maalum

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Operesheni maalum za kijeshi

    Moja ya picha zenye nguvu na zilizobaki kwenye kumbukumbu za wengi kutoka katika kipindi chote cha Vita vya Kimataifa dhidi ya Ugaidi (GWOT) ni hii hapa chini Huyo hapo ni Senior Chief James “Jimmy” Hatch, mwanajeshi wa Navy SMU (Special Mission Unit) wa Marekani, dakika chache tu baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Walokole ni kundi maalum

    Hii jamii ni ya kutenga kabisa na wakristo, inachafua ukristo na kuonekane kama hamnazo
  3. W

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya tetesi mpya za One UI 9.5.

    Habari za wakati huu wana JF, huu ni uzi mahususi kwa ajili ya kujuzana tetesi mpya za One UI 9.5 kwa kadri zinavyozidi kuvuja na kusambaa. Ni takriban miezi mitatu sasa tangu Samsung walipoachia One UI 9.0 beta katika series za S26 katika baadhi ya maeneo. Hata hivyo tukiwa tupo karibu kupata...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania TICD ARUSHA: Kafulila katika mhadhara maalum wa Umma

    https://www.youtube.com/live/pMhiTp9NL64?si=xROoNvI7LdkavRdN Mjadala wa PPP na Maendeleo ya Tanzania Waendelea Arusha == Mjadala kuhusu nafasi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) katika kuchochea maendeleo ya Tanzania unaendelea leo, Agosti 14, 2026, katika kongamano la Public...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge Waidhinisha Njia Maalum za Waendesha Baiskeli na Watembea kwa Miguu

    Wabunge wameidhinisha Muswada wa Kenya Roads (Amendment) Bill, 2024, unaolenga kuanzisha njia maalum za waendesha baiskeli na watembea kwa miguu nchini. Muswada huo, uliowasilishwa na Mbunge wa Samburu West Naisula Lesuuda, uliidhinishwa na Bunge la Kitaifa Alhamisi, Agosti 13, 2026. Iwapo...
  6. JamiiForums Tanzania Pasipo shaka shule za vipaji maalum za wasichana zipo

    Ila je bado wasichana wenye vipaji bado wapo???? Wanafunzi kumi bora ni wavulana mwaka huu 2026? Wadau ,
  7. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Kipindi Maalum IBN TV

    Mzee Mohamed Said anaielezea Marekani kama taifa lililopoteza nguvu zake na kushindwa vibaya katika mzozo wa sasa: "Irani imedhibitishia dunia kuwa hawa Marekani ni chui wa karatasi". "Marekani ameishiwa nguvu huwa ameishiwa silaha kipigo alichopata katika zile vituo vyake vemweka katika hali...
  8. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutupia picha mbalimbali na video za Rais wa Tanzania ajaye, Tundu Antipas Lissu ili kumtia moyo kwenye kupambania katiba, utu na haki

  9. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wale tunaojihisi ni mataji😁😁

    Kuna sisi tuna vibe la kibongo bongo pesa inatutembelea kwa wakati😅... Tusivunge wakuu ,ebu tufanye kutamba 😆.... Japo nikidogo tu ila kuna namna tunaishi😇... Bongo wanaoishi maishi ya kula bata kwenye yachi ya kifahari hawazidi 50 kwa sasa😅😅
  10. JamiiForums Tanzania Wimbo maalum kwa Taifa la Tanzania. Nakala TBC, Uhuru fm, Azam TV na ITV na Channel ten

    https://youtu.be/oE6XHuIYiDw?si=z9HOvhkevw48eGvq
  11. O

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya Taifa yapata mwelekeo mpya, muswada maalum waandaliwa

    Taarifa kwa UMMA Kuhusu Uandaaji wa Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Kuongoza Mchakato wa Mazungumzo ya Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa* Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania, taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa, wadau wa maendeleo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kumhusu Mtumishi Moses Kulola,Nini unafahamu kuhusu yeye?

