Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
Maajabu sio lazima kuwe na mastori ya kutisha ambayo asilimia kubwa ni uongo mfano mzungu akija huku afrika akaona kulivyo kuchafu, dis-organized vumbi kila sehemu atastaajabu sana
Haya kwangu ni maajabu
Wengi wa watu wakisikia Wilaya ya Lushoto wanapata picha ya haraka haraka kwamba wenyeji wake ni wasambaa ila ukienda lushoto utashangaa kuna makabila matatu wanaishi vizuri tu nayo ni wapare na wambugu
Wilaya ya Lushoto kuna wapare na wambugu ambao wako baadhi yao hawajui hata kisambaa ila cha ajabu mbugu akiongea huwezi mtofautisha na mpare ni lugha moja ila wanajitambulisha kama makabila mawili tofauti
Ni rahisi sana mbugu kuongea kipare, ni ngumu kwa mpare kuongea kimbugu japo atakua anamsikia kwa tabu sababu lugha zao hazija-achana sana
ila kwa observation yangu wale wambugu na wapare ni kabila moja sijaona mantiki ya wao kuwa makabila mawili tofauti