maajabu

  1. JamiiForums Tanzania DRC na maajabu yake

    Hivi, raia kama hawa, wanahusikaje kwenye siasa? Inakuwaje wanastahili kifo cha fedheha kiasi hiki! Kwa sababu tu wanaitwa watutsi!
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu Gwajima yuko sahihi : Angalieni maajabu, Walomshambulia Padre KITIMA, mpaka leo Kuna kigugumizi Cha kuwapelekea Mahakamani

    Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani. https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282 Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais . Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ona maajabu ya Tanzania kuhusu vipato vya watumishi wa serikali

    Mbunge Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba. 1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku 2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi 3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa 4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee 5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao 6...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ona maajabu ya Tanzania kuhusu vipato vya watumishi wa serikali

    Mbunge Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba. 1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku 2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi 3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa 4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee 5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao 6...
  5. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu: Usiku wa kuamkia leo na ninyi mlidukuliwa ama shida ilikuwa ni nini?

    . Hali isiyo ya kawaida leo kuanzia mida ya sita usiku nimetumiwa message kwenye simu yangu kwa namba tofauti tofauti. . Nikawa nafikiria labda kuna watu walikuwa wananitafuta kuhusu masuala fulani au wamesajili namba tofauti hivyo wananijulisha kuwa wana namba mpya. . Asubuhi naamka kisha...
  6. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Ajax Amsterdam kukosa ubingwa, hii ingetokea bongo je?

    Wakuu ukisikia maajabu ya soka ndio haya Ajax Amsterdam ya nchini uholanzi imekosa ubingwa kimaajabu. Mpaka mechi ya 29 huku zikiwa zimesalia mechi tano pekee, Ajax alikuwa amemuacha mpinzani wake, Psv kwa jumla ya alama tisa. Mambo yalienda kombo kwani Ajax alipoteza mechi mbili mfululizo na...
  7. JamiiForums Tanzania Angalia maajabu tuliyofanya katika hii mansion ya mteja wetu. Tuli-design, then tukaingia site tukatoa kitu matata sana

    MANSION DESIGN AND BUILD SERVICES CALL/WHATSAP US +255624004650 INSTAGRAM mkuzibuilders TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  8. JamiiForums Tanzania Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu

    Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu. 1.ilikuwa kati ya miaka 96 ad 98 wakati mdogo niliona nyoka ana vichwa viwili niliogopa sana..hii ilikuwa Moro vijijini. 2.miaka hiyo hiyo nikiwa kwa bibi maeneo ya kibungo juu kuna siku mvua...
  9. JamiiForums Tanzania Enai Na Abes Life

    Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha. . Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
  10. JamiiForums Tanzania Moja ya maajabu ya shabu kutibu miguu kuwaka moto na kufa ganzi

    Dawa ya miguu kuwaka moto🤔 🗣️leo nitapenda kuelekeza Dawa ya miguu kuwaka moto au kufa ganzi au kupoza au kuuma. chukuwa shabu vijiko 4 vikubwa chemsha kwenye maji ya ya Lita mbili kisha jikande ✍️ Kwa kitambaa Kwa siku Mara mbili kwa siku 4 tu kisha mlete majibu ni watu wengi wamekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
  12. JamiiForums Tanzania Unajua kwanini nacheka hii ni maajabu 🤣🤣

    hi inapendeza kwa CCM kwasababu ndio watajua sasa kuwa wananchi wamewachoka kazi kukamata watu wasio na hatia kisa wanawazidi hoja sasa unamkamata tundulisu kafanya nin mnamkamata heche kafanyanin sikuzote hoja inajibiwa na hoja ila wao CCM badala ya kubishana na hoja eti wanabishana na mtoa...
  13. JamiiForums Tanzania Dr manyaunyau ameishiwa maajabu aliyokuwa nayo?

    Imenishangaza kuona ule ugomvi wa mganga maarufu wa miaka hiyo nani hakumfahamu Dr Manyaunyau? Akipigwa na mganga mwenzie mabanzi ya kutosha huku akitishiwa kubutuliwa na risasi pia wakiwa msibani kwa msanii Carina. Nimebaki najiuliza hivi yale mazingaombwe yake ya kuchezesha sijui jini nani...
  14. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Dunia yapo Tanzania, Handeni Mjini wapiga kura 28,000 Arusha Mjini Wapiga kura 521,000

    Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa......... Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani. Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maajabu: Kweli huu ni Wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania. Angalia namna CCM na Mapandikizi yao yanavyokataliwa waziwazi na Wananchi!

    Tuache namna Wananchi wanavyoipokea vizuri kabisa kampeni ya No Reform No Election kwenye mikutano inayoendelea kuanzia Kanda ya Nyasa na sasa Kanda ya Kusini. Kuna namna Mungu anafanya jambo kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli, ulaghai na dhuluma za Chama cha Mapinduzi na Mapandikizi...
  16. JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia hayaishi: Vichaa wamewabana kwa hoja wasomi wenye Masters na PhDs!

    Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya wasomi(waliobobea katika elimu ya juu) wanaposhindwa kujibu hoja mitandaoni, wanakimbilia kutoa matusi ya kisaikolojia. Hoja hujibiwa kwa hoja. Mtu akiandika uzi unaowa-challenge wenye shahada za juu, mara nyingi anaambiwa kuwa ana matatizo ya afya ya...
  17. JamiiForums Tanzania Dunia ya maajabu

    Mapango ya chini ya ardhi yakiwa na mamilioni ya makombe ya baharini , hakuna anayejua ni nani aliyeyajenga. Shell Grotto huko Margate, Kent, Uingereza, inasimama kama moja ya siri za kushangaza zaidi katika historia. Iligunduliwa mwaka wa 1835, njia hii ya kupita iliyofichwa imepambwa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Ukristo na Uislam

    Mtasalimiwa na Boss la DP World Nilijua ndani ya ukristo tu ndo kuna madhebu yanayopingana huku yote yakimuamini YESU.Ebu ona hapa. 1.Wakati kuna wakrito wamefunga Kwaresma kuna wakristo hawana habari na huo mfungo na hawautambui.Ila wote ni waumini wa Kristo. 2.Wakati kuna waislam wamemaliza...
  19. JamiiForums Tanzania Maajabu ya biashara ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Hi ni biashara pekee ambayo mtu au mchimbaji anaweza kukukopesa hata milioni 50 bila kuandikishana au kuwepo na shahidi yoyote. Ni biashara ambayo mtu anaweza kukuuzia udongo ambao hauna uhakika wa kilichomo ndani. Ni biashara ambayo pamoja na mtu anaweka pesa kubwa, ila wanaamini uchawi...
  20. JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia yanazidi kutusogelea wakati Hamas waliozingirwa wakipigana peke yao dhidi ya Marekani na Israel

    Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote. Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…