lushoto

Lushoto is a town in the Usambara Mountains of Tanzania. It is the capital of Lushoto District, Tanga Region. The 2012 national census estimated the population of Lushoto ward at 28,190.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI afanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amefanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, kilicholenga kuweka mkakati wa utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba hususani ya utatuzi wa kero na changamoto za wananchi...
  2. JanguKamaJangu

    Mtambo wa Oksijeni waokoa maisha ya Wananchi Lushoto

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ameshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuokoa maisha yake na wananchi wa Lushoto kwa kutoa fedha zilizowezesha kupatikana kwa mtambo wa kuzalisha hewa tiba ya oksijeni katika Hospitali...
  3. Roving Journalist

    Mawaziri wafanya kikao Lushoto kutafuta suluhu ya migogoro ya Wananchi Mkoani Tanga

    Mawaziri saba wa kisekta wakiwa na mwenyeji wao ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ambaye ni Mbunge wa Lushoto wamekutana wilayani hapo kujadili utatuzi wa changamoto na migogoro inayowakabili wananchi mkoani Tanga ikiwemo ya ardhi, ikiwa ni hatua ya...
  4. Ojuolegbha

    Picha Lushoto

    ASANTE LUSHOTO🇹🇿
  5. Roving Journalist

    Rais Samia: Majengo 122 yamejengwa nchini kuboresha huduma kwa Wananchi!

    Ziara ya Rais Samia Lushoto - Tanga Februari 24, 2025 https://www.youtube.com/live/LNpz7Pc79wE?si=yn9bJoLvJnntvhA- "Nimekuja kuangalia matumizi ya fedha mbalimbai zinazoletwa kuondoa shida za wananchi, nimekuja kuangalia kama kweli zimeondoa shida za wananchi, nami sitaki nilaumu nataka niseme...
  6. The Father of All

    Hivi kuna sehemu yenye kuvutia kwa kila kitu nchini zaidi ya Lushoto?

    Nimetembea sehemu nyingi nchini. Sijawahi kuona sehemu yenye kuvutia kama Lushoto. Mbali na mandhari yake ya kuvutia, watu wake ni waaminifu, wachapakazi, wachangamfu, na wakarimu. Kwa upande wa matunda na vyakula ndiyo usiseme. Haya ni maoni yangu binafsi. Hivyo, sitaleta utafiti zaidi ya...
  7. Waufukweni

    LGE2024 Lushoto waongeza vituo vya kupigia kura

    Halmashauri ya Lushoto imebidi kuongeza vituo vya kupigia kura 64 katika maeneo mbalimbali kutokana na kuwepo malalamiko ya baadhi ya wananchi kuwa kuna sehemu vituo vipo mbali na hawataweza kufika huko. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya...
  8. Faana

    KKKT je ni kweli HQ yenu iko Lushoto

    Nikiangalia Wikipedia wanasema wako Arusha lakini mtangazaji anasisitiza HQ iko Lushoto https://www.facebook.com/reel/442803845318314 Evangelical Lutheran Church in Tanzania (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania) The Evangelical Lutheran Church in Tanzania is the federation of...
  9. Pfizer

    Tanga: Mbunge wa Lushoto na Mwenyekiti wa Halmashauri wadaiwa kuwindana kwa Risasi

    Mbunge wa Lushoto mjini Shaban Shekilindi almaarufu Boznia anahusishwa na tuhuma za kufanya njama ya kumpiga risasi Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Lushoto Mbaruku Matei. Kuhusishwa kwa mbunge huyo, kunatokana na kukamatwa vijana wanne waliokuwa waende kutekeleza mpango huo lakini pia mke...
  10. D

    Baadhi ya Shule za Sekondari hasa za wilaya ya Lushoto hazina ufuatiliaji Mzuri kutoka kwa Viongozi wa Halmashauri

    Baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto zimekuwa Mzigo kwa jamii kwani Bado shule hizo Mfano wana waagiza wanafunzi Review ( rejea)za masomo kitu ambacho rejea hizo zilipigwa marufuku na serikali kutokana na kuwafanya wanafunzi kukariri. Lakini bado Baadhi ya Shule hizo zimekuwa...
  11. S

