maadui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukraine wafanikiwa kufanya mashambulizi makali Crimea na kuua kundi la maadui

    Vilianzia Crimea, vinaishia Crimea, hivi karibuni Urusi itaitapika Crimea..... Ukrainian defence forces, together with the Security Service of Ukraine (SSU), have launched a drone strike on the 126th Brigade of the Russian Black Sea Fleet, based in the village of Perevalne in temporarily...
  2. Marafiki ndio maadui zako wakubwa

    Adui sio mtu ambaye yupo mbali, ni rafiki yako wa ndani wa toka nitoke, yaani mmeshibana sana ndio anakuharibia maisha. Leo unamuona bonge la dili ila baadae unakuta yeye ndio amekuharibia vitu, ukija sikia unakufa kabisa. Wala huponi kwa dawa, sindano wala drip. Kwa hiyo mlio na marafiki...
  3. J

    Maadui wa Tanzania wafikia watano

    Habari za leo wana JF! Zamani Mwalimu Nyerere atuambia maadui wa kweli wa Nchi hii walikuwa watatu yaani ujinga, maradhi na umasikini. Lakini miaka 60 baada ya uhuru maadui wameongezeka badala ya kupungua. Kutoka maadui watatu hadi maadui watano. Bahati mbaya zaidi wajinga wa sasa ni wale...
  4. Maisha ya sasa Mwanaume na Mwanamke ni maadui wakubwa, tusitegemee tena ndoa kudumu

    Maisha ya sasa mwanaume na mwanamke ni maadui wakubwa sana tusitegemee tena mahusiano ya kimapenzi au ndoa kudumu. Uhalisia ni kuwa maisha ya sasa yamejaa uadui mkubwa sana kati ya mwanamke na mwanaume ndio maana mahusiano hayastawi tena. Wapenzi wataanza mahusiano lakini baada ya muda mchache...
  5. Danadana ya kupatikana Katiba mpya lengo ni kuhalalisha mikataba mibovu

    Baada ya Bunge la CCM kupitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World ya Dubai hakuna tena shaka kuwa adui wa taifa hili ni CCM. Kumbe ile dana dana iliyokuwa ikipigwa kuchelewesha upatikanaji wa Katiba Mpya, ilikuwa kuwezesha Tanzania kuingia laini katiba mikataba ya aina...
  6. Hitimisho langu. Ni ishara nzuri ya kuongezeka kwa confidence kwa Wawekezaji ila kwetu tuzidi kupambana na ujinga na chuki hawa ni maadui wakubwa sana

    Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu. Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua...
  7. Takriban miaka 62 sasa maadui wa taifa hawapungui ila wanaongezeka

    Baada ya uhuru tulianza na ujinga, maradhi na umasikini. Hadi sasa hakuna aliyepunguzwa walau makali... Sasa hivi wanaendelea kuongezeka. Kuna ufisadi, rushwa, uchawa, watu wasiojulikana, ukanda na mitandao ya kisiasa ndani ya vyama vya siasa, huenda orodha inaendelea Tatizo liko wapi...
  8. D

    Kwani mkiachana lazima muwe maadui?

    Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake wa miaka mitatu, lakini walipoachana, hakumtoa nje ya nyumba yake, aliogopa kwamba angeishi maisha ya chini, hivyo alimuachia nyumba yao na yeye akaenda kupanga nyumba nyingine. Sio hivyo tu, aliendelea kulipia bili zote kwaajili yake na binti yao na...
  9. J

    Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli mnaombea mabaya nchi hii? Tuwatangaze maadui wa Taifa?

    Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie. Nitatoa mifano 5 1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao wa maji, watu hawa walikuwa wakifurahia sana, walipata sababu ya kuanzisha nyuzi kila dakika hapa JF...
  10. Sipendi kuwa na marafiki wengi sababu marafiki ni maadui zako wa baadaye

    Kuwa na marafiki wengi siyo sifa bali unatengeneza ugumu wa kujua adui wako, kikulacho, mfitini na n.k, sababu una marafiki wengi. Wengine wanaweza kuwa marifiki sababu mbalimbali kwa idadi uliyonayo, ni bora rafiki wasizidi wawili wengine kuwa mnasalimiana tu. Ukizungukwa na marafiki ni mzigo.
  11. Mungu akiwa ndani yako kila kombora lako kwa maadui atarusha yeye

    Ifahamike ya kwamba Mungu hupenda roho safi, mioyo safi, na utakaso ndani ya nafsi zetu, hivyo basi ukimtegemea na kumuishi yeye, hutumii nguvu ya kuhangaika na Ibilisi akufuataye kwenye maisha yako. Mungu wa kweli hupigana yeye kama yeye dhidi ya maadui zako, maana kila kombora na silaha zote...
  12. C

    Mrisho Gambo acha kutamba maadui zako wakiamua kukupata ni mara moja tu!

