lushoto

Lushoto is a town in the Usambara Mountains of Tanzania. It is the capital of Lushoto District, Tanga Region. The 2012 national census estimated the population of Lushoto ward at 28,190.

View More On Wikipedia.org
  1. mdukuzi

    Urafiki wa Mkapa na Magufuli ulianzia Kagera ukafia Lushoto

    1995 Benjamin William Mkapa anachukua fomu ya kugombea Urais, gazeti moja kwa kebehi likaandika "Mkapa naye achukua fomu." Hili neno "Naye" kwa sisi wana fasihi tuliona ni dongo, maana kipindi hicho habari ya mjini ilikuwa Boyz II Men, Lowassa na Jakaya Kikwete, wakiwa vijana kabisa hakuna...
  2. R

    Angalia Rushwa (rushwatozo) ya trafiki toka Tanga mpaka Lushoto kabla ya Kinana kuingilia kati

    Nimehojiana na dereva alivyokuwa anatoa rushwa kwa trafiki na kumshukuru Kinana kupunguza trafiki barabarani. Unatoka Tanga kwenda Lushoto. Unatoa rushwa as follows 1. Ukitoka Tanga stend ya zamani kabla ya kufika Kange stend unatoa 2,000 2. Kange stend kabla ya kuanza safari ya L:ushotondoka...
  3. muhoozi

    Kilimo cha mboga mboga uhai wa Wilaya ya Lushoto

    Wakuu habari za siku nyingi, Leo ninakuja na andiko kuhusu namna kilimo cha mbogamboga kinavyowanufaisha wakazi wa wilaya ya Lushoto na halmashauri zake. Wilaya ya Lushoto inapatikana katika safu za milima ya usambara ndani ya Mkoa wa Tanga, kwa asilimia kubwa wenyeji wa wilaya hii ni kabila...
  4. M

    Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

    Niko Mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde. Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika. Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi. Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe? Na Ulaya je wasemeje? Tupeni sababu za kisayansi.
  5. Determinantor

    Mauaji Wilayani Lushoto, Polisi waache mzaha na uhai wa watu

    Kwa zaidi ya wiki nne sasa kumekuepo na mauaji ya kutisha sana wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga. Kwa taarifa zilizopo ni kwamba zaidi ya Watu wanne wameshauawa kwa nyakati tofauti huku wauaji wakiwapora victims wao except tukio la Jana Mei 23 la kuuawa kwa Mlinzi na wauaji kutokuchukua kitu...
  6. R

    Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

    Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana. Ok kiufupi, nimezunguka mikoa...
  7. waziri2020

    Dc Lushoto kufanya msako nyumba kwa nyumba kuwasaka wanaotorosha watoto mashuleni

    Serikali wilayani Lushoto imeanzisha oparesheni kabambe ya nyumba kwa nyumba inayolenga kuwasaka baadhi ya watu wanaoshiriki vitendo vya kuwatorosha watoto hususani wanafunzi ili kwenda kufanya kazi za ndani nchini Kenya. Baadhi ya watoto hao ni wale walio katika shule za msingi na sekondari...
  8. J

    TBS yaendelea kutoa elimu kwa viwango vya ubora wa bidhaa wilayani Lushoto, mkoani Tanga

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya viwango vya ubora wa bidhaa katika wilaya ya Lushoto ambapo imeweza kukutana na wafanyabiashara mbalimbali pamoja na wanafunzi na kuwahimiza kutumia bidhaa zenye ubora ili kuweza kumlinda mlaji. Akizungumza mara baada ya kutembelewa...
  9. K

    Ipi bora kati ya Diploma ya Sheria ya Chuo cha LUSHOTO na Diploma ya Biashara CBE Dodoma?

    Wadau, kuna kijana kachaguliwa kusoma Diploma Sheria ya Chuo cha Lushoto na pia kachagulia Diploma ya biashar aCBE Dodoma, kwa wazoefu wa hizo anga na maisha ya Kitanzania unamshauri wapi labda. Bahati mbaya siyo mjuzi wa hizo fani ukiachana na herasay
  10. S

    Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

    Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania. Karibu uweke comment yako.
Back
Top Bottom