MAADUI ZETU NI WATU WAZURI,TUWAOMBEE MAISHA MAREFU.
Leo 13:15hrs 02/07/2022
Maisha yanaanza na kibao cha mgongoni mtoto analia,kila mtu anafurahi ya kwamba mtoto ni mzima,kibao baada ya kuzaliwa kinakupa ukweli wa maisha halisi ya hapa duniani,kumbe maumivu yaani adui yetu ndiye mtu mkweli...