luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. Mkalukungone Mwamba

    Tetesi: Mpina agonga hodi ACT Wazalendo na yupo tayari kugombea urais

    Saa za aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kutua katika Chama cha ACT-Wazalendo zinahesabika, baada ya kiongozi huyo kubisha hodi huku akieleza kuwa yuko tayari kupeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya urais, Jambo TV...
  2. Griss

    Tetesi: Luhaga Mpina kuongea na Vyombo vya Habari

    Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni. Mwaka huu Kuna press zaidi...
  3. S

    GE2025 Mkurugenzi wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa aibua mjadala kukatwa jina la Luhaga Mpina vikao vya CCM

    Unfortunately sijajua tunataka wabunge wa aina gani - nilisifia hizi kanuni mpya za chama upande mmoja kuwa imeongeza watu wengi kupiga kura na kupunguza rushwa ila nikaonyesha hatari ya utaratibu wa kurudisha majina matatu inaweza italeta shida sana kwa wale wabunge wanaosimamia haki za jamii...
  4. R

    Luhaga Mpina yuko wapi sijamsikia siku nyingi

    Yuko Wapi Luhaga Mpina ambaye ametambulishwa kama Mbunge wa Taifa, sijamsikia siku nyingi je amechukua fomu au na yeye ameacha kuchukua fomu kama Gwajima na Majaliwa?
  5. Idugunde

    Akina Gwajima na Luhaga mpina wapo wengi ila wanapinga kimyakimya

    Hili halina ubishi kuwa sasa kuna kundi kubwa wanaopinga kimyakimya huu utawala huu ambao haujali maisha ya Watanzania Nidhamu ya woga haipo na ufisadi umetamami kila kona huku wananchi hawana uhakika wa kula hata mlo mmoja Akina Luhaga mpina wapo wengi . Akina Gwajima wapo wengi ila wamekaa...
  6. Mung Chris

    Hamphrey Polepole, Luhaga Mpina na Dr Josephat Gwajima

    Hawa ma comrade huko CCM kwenye chama chao, wasipuuzwe. Wanayo maono kuhusu chama chao na wameonyesha uthubutu zaidi ya yehote yule ndani ya chama, huenda ni chambo au wana tengeneza kitu na umoja ambao labda kuna walio nyuma yao. Mungu awasaidie hawafanyi na hawa zungumzi kwa ubaya ni kwa mema.
  7. S

    Kuhusu tetesi za Luhaga Mpina kukatwa CCM; “ugomvi na viongozi wa CCM umechangia

    Inasekana ugomvi baina ya Mpina na viongozi wa CCM Mkoa wa Simiyu ndio chanzo cha jina lake kukatwa katika vikao vya Mkoa. https://youtu.be/qN1T8rrBep8?si=64FCUMgEIb8iIE-T
  8. Poppy Hatonn

    Picha:Luhaga Mpina yupo Geita kutafuta msaada wa kiroho

    Hii nadhani ndiyo inaitwa kutafuta kitu kwa udi na uvumba.
  9. peno hasegawa

    Tetesi: GE2025 Jimbo la Kisesa mbioni kukosa Mgombea wa Ubunge baada ya WanaCCM kutishia kugoma kupiga kura za Maoni tarehe 2 August 2025

    Jana kumetolewa taarifa kwamba CCM itakutana na changamoto kubwa katika Jimbo la Kisesa, wilaya ya Meatu, mkoa wa Simiyu. Kulingana na habari hizo, hakuna upigaji wa kura za maoni utakaofanyika tarehe 2 Agosti 2025, jambo ambalo linaweza kuwa pigo kubwa kwa chama hicho. Wanachama wa CCM...
  10. Carlos The Jackal

    Unajiuliza, huko CCM na Dola yake, Kuna wenye akili kweli? Hivi Uwezo wa Akili wa LUHAGA MPINA ni wa Kumkata ?. Au Gambo ni wa kushindwa na Makonda ?