    Kwa mfano unavyopenda mara kwa mara kwenda kwa Rafiki yako mkubwa mwenye Media yake nyuma ya Kebby's Hotel Bamaga na jinsi ile njia ilivyo na Giza na Ukimya ule Wakikuamulia Watakukosa? Nimeshangaa na Kusikitika kuona mahala fulani kwa Nyodo na Jeuri kabisa ukitamba na kusema kuwa hawakuwezi na...
  13. Kosa kubwa alilofanya Hayati Magufuli ni kupambana na adui bandia na kuacha maadui halisi. Wenye ndoto za kuwa Rais mjifunze

    Kwema Wakuu! Ndio nimeamka sasa hivi Hapa, nikaota na kuambiwa kuwa JPM alipambana na maadui Bandia huku akiwaacha Maadui halisi wakipeta. Ndoto hiyo ambayo nina uhakika nayo Kwa Asilimia Mia moja inanipa tafsiri kuwa JPM alishindwa kutambua maadui wake halisi na Hilo kwenye uwanja wa vita ni...
  14. N

    Rais Samia amefanikiwa kupambana na adui watatu wa Mtanzania

    Ni maadui watatu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere tangu tunapata uhuru – ujinga, umaskini na maradhi. Hadi anazikwa kijijini kwake Butiama Oktoba, 1999, maadui wa Taifa walibaki ni walewale watatu. Na kuna viongozi wengi waliopita walijitahidi kupambana na hawa maadui zetu...
  15. Bado hatujawashinda maadui wetu watatu, limeibuka tatizo jipya katika nchi yetu

    Inasikitisha kuona watu wanakufa kwa ajili ya Nyege na Uchi so sad hivi vijana wanakosea wapi? Adui ujinga Adui maradhi Adui umaskini Adui Nyege
  16. Jinsi unavyozidi kufanikiwa, ndivyo unavyozidi kuongeza maadui

    Kama ulikuwa na biashara moja, na ukaongeza nyingine n.k jua ya kuwa unazidi kuongeza maadui; na adui mbaya zaidi ni yule mtu wako wa karibu, anaweza kuwa ndugu, kaka, dada, shangazi, mjomba n.k hawa wengine wa nje ni wapitaji tu, watakutikisa na watakuacha. Hata wale unaowashirikisha kwenye...
  17. P

    SoC02 Tanzania tukiamua, elimu inaweza kuwa silaha dhidi ya maadui watatu wa maendeleo

    Moja kati ya hotuba maarufu sana ya aliyewahi kua muasisi wa taifa letu, Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere ni ile ya mwaka 1995, ambapo kiongozi huyo aliongea kuhusu swala zima la maadui watatu wa maendeleo, ambao ni umasikini, ujinga na maradhi. Katika karne hii ya 21, adui ujinga amekua...
  18. SoC02 Namna ya kufanya kazi na maadui sehemu ya kazi

    Umewahi kupata wazo kuwa mtu kazini kwako hana nia njema na wewe? Je, wakati mwingine unahisi kuna watu fulani unaofanya nao kazi ni wabaya wako? Inawezekana isiwe uadui wa moja kwa moja lakini kuna ile hali ya kutokuamni wenzako. Unajisikia haupo salama unapomsikiliza mtu lakini hujui ni...
  19. Je, ni wakati wa kuwatambua Mbowe na Lissu kama maadui wa taifa?

    Hapo nyuma walikuwa wanatudanganya kuwa wao ni wapambanaji na wapo kwa ajili ya maslahi ya taifa. Pamoja na ugumu wa kufanya siasa zao za ujanja ujanja kwenye awamu ya tano lakini walikuwa wanapiga sana kelele na kuwaaminisha wafuasi wao wanapambania nchi. Kelele zilikuwa nyingi baada ya...
  20. N

    Wananchi wengi wanaunga mkono tozo, maneno ya maadui na vibaraka wa mabeberu yapuuzwe

    Baada ya kuona nchi inapiga hatua kwa kasi chini ya Rais mpendwa wa awamu ya sita, madaui wa taifa kupitia vibaraka wao wameibuka kwa kasi sana Mama hata halali kabisa akiwaza jinsi ya kuwaletea maendeleo hili lilithibitishwa na Gerson Msigwa lakini bado kuna wajinga wanalalamika tu Tozo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…