maambukizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Vifo vya Surua vyafikia 157 Zimbabwe, maambukizi 2000

    Hali ya maambukizi ya Ugonjwa wa Surua Nchini Zimbabwe inazidi kuwa mbaya baada ya vifo kuongezeka mara mbli ya ilivyokuwa ndani ya wiki moja iliyopita, idadi ya waliofariki imefa Watoto 157, huku kukiwa na maambukizi zaidi ya 2,000. Waziri wa Afya wa Zimbabwe, Monica Mutsvangwa takwimu hizo ni...
  2. JanguKamaJangu

    Dada wa Rais Kim Jong-Un akiri kaka yake kupata homa kali katika maambukizi ya Covid-19

    Imefahamika kuwa Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un alipata homa wakati wa maambukizi ya Uviko-19, hayo yamesemwa na dada wa kiongozi huyo, Kim Yo-jong. Kwa kauli hiyo ni wazi anathibitisha Kim Jong alipata maambukizi kama ilivyodaiwa, lakini Yo-jong amelaumu Korea Kusini kwa kudai walirusha...
  3. GENTAMYCINE

    Wakati tukidanganywa kuwa Maambukizi ya 'VVU' yamepungua nchini, UN yasema sasa Maambukizi ya VVU ni Makubwa mno duniani

    Umoja wa Mataifa (UN) imesema kuwa kuna Ongezeko Kubwa sana na la Kutisha la Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (Dally Kimoko) duniani kuliko awali huku Waathirika Wakubwa wakiwa ni Wasichana na Wanawake. Taarifa: BBC Swahili Mwaka jana zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE...
  4. M

    Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

    Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania. Tumepitia kipindi kigumu sana, nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai, hakukuwa na disposable syringe, nesi akipitiwa...
  5. K

    Rais wa Marekani, Joe Biden akutwa na maambukizi ya COVID-19

    Rais wa Marekani bwana Joe Biden amepimwa na kupatikana na virusi vya korona Joe Biden mzee mwenye umri wa miaka 79 aliyepata chanjo kamili ya covid 19 kwa sasa amejitenga katika Ikulu ya white house huku akiendelea na majukumu yake ya siku zote --- Joe Biden test positive for COVID-19 United...
  6. M

    SI KWELI Shirika la Afya Duniani(WHO) lawatahadharisha mikate ya kuoka kuwa inasambaza COVID-19

    Hivi karibu kumekuwepo na taarifa ya kuwataka watu kutokula vitafunwa kama vile mikate n.k kwa ajili ya kuepuka maambukizi ya CoronaVirus Taarifa hiyo ili kupewa uhalali wake, iliambatanishwa na nembo ya Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa(WHO) imesambaa kwenye Mitandao ya Kijamii ikidai watu...
  7. JanguKamaJangu

    Maambukizi ya COVID-19 yaongezeka kwa 30% Uingereza

    Maambukizi ya Virusi vya Corona yameongezeka kwa 30% Nchini Uingereza ndani ya wiki moja iliyopita Takwimu zilizotolewa na Ofisi ya Takwimu ya Taifa ya Uingereza imeonesha zaidi ya watu milioni 3 walipata maambukizi ya vizuri hivyo vinavyosababisha COVID-19 huku idadi ya vifo ikipungua...
  8. beth

    Macau: Maambukizi yaongezeka, Wananchi watakiwa kukaa nyumbani

    Mamlaka zinapambana kudhibiti mlipuko mkubwa zaidi wa CoronaVirus Jijini humo tangu janga hilo kuanza. Wakazi wote wametakiwa kupima kila siku na kukaa nyumbani mara nyingi iwezekanavyo Ndani ya Wiki moja, upimaji kwa Wakazi zaidi ya 600,000 umeshafanyika mara tatu na watu wapatao 7,000...
  9. JanguKamaJangu

    KENYA: Maambukizi ya COVID-19 yapanda kwa 9.9%

    Watu 246 wamekutwa na maambukizi ya COVID-19 kati ya 2,484 waliofanyiwa vipimo ndani ya saa 24 zilizopita Nchini Kenya, huku Wizara ya Afya ikisema kuna ongezeko la 9.9% la maambukizi Katika waliobainika kuna Wakenya 196 na wageni 50, Wanaume wakiwa ni 135 na wanawake 111. Jumla ya wenye...
  10. L

    Hatua kali za udhibiti wa maambukizi bado ni njia bora zaidi ya kukabiliana na COVID-19 nchini China

    Hivi karibuni, mlipuko wa wimbi jipya la COVID-19 katika miji kadhaa nchini China ikiwemo Shanghai na Beijing umefuatiliwa na vyombo vya habari na jamii ya kimataifa. Watu wengi wanashangaa kwamba, wakati kirusi kipya cha Omicron, ambacho kinaambukiza kwa kasi zaidi na bila ya sumu kali...
  11. beth

    Maambukizi yaongezeka nchini, Dar es Salaam yaripoti visa 130

    Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya kuanzia Mei 05 - Juni 03, maambukizi mapya 161 yamerekodiwa ikiwa ni ongezeko la 137% ikilinganishwa na kipindi cha Aprili 02 - Mei 04, 2022 Dar imeripoti visa 130, Arusha (10), Mwanza (5), Shinyanga (4), Mtwara (3), Dodoma (2), Mara (2), Morogoro, (1)...
  12. Kwa Imani

    Dawa ya maambukizi (fangasi) kwenye ulimi (geographical toungue).

