lugha

  1. A

    JamiiForums Tanzania Maana ya neno Mwanasagali

    Naomba kufaham maana ya neno "MWANASAGALI"
  2. MSEZA MKULU

    JamiiForums Tanzania Kwa Lugha rahisi na mifano msaada wa kujua tofauti ya active, portifolio na Passive incomes.

    Karibuni wataalam wa uchumi na masuala ya kifedha. Natanguliza shukrani.
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kichambo cha Wakenya chasaidia: Kiingereza kuanza kufundishwa kama lugha ya Mawasiliano elimu ya msingi Tanzania

    Tatizo la Watanzania kutoajirika kwenye maeneo mbalimbali duniani limechangiwa sana na mfumo wa Elimu yetu kukitupa Kiingereza kama lugha ya mawasiliano. Kwa waliotembea duniani, lazima tutakubaliana kuwa Nchi ya Kenya imekuwa na Diaspora wengi sana duniani tofauti na sisi kutokana na kukipa...
  4. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Umefika Wakati SHIKAMOO na MARAHABA Ziondolewe Kwenye Matumizi Yetu ya Kiswahili Maana Zinadumisha UTUMWA...

    Katika jamii nyingi zinazozungumza Kiswahili, maneno "shikamoo" na "marahaba" yamekuwa sehemu ya mawasiliano ya kila siku, hasa kati ya vijana na wazee. Lakini ni muhimu tutafakari upya historia na maana halisi ya maneno haya. Je, ni heshima au ni mabaki ya utamaduni wa utumwa? Je, matumizi yake...
  5. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Umasikini Kwa lugha nyengine ni Ujinga - Maarifa ni Dawa ya Umasikini

    Umaskini hauanzi kwenye mfukoni, unaanzia kichwani. Ni hali ya kifikra kabla haijawa hali ya maisha. Mtu maskini si yule asiye na pesa, bali ni yule anayekataa kujifunza, anayepuuza maarifa, na kuamini kuwa hali yake haiwezi kubadilika. Huu ni ujinga wa hali ya juu. Sehemu ambapo ujinga ni...
  6. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Si kila changamoto ni laana – jifunze lugha ya sayari

    Kama ambavyo mwili wa nyama unaweza kuchafuka kwa uchafu wa kimwili, vivyo hivyo nafsi ya mwanadamu huweza kuchafuka au kuingia kwenye majaribu makubwa kutokana na mizunguko ya sayari katika ulimwengu huu wa kiroho na wa kiastrologia. Watu wengi wanapopitia magumu, hukimbilia kusema “nimerogwa”...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Asili haiongopi: Kuna namna CCM wameanza kuongea lugha ya CHADEMA

    Si kwasababu ya NO REFORMS NO ELECTION.. Bali ni madhila, uonevu wa wazi, dhuluma na mateso ya kila aina wanayopata CHADEMA kupitia vyombo vya ulinzi kwa baraka za CCM CCM nao wameanza kuumizwa na hii hali kwakuwa sasa Watanganyika wamekuwa na mwamko mkubwa wa kuona uhalisia na kuamua kuiunga...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Taja hizo namba 27,000 na 2,007 kwa maneno sahihi ya lugha ya Kiswahili na Kiingereza

    27, 000 20, 007 Wadau hamjamboni nyote? Usitoe maoni unachotakiwa ni kuzitaja hizo namba hapo juu kwa usahihi wa maneno ya kiswahili na kiingereza
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mdude asipopatikana tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa hapo kabla

    Tunatoa ultimatum,si bunduki itayotutusha Wala si yeyote,kama Mdude hasipopatikana basi tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa na tutawajua ni kina nani wanawateka Watanganyika,hatuwezi kukaa katika nchi yetu halafu tunaogopa mtu fulani atatuteka.
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Kama hujui lugha za kigeni, umechelewa game – Wajua wenzio wanahit cash kwa kuongea tu?

