi sahihi ya Malaya na mzinifu? Ningependa kujua Mana zinanichanganya Sana.
  14. JamiiForums Tanzania Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

    Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana) Binafsi napenda kuwa the center of attention. Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
  15. JamiiForums Tanzania Mangungu na Tray Again ni dhaifu ndio maana wapinzani wetu wanawapenda

    Kwa sisi wazoefu wa football ya nchi hii tunajua kuwa, hizi timu mahasimu wawili simba na yanga zinahitaji kuwa na viongozi katili kweli kweli. Jiulize kwanini mahasimu wetu yanga linapokuja suala la mangungu wanamtetea kweli kweli? Jibu ni hili, dhaifu rahisi kuingilika. Jamaa ni mbobevu...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani za wanawake kutoa namba kwa wanaume kisha kuingia mitini (ku-ghost)?

    Wanawake ambao huwa wanatoa namba za simu kwa uchangamfu mkubwa tu baada ya kuombwa na wanaume kisha wakishaachana wanawapotezea (ghost) au kujifanya matawi huwa ni wapuuzi wakubwa sana. Kama huna mpango wa kuwasiliana na mwanaume hakuna haja ya kutoa namba ya simu.
  17. JamiiForums Tanzania Naona Paul Chacha kachangikiwa maana mateso waliofanyiwa akina Mbowe ni Makalii mno

    Ona huu unyama hao wapinzani waliopitia 1. Maalim seif alinyang'anywa uraisi na zecha .aliteswa sana na CCM machafuko ya 2001 2. Lipumba alipigwa hadi kuvunjwa mkono huko zanzibar 2001 na mhanga wa mauji hayo.na juzi kafanyiwa fitina akaporwa uenyekiti. 4.Dr slaa alipigwa na kuvunjwa mkono...
  18. JamiiForums Tanzania Heche kuendelea kuwepo ofisini licha ya kashifa za ubadhirifu wa mali za chama ni maana halisi ya Siasa biashara

    Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama. Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
  19. JamiiForums Tanzania Nini maana ya Kudadeki?

    Kubabeki Kudadeki Kudadadeki Haya maneno yana maana gani wakuu?
  20. JamiiForums Tanzania Nini maana ya shemu darling?

    Wengine sijui ndio umri au vipi, hizi lugha za mtaani zinaanza kutupita sasa. Rafiki wa girlfriend au mkeo akikuita shem darling anamaanisha nini. Hii shem darling ni jina, utani au code?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…