    Ukweli ni kwamba, Makonda Hana namna yoyote ya kumshinda Gambo, Makonda ni MTU katili sana, MTU ambaye akipata Mamlaka kubwa ya juu ,atawaumiza watu wengi. Kama sio Jela kama ilivyokua Kwa Sabaya, Makonda alipaswa ajitokeze mbele ya Taifa na Kuliomba msamaha Taifa Kwa aloyafanya Watu wanaweza...
  11. Just Pray

    GE2025 CCM yamtupa nje Luhaga Mpina Mbio za Ubunge jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa...
  12. mshale21

    GE2025 CCM Simiyu yamtupa nje Luhaga Mpina kuwania ubunge jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa...
  13. Erythrocyte

    GE2025 Luhaga Mpina agoma kutishiwa nyau. Achukua fomu kugombea Jimbo la Kisesa

    Aliyekuwa mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea ubunge Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, leo Jumatano Julai 2, 2025. Mpina amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Nabothi Manyonyi. ========================= Mbunge ambaye Jimbo...
  14. ngara23

    Jimbo la Kisesa hakuna aliyechukua form ya ubunge, wanamtaka Luhaga Mpina tu

    Wakati wa Jimbo la Kisesa hawajachukua fomu ya ubunge hadi Leo Wanachama wa CCM wameshinikiza Mpina ndo agombee pekee Mwenyekiti wa CCM Taifa alimwita Luhaga Mpina kuwa ni mbunge wa Taifa na sio mbunge wa Kisesa na huwa hawatetei wananchi wa Kisesa Pia Mwenyekiti wa CCM alisisitiza wananchi...
  15. Chukwu emeka

    Tetesi: Jimbo la Kisesa analotoka Mpina,hakuna aliyechukua fomu mpaka leo hii

    Habari wa JF, Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha,jimbo la Kisesa hakuna MwanaCCM yeyote aliyechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama kugombea ubunge.Pamoja na mafuriko ya wanachama wa Chama hicho maeneo mengine, lakini Kisesa bado wanaCCM wameufyata. Chanzo changu...
  16. Richard

    Wazanzibari kimyakimya wafanya maendeleo makubwa wa haraka huku akili za watanganyika zikielekezwa kwa Tundu Lissu, Askofu Gwajima na Luhaga Mpina

    Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja. Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
  17. B

    Kosa la Luhaga Mpina ni nini hadi aandamwe kiasi hiki?

    Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa Bunge ambalo linahitimisha uhai wake leo, lakini kuna jambo limekuwa likinitatiza na kujiuliza Kosa la Mpina ni nini hadi aandamwe kiasi hiki? https://youtu.be/PN81WsF_xtk?si=k9ZKT_YzOEruZsfw https://youtu.be/dJ3VufyOuLE?si=bfhouP59K5a_gcSP...
  18. K

    Mpina anasema kuwa kuna wafugaji walikamatiwa ng'ombe wakaenda mahakamani wakashinda mpaka leo hawajalipwa licha ya kushinda kesi

    Mimi binafsi sijaamini aliyoyasema Mhe. Mpina kuwa kuna wafugaji walikamatiwa ng'ombe wao wakaenda Mahakamani wakashinda kesi lakini licha kushinda kesi mpaka leo hawalipwa ng'ombe wao au fedha iliyothamanishwa na ng'ombe hao. Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata utawala bora na...
  19. Idugunde

    Ni kweli kabisa Luhaga Mpina ni Mbunge wa taifa

    Nakubaliana na maneno ya Luhaga Mpina kuwa yeye ni mbunge wa taifa. Angalia anavyopambana kwa ajili ya kupigania maslahi ya umma na taifa kwa ujumla. Angalia alivyopambana juu ya zao la pamba kwa manufaa ya watu wa jimbo lake. Hii ni wazi kuwa ni mbunge wa taifa na jimbo lake kwa ujumla.
  20. Just Pray

    Video: Wananchi Kisesa wamshangilia Luhaga Mpina wagoma kutawanyika baada ya mkutano

    Wakuu, Wananchi wa Kisesa wanaonekana wana mahaba na mbunge wao licha ya kuchabangwa na Rais. Umati mkubwa wa wananchi wa Mwandoya waliokuwa wamehudhuria mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, wameshindwa kujizuia kwa furaha waliyonayo, na kujikuta wakimsindikiza hadi...
Back
Top Bottom