    Msaada anayejua dawa ya maambukizi kwenye ulimi kwa jina la Geographical toungue kama inavyoonekana hapo kwenye picha. Niliambiwa ni upungufu wa vitamin C, nikaandikiwa dawa za Vitamin C, nikaambiwa nile vyakula vyenye Vitamin C lakini wapi. Je, kuna yeyote anafahamu huu ugonjwa na dawa yake...
  13. L

    Dunia yaingiwa na taharuki wakati maambukizi ya ugonjwa wa monkeypox yakizidi kuongezeka

    Dunia ikiwa bado haijamalizana na janga la COVID-19, ambalo limeondoka na roho nyingi za watu na kukwamisha shughuli nyingi za kiuchumi, sasa kuna taharuki mpya imezuka baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kutangaza virusi vipya vinavyosababisha ugonjwa wa monkeypox. Monkeypox ni virusi...
  14. beth

    WHO yashauri hatua za haraka kuchukuliwa kukabiliana na maambukizi ya MonkeyPox

    Mataifa yametakiwa kuchukua hatua za haraka kudhibiti maambukizi ya Ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kanuni sahihi zikiwekwa kuanzia sasa, kuna nafasi nzuri ya kukabiliana na maambukizi Hatua zinazoshauriwa ni pamoja na utambuzi wa mapema, kutengwa kwa wanaohofiwa kuwa na...
  15. JanguKamaJangu

    Uingereza: Maambukizi mapya ya Monkeypox yafikia watu 57

    Uingereza imekumbwa na maambukizi mapya ya Virusi vya monkeypox kwa watu 36 kubainika kuwa na maambukizi hayo, hivyo jumla ya watu ndani ya muda mfupi walioambukizwa imefikia 57. Takwimu hizo ni hadi kufikia jana usiku Mei 23, 2022, ambapo wagonjwa wanakumbwa na upere mkubwa mwilini ikiambatana...
  16. JanguKamaJangu

    Korea Kaskazini: Maambukizi ya Covid-19 yawakumba zaidi ya Watu milioni 2

    Korea Kaskazini imeweka wazi kuwa imeanza kupata matokeo mazuri katika vita yake dhidi ya Ugonjwa wa Covid-19 lakini idadi ya walioambukizwa ikitajwa kuwa imefika zaidi ya watu milioni 2 Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol na Rais wa Marekani, Joe Biden ambao wanatarajiwa kukutana leo...
  17. beth

    Afrika Kusini yarekodi Maambukizi mapya 10,017

    Afrika Kusini imerekodi Maambukizi mapya 10,017 ikiwa ni mara ya kwanza Taifa hilo linaripoti Visa vipya zaidi ya 10,000 tangu Januari. Tayari Mamlaka zilishaonya kuhusu Wimbi la Tano la Maambukizi Nchi hiyo imerekodi Visa na Vifo vingi zaidi barani Afrika, na Wataalamu wanakadiria Wimbi la...
  18. Lady Whistledown

    Uingereza: Aina mpya ya maambukizi ya tetekuwanga yathibitishwa

    Maafisa wa afya wamegundua Maambukizi ya ugonjwa wa nadra unaofanana na tetekuwanga ujulikanao kama ‘Monkeypox’ Inaelezwa kuwa dalili za awali ni pamoja na homa, maumivu ya kichwa, maumivu ya misuli, mgongo na uchovu hata hivyo maumivu huwa makali zaidi kwa baadhi ya wagonjwa na huenea kwa...
  19. JanguKamaJangu

    Marekani: Waziri wa Mambo ya Nje akutwa na maambukizi ya COVID-19

    Vipimo vimeonesha kuwa Antony Blinken ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekutwa na maambukizi ya Ugonjwa wa COVID-19, ametakiwa kufanya kazi kwa njia ya mtandao. Licha ya maambukizi hayo, Waziri huyo alipata chanjo mara mbili na nyongeza ya kujikinga na ugonjwa huo. Msemaji wa...
  20. Valencia_UPV

    Dawa ya PrEP inavyotumika kuepuka maambukizi ya VVU

    Ikiwa 'umeuza' mechi au kondomu imepasuka, basi usihamaki kwea bodaboda fasta wahi hospitali ya karibu na jipatie PEP kwa siku 28 na utakua safi. TAHADHARI: Utapewa PEP baada ya kupimwa HIV na kuonekana NEGATIVE pia utapaswa kupitia hatua kadhaa za mahojiano (ya kukera) utawekwa kwenye foleni...
Back
Top Bottom