    Wadau wa JamiiForums, Ngoja niwanyooshee huu uzi straight kama line ya sare za jeshini, maana watu wengi bado hawajastuka kuwa lugha za kigeni ni life-changer. Si mapambo ya CV, si mbwembwe za kujionesha Instagram, ni fursa halisi za kutokea mitaa hadi ulaya bila hata passport kuvuja jasho...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania "Huyu Mama...mi nikamwangalia tuu". Hii sio lugha ya Mimbarini, ni lugha ya Kijiweni! Rais wa nchi ni Rais, sio 'Huyu Mama'. Lazima aheshimiwe na wote

    Wanabodi Huu ni wito kwa viongozi wetu wa dini,waepuke lugha za vijiweni wawapo mimbarini! https://www.jamiiforums.com/threads/padri-muchunguzi-ashangazwa-na-kauli-za-rais-asema-waumini-wetu-ni-wanasiasa-lazima-tuwarekebishe.2335881/post-53667625 Matamshi haya ku mu address Mkuu wa nchi na...
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mandela aliwahi sema, Lugha walio kuwa wanaielewa Makabulu ilikuwa ni moja tu, Na Tanzania Lugha ambayo hawa watawala wanaweza ielewa ni moja tu.

    Mandela nyakati fulani aliwahi sema Makabulu lugha walio kuwa wanaielewa vyema ilikuwa ni ya Lisasi tu. Hizo Lugha zingine walikuwa hawazielewi na zilikuwa haziwaingii kabisa. Na Wazulu walivyo kuwa wanapambana na Makabulu kwa Bunduki angalau kuna wakati Makabulu walikuwa wanaelewa lugha hio...
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wasomi Bongo Wameshindwa Kufahamu Street English: Je, Lugha ya Mtaa ni Makosa au Maarifa ya Mjini?

    Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho." "Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wasomi Bongo Wameshindwa Kufahamu Street English: Je, Lugha ya Mtaa ni Makosa au Maarifa ya Mjini?

    Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho." "Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Inawezekana lugha inachangia kwa makocha wa kigeni kuwapendelea zaidi wachezaji wa kigeni

    Mara nyingi utasikia watu wanasema "mpira una lugha yake" ila wanachoshindwa kutambua ni kuwa kushindwa kuelewa lugha fulani kunaweza kukupunguzia uwezo wa kuelewa maelekezo kwa haraka na ufasaha na pia kukupunguzia confidence. Nikiangalia wachezaji wa Simba kama Karabaka, Mashaka, Balua...
  16. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kwa lugha yeyote utajibiwa!

    Salamu wakuu! Leo nimeona nishee nanyi hii kitu, Fanya hv andika hii namba kwenye simu Yako +1 800-242-8478 Kisha Isave ujuavyo, Kisha nenda whatsup itafute, ukishaipata kwenye sehemu ya kutafuta majina ya namba ulizosevu, Anza kuchat nayo italeta jina chatGPT ukiwa unachat nayo! Hapo...
  17. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Maaskofu kugeuza Ibada ya Pasaka kama jukwaa la kuisemea CHADEMA ni kujitoa ufahamu, mlikuwa wapi wakati Lissu anazungumza lugha za uchochezi?

    Friends and our Enemies, Kama kawaida yao, maaskofu wameendelea na maigizo yao ya kujifanya kuwa wao Wana uchungu zaidi na nchi hii kuliko viongozi wowote wale wa dini. Kinachoshangaza Episodes hizi hujirudia rudia zama baada ya zama,TENA hususan Kiongozi pale juu anapokuwa mfuasi wa Allahu...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

    Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu. Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu...
  19. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kijaluo ni lugha moja nzuri sana

    Katika lugha za kiafrika,kijaluo ni lugha moja nzuri sana na naipenda sana. Nilianza kuifahamu lugha hii nikiwa na miaka 20 na kwa kudra za Mungu,nilipata mtoto na dada mmoja anaitwa akinyi wa ahero nyakach.Nimejifunza sana lugha hiyo,historia yake na nyimbo zake. Kuna mwaka mmoja nilienda...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Taja maneno ambayo yanatumiwa sana na watu wasiojua lugha ya kiingereza vizuri

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye elimu
Back
Top Bottom