    DOKEZO Mradi wa REA uliopo Tanga, Lushoto Bumbuli, Kata ya Funta kijiji cha Manga ni mwaka wa 3 haujakamilika

    Mradi wa REA uliopo TANGA, LUSHOTO BUMBULI, kata ya FUNTA kijiji cha MANGA. Ni mwaka wa 3 mradi haujakamilika. Tulifika mpaka TANESCO wilaya kuwaeleza hawajafanya chochote (kama pesa za mradi zimeliwa basi) kama kitongoji kimoja hakimalizi nguzo 10 mwaka wa 3 mradi haukamiliki, basi tunaiomba...
  12. Miss Zomboko

    Lushoto: Wazee wakausha maji baada ya mradi kuanzishwa bila kupewa taarifa

    Wakazi wa Kata ya Kwekanga wilayani Lushoto mkoani Tanga wamekumbana na ukosefu wa maji baada ya wazee wa kata hiyo kudaiwa kuzuia chanzo cha maji kutotoa maji hadi kufanyike tambiko, baada ya mkandarasi kuanza mradi bila kuwashirikisha. Akizungumza katika mkutano wa hadhara, Meneja wa Mamlaka...
  13. benzemah

    Tanga: Watuhumiwa 26 wakamatwa kwa kuvamia na kudhuru Hoteli ya Mambo View

    Jeshi la Polisi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 26 na kufikishwa mahakamani Oktoba 26, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwepo; unyang'anyi wa kutumia nguvu na shambulio la kudhuru mili dhidi...
  14. RoadLofa

    Msaada wa chumba/hostel ya kupanga Lushoto

    Wakazi wa Lushoto nipo wilayani kwenye nipo Lushoto mjini stand kuu ya Magari hapa ndo nimeingia muda si mrefu Shida yangu bhana natafuta hostel yoyote ya kufikia na kukaa ndani ya siku kadhaa ambayo malipo yake Kwa siku chini ya Tsh 8,000 au kama pia kutakuwa ntapata chumba cha kupanga ambacho...
  15. Artifact Collector

    Maajabu ya Wilaya ya Lushoto

    Maajabu sio lazima kuwe na mastori ya kutisha ambayo asilimia kubwa ni uongo mfano mzungu akija huku afrika akaona kulivyo kuchafu, dis-organized vumbi kila sehemu atastaajabu sana Haya kwangu ni maajabu Wengi wa watu wakisikia Wilaya ya Lushoto wanapata picha ya haraka haraka kwamba wenyeji...
  16. Fortilo

    Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

    Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji. ----- Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu...
  17. benzemah

    Mtanzania ameshinda tuzo ya Mfalme Charles III wa Uingereza ijulikanayo kama Prince’s Trust

    Msichana wa Kitanzania, Zamana kutoka kijiji cha Irente Juu, Kata ya Magamba, Wilaya ya Lushoto ameshinda tuzo ya Mfalme Charles III wa Uingereza ijulikanayo kama Prince’s Trust. Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2015 na Mfalme Charles III, wakati huo akiwa bado ni mwana wa Mfalme (Prince of Wales)...
  18. M

    Hospitaiili ya wilaya Lushoto wakataa kumpa kitanda mgonjwa aliyevunjika mguu

    Yupo mgonjwa aliyepata ajali ya kugongwa na pikipiki na amevunjika nmguu. Tangu mapema saasita mchana hadi saa kumi na nusu hawataki kumpatia mama huyo kitanda wamemuweka mapokezi eti wanadai anatakiwa kupelekwa hospitali ya Bombo. Mama huyo familia yake wamechelewa kupata taarifa na...
  19. Ahyan

    Saa 12 bila umeme Lushoto

    Hii hali kwa sasa imekuwa ni zaidi ya kero, masaa 12 hakuna umeme. Mmeshawahi waza ni shughuli ngapi zinasimama kwa kutokuwepo kwa umeme? Na je mkawaza ni kiasi gani cha mapato kinapotea kwa wakati huo ambao umeme haupo? Kuweni serious hata kama ni marekebisho si kwa muda wa masaa 12. Mama...
Back
Top Bottom