Mgambo wa maadili wa Sharia katika Jimbo la Katsina, Nigeria wakiwa na viboko na marungu wamevamia lodge mojawapo jimboni humo na kuanza kutandika wateja.
Majimbo 12 kati ya 36 ya Nigeria yana utawala wa Sharia wa Kiislamu ambapo huwa na mgambo waitwao Hisba kuhakisha Sheria ya Kiislamu...
Hamjambo wote!
1. Mara zote maadili huharibiwa na viongozi, wazazi na wakubwa.
2. Viongozi na wazazi au wakubwa wakiwa na maadili automatically watoto, wadogo na waliochini watakuwa na maadili.
3. Sio maadili ya kuhubiri mimbarani, au kwenye majukwaa kama kasuku. Huo ni ukasuku. Huwezi sema...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.
WAZIRI MKUU ASISITIZA AMANI, MAADILI NA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI
▪️Asema taasisi za dini nguzo ya maadili na amani nchini
▪️Aonya migogoro ya ardhi inaweza kuvuruga mshikamano wa Taifa
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za...
Wakuu,
Akizungumza leo Februari 28, 2025 Jaji Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba alisema katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mmonyoko mkubwa wa maadili lakini Hayati Kardinali Pengo alikuwa ni mtu anayekumbusha umuhimu wa maadili
Samahanini kwa neno kali la vazi la ndani lakini sikuona neno mbadala sahihi la kuwasilisha ujumbe
Zamani kuona nguo ya ndani ya mama yako ilikuwa haiwezekani na hata ikitokea inaweza kukupa trauma ya milele. Siku hizi mama anatembea na chupi mbele ya mwanae wa kiume .
Huko beach na mahotelini...
Japo watu wengi wa dini huwa wanaamini dini ndiyo chanzo kikuu cha maadili duniani na kwamba dunia bila dini itageuka kuwa uwanja wa fujo ukweli wa historia unaonyesha tofauti kabisa.
Tukijikita katika dini kubwa tatu za Uyahudi, Ukristo na Uislamu zilizoanzia mashariki ya kati utagundua mambo...
Habari wana JF,
Niende moia iwa moja kwenye hoja yangu ambayo pia naileta kama swali kwa baraza la sanaa ambalo huwa linasimamia pia maadili kwenye kazi za sanaa pamoja na mamlaka zetu zote zinazohusiana na kumlinda mtoto zikiongozwa na wizara husika.
Kuna huu wimbo mpya ya msanii Mbosso...
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar: Maadili kama Mkakati wa Kisiasa
Katika historia ya siasa za Zanzibar, Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imekuwa ikitangazwa kama suluhisho la migogoro ya kisiasa na njia ya kudumisha amani. Hata hivyo, uzoefu halisi wa Wazanzibari unaonyesha kuwa mara...
Mdada wa usafi sio haba
Secretary balaa tupu
Cashier homa ya jiji
Mhasibu another trouble
Afu tume ya maadili wapo kimya kama mabubu wenzao takukuru hawaoni kama vipofu
Wazazi Huu msimu wa sikuku usitulevye tukavuja Hela za Ada za watoto wetu.
Ndiyo elimu ni Bure bila ada basi changia hata chakula ili mwanao ale shule hapohapo. Kama shule ya mwanao Haina food program basi pendekeza kwa ustawi wa mwanao na shule kwa ujumla.
Baadhi ya wazazi wakishakula Hela...
Samia amejaza wanafamilia yake angalau 7 kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa na uwaziri. Wapo wengine wengi katika nafasi za chini kidogo, ni wengi.
Jambo hili linadhihirisha kuwa Samia hana maadili ya kiuongozi na hajali anayoyafanya mbele ya macho ya Watanzania. Jambo hili ni hatari kwa...
Ndugu zangu,
Kila taifa lenye nguvu hulinda misingi yake ya maadili na falsafa. Kila taifa linalodumu huandaa vijana wake sio tu kwa kazi ya mikono, bali kwa uongozi wa roho na fikra. Hii ndiyo maana JKT ilipaswa kuwa.
Nilipotazama vijana wa Tanzania, niliona viongozi wa kesho. Niliona...
Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki.
Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli.
Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utashuhidia lugha chafu zisizo na staha pamoja na matusi mazito ya nguoni.
Hii ni ishara ya kuwa ushawishi wa taasisi zetu za dini kwa jamii umeshuka sana na upo ICU.
Ina maana watoto hawana mafunzo ya chuo(madrasa) au mafundisho na hivyo hawaoni kutenda...
Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii.
Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi...
Miaka ya uchaguzi Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, mzee Kikwete na Mzee Magufuli walikuwa wakitembea huku na kule na wenzi wao. Je rais Samia hana washauri juu ya hili? Kwanini anamtenga mume wake?
Je, anatoa picha gani kwa umma? Kikwete aliwahi kumlazimisha Magufuli kumtambulisha mke wake kwenye...