lugha

  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

    Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu. Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu...
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kijaluo ni lugha moja nzuri sana

    Katika lugha za kiafrika,kijaluo ni lugha moja nzuri sana na naipenda sana. Nilianza kuifahamu lugha hii nikiwa na miaka 20 na kwa kudra za Mungu,nilipata mtoto na dada mmoja anaitwa akinyi wa ahero nyakach.Nimejifunza sana lugha hiyo,historia yake na nyimbo zake. Kuna mwaka mmoja nilienda...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Taja maneno ambayo yanatumiwa sana na watu wasiojua lugha ya kiingereza vizuri

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye elimu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sehemuwanakofundisha lugha alama

    Naomba kujua sehemuwanakofundisha lugha alama Mi niko mbagala
  5. DustBin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reform No Election (NORENE) kuwasilishwa kwa lugha ajinabi ni kikwazo

    Habarini wakuu Suala la Chadema kuja na kauli mbiu ya No Reform No Election (NORENE) imetafrisiwa na wananchi wadadisi wa mambo kuwa Chadema wamekujanayo kutoka ng'ambo, mbaya zaidi wamesahau hata kubadilisha na kuiweka kwenye lugha mama. Kuna kitu kimoja ambacho Chadema hujikwaa (technical...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mdau anahoji "kwanini Vitabu vya dini vimetafsiriwa kila lugha, lakini sio vitabu vya maarifa ya dunia"

    Mdau ahoji imekuwaje watu wamefanikiwa kutafsiri vitabu vya dini kuja kwenye lugha mbalimbali hili kila mtu allowe, lakini vitabu vya maarifa ya dunia kama Vya kijeshi, kiuchumi, kimatibabu, kisayansi na viinginevyo vyenye kumsaidia mwanadamu kuishi na mazingira havijatafsiriwa, yani vimebaki...
  7. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Kutokukujua Kiingereza kumenifelisha kiasi cha kukosa madili kibao

    Salaam JamiiForums Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza. Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana. Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha lugha yetu,mara tuwe wazalendo. Acheni hizo kama hujawahi kusafiri kwenda nchi yoyote ya ughaibuni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania LUGHA YA MASHINE

    Katika dunia ambako wanadamu na mashine waliishi pamoja, mawasiliano yalikuwa changamoto. Watu walizungumza lugha nyingi, huku kompyuta zikielewa tu namba. Hali hii ilileta mgawanyiko mkubwa, na kufanya mawasiliano kuwa magumu na ya polepole. Siku moja, kundi la wanasayansi lilianzisha mradi wa...
  9. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Asili ya ukahaba na lugha ya Ibo katika ghuba ya Benin

    Katika historia ya jamii za Kiafrika kandokando ya Ghuba ya Guinea, hakuna kabila lolote lililokuwa na neno la asili la kumaanisha ukahaba kabla ya kuwasili kwa Wareno mnamo mwaka 1455 BK katika Jiji la Bini, mji mkuu wa Dola ya Benin. Hali hii ilitokana na ukweli kwamba biashara ya mwili...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kujua lugha ya taifa lolote ukiwepo huko kuliko kuwa nchini mwako

    Kuna siku tulitembelewa na baharia ambaye ameishi pakistan,india,ufaransa na kwa sasa anaishi canada na hizo nchi zote kuangaika kwake ametumia mda mrefu tokea akiwa kijana katika safari ya kufikia nchini canada. Ila kilichonielewesha ni rahisi sana mtu kuelewa lugha za watu ukiwepo sababu...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya shilingi milioni 365 zimekopeshwa kwa wanafasihi na lugha

    ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 365 ZIMEKOPESHWA KWA WANAFASIHI NA LUGHA Mfuko wa uwezeshaji wa mikopo ya kisekta kupitia mfuko wa Utamaduni na Sanaa umewezesha miradi 23 yenye thamani ya Shilingi milioni 365.7 katika eneo la Lugha na Fasihi ambapo miradi iliyowezeshwa ni uchapishaji wa vitabu 6,000...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha ya kingereza msaada kwenye tuta

    Angalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa. Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni changamoto sana.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mke /mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye mboga ni lugha gani utatumia kumwambia?

    Poleni na mfungo wakuu, 👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa 👉Na pia ni emotional oriented " 👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit Endapo mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye maakuli ni lugha utatumia kufikisha ujumbe ili usimkwaze 👉Aya tutiririke...
  14. S

    JamiiForums Tanzania unaweza kuishi hapa

    hii itakua mwanza rock city maisha yanataka utake risk lakini kuishi hapa ni zaid ya risk yenyewe
  15. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Mchungaji anayeheshimika ameshindwa kujibu maswali yangu hata akanitoroka.

    Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kijana jitahidi ujifunze angalau lugha mbili za kimataifa

    Najua sisi wabongo ni wazito mno kujifunza lugha za watu zaidi ya kiswahili na kiingereza ila niwahimize vijana kujitahidi kujua kiingereza na lugha nyingine moja ya kimataifa. Kwa mfanyabiashara/mjasiriamali makini lazima atajua umuhimu wa hiki ninachokisema. Kwa Mtanzania jitahidi ujue...
  17. luangalila

    JamiiForums Tanzania Msaada Lugha ya Kifaransa

    Wadau Kwema Naomba kuuuliza ni wapi wanatoa mafunzo ya lugha ya kifaransa ndani ya Jiji la Dar es Salaam
  18. PamojaTz

    JamiiForums Tanzania Vitabu kwa lugha ya Kiswahili vinapatikana. Nicheki kwa Whatsap

    Kutokana na uhitaji mkubwa wa vitabu kwa lugha ya kwetu, hatuna budi kuwaletea vitabu hivyo (Softcopy na Hardcopy). Njia ya kuhudumiwa ni kupitia WhatsApp 0737317870 pekee.
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hotuba hii ya Wamarekani itafsiriwe katika lugha zote, inatuhusu wote,

    Hotuba hii JD Vance, Makamu wa Rais wa Marekani alikuwa anawaambia watu wa Ulaya lakini ukweli ni nchi zote za dunia hii na Tanzania ikiwemo, kifupi JD anawaambia viongozi wa Ulaya waache tabia ya kuwatenga, kuwaadhibu, kuwateka na kuwabambikia kesi raia wao wenye mawazo tofauti na yao, badala...
  20. Senior masai

    JamiiForums Tanzania Jifunze lugha za kibantu

    Habari wanaJF, Natamani ningepata mtu wa kunitengenezea application au system ya watu kujifunza lugha mpya za kibantu na zile za zisizo za kibantu. Kwa yeyote anaeweza kuandaa mfumo kama huu ukafanya kazi kwa mifumo ya sauti na maandishi Namna ya watu kutamka maneno pia kuyaandika. Mfano mtu...
Back
Top Bottom