maadui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    George Soros na Open Society yake ni maadui wanaokutana na usalama wa Taifa makini wenye kuijua kazi yake

    Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA. George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya...
  2. Komeo Lachuma

    Huyu ni mmoja ya Members wenye Maadui wengi sana humu JF. Hadi watu wa Mfumo wanamtafuta sana

    Ukija PM yangu imejaa msgs toka kwa wanangwengwe wakiwa na mambo mbalimbali lakini hawanikatishi tamaa. Mimi nlishatangaza vita kwa makundi ya watu hawa bila kujali Dini, Makabila yao, Vyama au Itikadi zao. Nlishasema hawa nitawapasua tu hata kama nitabaki peke yangu wao watakuwa milion moja...
  3. Pdidy

    ADUI YAKO MWOMBEE NJAA..NA ZNZ MNAFUNGWA NA BERKANE KUANZIA GOLI 2+ NIKO KWA SUGUYE NAOMBEA MAADUI ZANGU MPAKA SAA NNE HAPA NIMEANZA KUWAPASUA WATEKET

    MUNGU WA BABA YANGU SUGUYE NABII HAJAWAHI KUSHINDWA ALINISHINDIA MAOMBI MECHI YA MOROCCO MUNGU HUYUHUYU WA NABII SUGUYE TUNAKWENDA KUSHINDA TENA HAPO ZNZ TEAM BERKANE HAPA TUKO KWENYE MFUNGO WA SIKU TATU MWISHO KESHO NASEMA HIVI TUNAHARIBU MAADUI ZETU WOTE TUNAKEMEA WASHINDWE LOLOTE...
  4. K

    Serikali ya nchi hii ni mwanachama wa CCM na inalazimisha raia wote tuwe CCM wale wanaokaidi wanakuwa maadui wa serikali

    CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama Nimepata pia...
  5. mdukuzi

    Waislam wenye asili ya Zanzibar huwaona wakristo makafiri na maadui tofauti na waislam wabara ambao huwaona wakristo ni wenzao

    Niliwahi kuishi upareni nikakuta ndani ya familia kuna wakristo na waislam wanaishi vizuri tu. Nikaenda Zanzibar nikajiita Karim, nikapata wanawake wazuri sana, ila Walipogundua nina jina la kigalatiana walianza kunibagua japo kiuhalisia siendi msikitini wala kanisani Jijini Dar es salaam...
  6. H

    Tuwatambue Maadui Wa Haki wa Taifa Letu

    Taifa letu linapitia nyakati ngumu za ugandamizaji wa haki, demokrasia na uhuru wa maoni. Mambo haya hayakuanza ghafla bali yamekuwa yakizidi kuongezeka na kuota mizizi. Leo mtu anayeikosoa Serikali au Rais, kutekwa, kupotezwa, kuuawa au hata kubambikiwa kesi mbaya, imekuwa ni jambo la...
  7. mwehu ndama

    Maadai wapya wa Taifa letu ni hawa

    Uchawa! huu umekuwa mfumo mpya wa watu maarufu na makundi mengine ya watu wenye ushawishi hapa nchini kujitafutia kipato baada yakuishiwa maarifa katika taaluma zao husika.Uchawa umegeuka mfumo hatari zaidi wa watawala kueneza propaganda zao zakipumbavu na kijinga. Nyege! Nchi imegeuka...
  8. K

    Mitume na Manabii walikuwa maadui wakubwa wa selikari za kipindi hicho, hawa wa leo?

    Ukisoma historia za Dini toka enzi za Mitume na Manabii,Viongozi wote wa Dini walikuwa tofauti na selikari zao za kipindi hicho, sababu ya kuwa na Imani ya Muumba wao, wakazisimamia jamii walizokuwa wanaziongoza na wakakinai ya dunia ,yaani kutokuvithamini vitu vya dunia mali na anasa zake...
  9. R

    Maadui zangu wananichekea na kuniambia "SIKU MOJA KARIBU NYUMBANI UTUSALIMIE"

    Watu waliokuwa wananifanyia figisu kazini mwaka 2014 mpaka 2018, nikikutana nao Kariakoo au pahala pengine, wananichangamkia na kuniambia "Karibu nyumbani utusalimie siku moja" Sasa ninajiuliza, wanataka niende makwao ili wakaniwekee sumu kwenye chakula ama vp?? Maana ninawaona kama vile...
  10. Echolima1

    Maadui wa Israel popote hawana usalama

    Maadui wa Israeli hawako salama popote. Kiongozi wa Namba 1 wa Hamas, Sinwar, aliangamizwa Gaza 🇵🇸. Kiongozi wa namba 2 wa Hamas, Haniyeh, aliangamizwa Iran 🇮🇷. Kiongozi nambari 1 wa Hezbollah, Nasrallah, aliondolewa nchini Lebanon 🇨🇦. Israeli itaendelea kuwawinda magaidi popote walipo!!
  11. Expensive life

    Ndugu zangu, muda mwingine sisi wenyewe tunawapa nafasi maadui zetu watudhuru

    Habari za jumapili wadau? Tunaishi kwenye jamii ambazo hazipendi kuona wengine wakifanikiwa. Wengi wetu tumekuwa tukipenda kuweka wazi mipango yetu, hasa kwenye social network, WhatsApp, insta etc. Sijui lengo huwa ni nini? Kuwaringishia wengine au kuwahamasisha wengine. Nina mkasa wa rafiki...
  12. kipara kipya

    Maadui wakubwa wa soka la bongo katika picha!

    Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na makocha. Timu ikifika ngazi klabu bingwa kule hakuna Mwigulu wa GSM chali nyumbani na...
  13. Alvin_255

    Maadui sita(6) hatari katika maisha yako.

    Kwenye maisha unayoishi huwezi kuepuka maadui ambao wanakuchukia, wasiopenda kukuona umefanikiwa bila kujali upo sehemu gani na unafanya nini, Joel Nanauka kawaongelea "Maadui 4 hatari katika maisha yako" ambao ni Kaini, Delila, Penina, na Hamani. (Una mengi ya kujifunza kupitia JN). Kwa...
  14. K

    Jeshi, Polisi na Usalama msijihusishe na siasa wananchi watawaona maadui

    Jeshi, Polisi na Usalama msijihusishe na siasa na kuanza kupendelea vyama kwasababu inaelekea wananchi wengi sio washabiki wa vyama bali ni wapenda haki. Vitendo vya watu kuona waziwazi wanaiba kura zao mnajenga uadui ambao utakuwa mbaya kuutoa. Ushauri ni kwamba kuweni upande wa haki...
  15. Expensive life

    Kuwazidi mshahara kidogo tu kumenitengenezea maadui kazini.

    Wakuu habari za jion? Waswahili walisema dunia hadaa ulimwengu shujaa, ndio hii sasa nakutana nayo mimi. Nilikuwa muajiriwa wa kampuni (A) hivyo kampuni (B) walinitafuta sijui ni wapi walipata namba zangu. Hr wa kampuni (B) alisistiza kuwa wanahitaji huduma yangu, na mimi pasina kusita...
  16. Fortilo

    Kwa wanaompenda Tundu Lissu Mwambieni aache kuishi kama Celebrity maadui zake Kisiasa bado wapo

    Mwanasiasa yeyote duniani prominent ana maadui, wengine kwa muda wengine wa kudumu, na hii ni kutokana na aina ya siasa unazofanya Siasa ni maisha ya watu, ni kupata na kukosa, siasa ni fedha na madaraka, Heshima na Urithi. Sasa unapofanya harakati kuna utakaowaumiza kwenye kusema, kutoa...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Je, wajua kuna alama zinazomaanisha maagano na viapo? Jitahidi sana kuzilinda ili maadui zako wasizipate

    JE WAJUA KUNA ALAMA ZENYE MAAGANO NA VIAPO? JITAHIDI SANA KUZILINDA MAADUI ZAKO WASIZIPATE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Alama! Watu wengi hawana ufahamu Mkubwa kuhusu Elimu ya ALAMA. Alama zipo nyingi Sana na zina matumizi Mengi Sana. Alama ni kitu au Jambo linalobeba au kurejelea...
  18. Bams

    Watakaogeuka Kuwa Maadui Wakubwa wa Mbowe na CHADEMA, ni Wanachama na Wapenzi wa CHADEMA wa Sasa

    Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo. 1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani katika nafasi anayogombea, lakini mpinzani huyo hakustahili kuwa MBOWE. 2. Mbowe, kiuhalisia, hata...
  19. The Father of All

    Hawa ndiyo maadui wa CCM na 'taifa' la wachumia tumbo

    Kwa CCM: Kila mwenye uwezo wa kuongea ni tishio kwao. Kila anayejitambua ni tishio kwao. Kila anayekosoa ni adui kwao. Kila anayekataa uchawa ni tishio kwao. Kila anayeshuku ni adui kwao. Kila anayefikiri ni adui kwao. Kila aliye safi ni adui kwao. Kila aliye na akili timamu ni adui kwao...
  20. M

    Je, Lissu ameamua kuwa na maadui wawili kwenye siasa?

    Ni dhahiri kuwa sasa hivi Lissu anaishambulia serikali ya CCM na Mwenyekiti wake wa CHADEMA Bw Freeman Mbowe kwa pamoja. Kama tujuavyo ni kuwa siasa ya Afrika ni uadui na sio mashindano ya amani. Swali langu ni kuwa Je Lissu ameamua kupambana na maadui wawili kwa pamoja? Je hawezi mmoja...
Back
Top Bottom