    Habari wakuu nimeona post moja huko mtandaoni kumhusu nikashawishika kupata taarifa kumhusu huyu muhubiri/mchungaji aliyekuwa anaitwa Moses Kulola, Nasikia juu juu tu kwamba ni mchungaji ambaye alifanya mambo makubwa kipindi hicho, Kwa wewe ambaye ulikuwepo kipindi hicho ni nini uliwahi...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Zanzibar, Julai 2, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Zanzibar Jumatano tarehe 29 Julai, 2026.
  14. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya kupeana updates za vibali vya uhamisho kutoka Utumishi

    Kama wewe ni Mtumishi wa Umma na Umeomba uhamisho kutoka Taasisi Moja na kwenda nyingine basi tukutane hapa kwa ajili ya kupeana updates, najua kuna watu maombi yao yamefika Utumishi siku na miezi mingi imepita bila majibu basi tuzidi kupeana infos hapa ili kama wewe mwenzetu umefanikiwa...
  15. JamiiForums Tanzania ENGLISH PREMIER LEAGUE: Uzi Maalum wa Msimu 2026/2027

    TIMU ZITAKAZO SHIRIKI MSIMU HUU: Arsenal Aston Villa Bournemouth Brentford Brighton & Hove Albion Chelsea Coventry City Crystal Palace Everton Fulham Hull City Ipswich Town Leeds United Liverpool Manchester City Manchester United Newcastle United Nottingham Forest Sunderland Tottenham Hotspur...
  16. JamiiForums Tanzania Kulinda Vifaa vya Kazi vya Kampuni: Ofa Maalum za B2B kwa Simu na E-Devices

    Habari za kazi wakuu, Makampuni mengi sasa hivi yanategemea vifaa vya kidijitali kama simu (smartphones) na tablets kuendesha shughuli zao za kila siku—iwe ni timu za mauzo (sales team), madereva, au wasimamizi wa miradi. Lakini je, una mpango gani kifaa kikiharibika, kikiibiwa, au kikipata...
  17. JamiiForums Tanzania Madaktari "Viti Maalum" kuja hivi Karibuni!

    Baada ya taaluma ya mawakili wa kujitegemea kupuuzwa, kudharauliwa, kudhalilishwa, kutishiwa kufutwa chama chao na "watu wasiojulikana" na baada ya kuona TLS ina nguvu kwa kutumia Section 4 of TLS ACT, mbinu kubwa ikaja ni kuunda chama cha mawakili wa Serikali wapambane na TLS. Wale mawakili...
  18. JamiiForums Tanzania Leo ni historia maalum Tanganyika

    Leo katika historia ya Tanganyika, tarehe 7 Julai ni siku yenye umuhimu wa pekee kwani ndiyo siku ambayo Chama cha Tanganyika African National Union (TANU) kilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1954 jijini Dar es Salaam. Chama hiki kilizaliwa kutokana na mageuzi ya chama cha kijamii cha Tanganyika...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Je, Kampuni au Taasisi Yako Inahitaji Mfumo Maalum?

    Peculiar Enterprises Ltd. ni kampuni ya teknolojia inayobuni na kutengeneza mifumo ya kidijitali kwa makampuni, mashirika, taasisi na biashara zenye mahitaji ya kitaasisi. Mbali na kuendesha mfumo unaosimamia zaidi ya biashara 20,000 Africa unaojulikana kama SmartBusiness, pia tunatengeneza...
  20. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa ushauri kwa vijana

    Weka hapa linalokusumbua.. Lakini Kama unahofu ya kutumia jina lako.. Unaweza kuwasililiana na Moderator akakuweka anonymous Vijana wamevurugwa mentally. Vijana wengi hawana sexual awareness Vijana wengi wanateseka na uraibu Vijana wengi wanateswa na mahusiano Vijana wengi wanatepelika kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…