maadui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima umekuwa na maadui wengi usisahau kutembea na bastola yako yasije yakajirudia ya kipindi kile

    Kipindi kile mwaka 2015 ulizua taharuki kubwa baada ya kuvunja sheria na kuagiza wasaidizi wako wakuletee bastola yako ukiwa hospitali. Sasa hivi ni wazi kabisa kwa msimamo wako dhidi ya chanjo umeshajenga maadui katika jamii. Kwa sababu na wewe ni muoga kuondokewa na uhai wako basi ni bora...
  2. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kuna kundi la vijana wa Kitanzania wanahusiana na makundi ya kigaidi. Kwa sasa hawa ndio maadui wa taifa letu

    Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab. Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia. Hata hayati...
  3. Eddy Love

    JamiiForums Tanzania Wanawake hivi mkiachana kwenye mapenzi ni lazima muwe maadui?

    Unakuta mwanamke hujawai kutembea naye wala kumfanyia baya lolote lile lakini bahati mbaya mahusiano yamevunjika tu ghafla, hakuna mawasiliano pande zote mbili lakini siku unamuona online umemtumia tu ujumbe wa kumsalimu povu linamtoka vibaya na tena haliishii hapo atatoa nyuzi zinazokuhusu wewe...
Back
Top Bottom